Sisi tumeajiri kampuni ya accountancy tena kubwa kabisa kushughulikia kampuni yetu. Wao ndio wametuambia kwa mfumo huu wa sasa hakuna ujanja.Mkuu. Mfumo uko sawa. Tatizo hutaki kuajiri wataalam wakusaidie kwenye maswala ya uhasibu na kodi.
Tafuta
Finance Manager mwenye CPA
Pia uchumi unaruhusu ajiri mtu aliyesomea mambo ya Tax management.
Wataalam wako kibao ila ndio hampendi kuwatumia.
Mkuu, gharama zenu za mauzo(Cost of sales) tenda wape wenye VAT ili wakupe risiti uwe na claims la sivyo imekula kwenu.Sisi tumeajiri kampuni ya accountancy tena kubwa kabisa kushughulikia kampuni yetu. Wao ndio wametuambia kwa mfumo huu wa sasa hakuna ujanja.
Kama huna receipts za VAT huwezi kufanya lolote. Ni kama ujambazi vile. Solution ufanye mauzo bila VAT. Sisi biashara yetu kubwa ni mashirika lazima utoe Receipts.
Labda hujasoma andiko vizuri. Bishara ya hoteli huko wilayani hizo receipts zenye VAT utazitoa wapi? Utaenda Dar kununua nyama? Kununua mchele? Kununua mboga? Kununua mafuta?Mkuu, gharama zenu za mauzo(Cost of sales) tenda wape wenye VAT ili wakupe risiti uwe na claims la sivyo imekula kwenu.
In short kama wewe ni VAT kamwe usinunue mzigo kwa asiye na VAT. Ukifanya hivyo inamaana wewe ni mtumiaji wa mwisho na mtumiaji wa mwisho ndo mlipa VAT.
Hiyo receipts unmayotaka niwe nayo nitaitoa wapi? Huko wilayani wauzaji wa huduma zaidi ya asilimia 90 sio VAT registered. Hivi kweli utafunga safari ya masaa 24 kwenda kununua nyama, mchele, mboga, mafuta nk mjini?Shida ni wewe sio TRA kwa maelezo yako, kutokuwa na receipts tayari umeshakubali hasara ya kutokurudishiwa vat yako ya manunuzi.
Kuna madhaifu pia upande wa TRA kutokusajiliwa kulipa VAT aina maana wafanyabiashara wadogo wasiwe na vitabu kwa sababu bado wanatakiwa kulipa income tax. Vilevile vitabu vinasaidia kugundua kama wamevuka threshold ya kusajili VAT kwa lazima.
Kwengine duniani ukigundulika mauzo yako yanavuka threshold ya kutakuwa kusajili na aujafanya ivyo kwa hiari mziki wake sio mdogo
Aiwezekani mtu anae supply bidhaa au kutoa services kwa biashara kubwa inayolipa VAT halafu yeye awe mfanyabiashara mdogo ambae atozi VAT it doesn’t make sense, labda awe ni self employed contractor wa kukata majani au kusafisha ofisi .
Ideal mfanyabiashara mdogo ni kiduka cha mtaani, saloon ndogo ndogo, fundi seremela na unaweza fumbia macho vibanda vya chips kavu.
Lakini mtu anaeuza kwa biashara huyo sasa sio retailer mdogo. Nimeshangaa kuona watu wana malori eti na wenyewe ni wafanyabiashara wadogo.
VAT ilikuja 1997, tukapiga kelele wee Ila ipo na siku zinaenda, Kodi hamtaki, tozo hamtaki, kukopa hamtaki, pesa za miradi na kuendesha nchi zitatoka wapi enyi mbuzi!?Mapitio ya VAT lazima yafanyike na kuboreshwa ikiwezekana ibakie single digit, haiwezekani dunia ya ushindani VAT iwe two digit tena kwenye nchi ambayo bado biashara nyingi watu wanajikongoja taratibu kukua lakini serikali hiyo hiyo inawarudisha nyuma
Naweza kuona msingi wa hoja ila mchele, nyama, vitunguu ata ukiwekewa VAT uwezi ku claim back kama wewe unatumia kutengeneza chakula kingine (hizo ni material costs). Ambazo zinaingia kwenye cost of sales zote unazitoa after revenue kwenda kwenye gross profit.Hiyo receipts unmayotaka niwe nayo nitaitoa wapi? Huko wilayani wauzaji wa huduma zaidi ya asilimia 90 sio VAT registered. Hivi kweli utafunga safari ya masaa 24 kwenda kununua nyama, mchele, mboga, mafuta nk mjini?
Ndio maana mimi naona nimeshindwa kwasasa ni biashara yas hasara boras kufunga tu.
Kumbuka mimi nanunua kwa watu ambao ni walipas kodi na wana EFD machine lakini sio vat registered.
Boss Nimesoma andiko vzr tu, na nimekujibu vzr tu. Hakuna njia tofauti na hayo majibu niliyokupa:Labda hujasoma andiko vizuri. Bishara ya hoteli huko wilayani hizo receipts zenye VAT utazitoa wapi? Utaenda Dar kununua nyama? Kununua mchele? Kununua mboga? Kununua mafuta?
Hiyo kwasasa ni issue kubwa sana kwa wafanyabiashara wakubwa walioko huko wilayani kwa mfano Ngara.
Utalazimika tu kununua vitu kwa wasio na receipts za VAT. Ukiwa mikoani au Dar unaweza kununua at least nusu ya matumizi kwenye maduka yenye receipts lakini sio huko wilayani.
Umeacha kazi za uchimbaji hapo Katente Namba moja??Haya ndio mambo yalio nifanya niseme sinto kaa niwe mfanya biashara nchi hii maana najua sina uwezo wa kukwepo kodi zao na mwisho wakija kunizingua naweza nikajikuta naingia kwenye matatizo bure.
Bora niendelee kua mfugaji na mkulima, huku nikiwakopesha watumishi pesa za mimba mdogo mdogo
Kuna mzungu mmoja alikuwa anaelezea kuhusu suala la TAX ila hitimisho akasema. Nchi za Afrika hususani Tanzania haiwezi kuendelea kiuchumi kwasababu mfumo wa TAX upo kiunyonyaji kwahiyo mashirika makubwa ya kimataifa hayawezi kuwekeza Tanzania.VAT ilikuja 1997,tukapiga kelele wee Ila ipo na siku zinaenda,Kodi hamtaki,tozo hamtaki,kukopa hamtaki,pesa za miradi na kuendesha nchi zitatoka wapi enyi mbuzi!?
Sijawahi kua mchimbaji chief, hata sijui huko wanachimbajeUmeacha kazi za uchimbaji hapo Katente Namba moja??
Wewe unatumia akili za makalio, hapa tuko kuboresha mfumo na sio kulazimisha ulaji wakati mnaumiza watu.Mkuu. Mfumo uko sawa. Tatizo hutaki kuajiri wataalam wakusaidie kwenye maswala ya uhasibu na kodi.
Tafuta
Finance Manager mwenye CPA
Pia uchumi unaruhusu ajiri mtu aliyesomea mambo ya Tax management.
Wataalam wako kibao ila ndio hampendi kuwatumia.
Solution nilishwapa zamani, kwanini napuuzwa kiasi hiki lakini.Tatizo la TRA hawajawahi kufanya biashara. Wanachofikiria ni kukamua wafanyabiashara.
Wasipotafuta solution ya hii issue ya VAT wajiandae kutengeneza mizoga mingi na watu wengi kujifunza njia za kukwepa kodi.
Seriakali sasa wameona mjia ya kupata kodi ni kupitia VAT. Lengo la VAT halikuwa hivyo na kutakuwa na madhara makubwa sana.
Wacha wengine tufunge hizo hotels hata kwa muda kadhaa.. Stress za TRA zimezidi.
TRA hawawezi kukuelewa. Na hii shida ipo kwa maelfu ya watu wenye biashara kubwa huko mawilayani. Hasa kama input kwenye mauzo yake ni local.Boss Nimesoma andiko vzr tu, na nimekujibu vzr tu. Hakuna njia tofauti na hayo majibu niliyokupa:
Nunua kwa mwenye VAT, haiwezekani toka VAT. Waambie TRA huwezi kufanya biashara ukatoa risiti yenye VAT wakati input zako ni non-VAT wakikuelewa wakutoe.
Tofauti na hapo utafanya biashara kichaa au wateja wako wakubali bei yenye VAT, mfumo uliopo hauruhusu watu wote kuwa VAT, labda ubadilishwe. Ila kwa sasa huna option zaidi ya hizo.
Napendekeza bidhaa zipigwe kodi mara moja tu, njia ni hii
========================== UPDATE: 27/06/2024 https://www.instagram.com/reel/C8tOKmmqjWh/?igsh=MWJhZWFjNTNhajNtcg ======================= TRA Tanzania Tanzania tuna mfumo wa kodi ambao naweza kuuita ni 'Tax chain system'. Yaani ni kwamba bidhaa moja inaweza ikapigwa kodi hata mara kumi...www.jamiiforums.com
Mtaalam anasaidia nini kama sheria zenyewe ni mbovuMkuu. Mfumo uko sawa. Tatizo hutaki kuajiri wataalam wakusaidie kwenye maswala ya uhasibu na kodi.
Tafuta
Finance Manager mwenye CPA
Pia uchumi unaruhusu ajiri mtu aliyesomea mambo ya Tax management.
Wataalam wako kibao ila ndio hampendi kuwatumia.
Unakuta biashara haiwezi afford kumlipa mtaalamu kwa bei zao kubwa,Mkuu. Mfumo uko sawa. Tatizo hutaki kuajiri wataalam wakusaidie kwenye maswala ya uhasibu na kodi.
Tafuta
Finance Manager mwenye CPA
Pia uchumi unaruhusu ajiri mtu aliyesomea mambo ya Tax management.
Wataalam wako kibao ila ndio hampendi kuwatumia.
Tangu huyo mzungu aseme Hadi Leo no kweli tz haijapiga hatua!?.. FDI ni Hasi au chanya!?..akiongea mzungu unaona la maana!!Kuna mzungu mmoja alikuwa anaelezea kuhusu suala la TAX ila hitimisho akasema. Nchi za Afrika hususani Tanzania haiwezi kuendelea kiuchumi kwasababu mfumo wa TAX upo kiunyonyaji kwahiyo mashirika makubwa ya kimataifa hayawezi kuwekeza Tanzania.
Hata wafanyabiashara hawawezi kuendelea na nchi itabaki kuwa masikini kila siku.