VAT itaua makampuni mengi ya mikoani, TRA angalieni hili

VAT itaua makampuni mengi ya mikoani, TRA angalieni hili

Ulivyotukana imekusaidia nn sasa stress zako usituletee matusi uku
I never get stressed. The things that made me, are the things that broke me into small pieces. Am talking about things that broke me into smallest pieces that no any man can break me into. Huyu mkora alianza mwenyewe kutukana. I showered him with insults just to let him know he is no better than any one else when it comes to this. And that is a fraction of what I could do...
 
Mkuu. Mfumo uko sawa. Tatizo hutaki kuajiri wataalam wakusaidie kwenye maswala ya uhasibu na kodi.
Tafuta
Finance Manager mwenye CPA
Pia uchumi unaruhusu ajiri mtu aliyesomea mambo ya Tax management.
Wataalam wako kibao ila ndio hampendi kuwatumia.
2. Inatakiwa utoe VAT ya manunuzi yote unayofanya katika kutengeneza mauzo yako. Bahati mbaya wilayani wafanyabiashara ambao ni VAT registered ni wachache sana. Kwahiyo unajikuta huna receipts kabisa za manunuzi yenye VAT. Kwenye expenses zako VAT ni zero.

WATAALAMU WANAWEZAJE KUSAIDIA PALE AMBAO HAKUNA WAFANAYABIASHARA WENGI WENYE KUTOA RISITI ZA EFD, UJE KUZITUMIA KAMA VAT EXPENSES ZAKO?
 
Screenshot_20230301-124321_WhatsApp.jpg


Tembea na huu upepo.
 
Back
Top Bottom