Vatican: Mchango wa Bikira Maria ni mkubwa, lakini si Mkombozi wa Ulimwengu isipokuwa Yesu pekee

Kama vile kobazi hamas wanavyoua na kuumiza binadamu wenzao huku wakisema akaubari
 
Kama vile kobazi hamas wanavyoua na kuumiza binadamu wenzao huku wakisema akaubari
Yep. Hawa wasikudanganye. Lao moja. Wote ni magaidi wa kufa mtu.Unaona wanavyotubagua waswahili kwa kutupachia mijina yao michafu kana kwamba hatuna majina au ni pets au mifugo yao?
 
Soma vizuri uelewe kilichokusudiwa. Hapo hakuna chochote kilicho kipya. Huo ni ufafanuzi tu wa kike kilichofundishwa miaka yote. Ufahamu kuwa:
1. Hakuna katekisimu iliyowahi kutamka kuwa Bikira Maria aliukomboa ulimwengu.
2. Mafundisho ya kanisa wakati wote imekuwa, Mama Bikira Maria ni mama wa mkombozi.

3. Kilichopo kwenye katekisimu ni kuwa Bikira Maria ni mwombezi wa wanadamu. Kama angekuwa yeye ni mwokozi mwenza, asingeitwa mwombezi. Anayeomba au kukuombea maana yake hana mamlaka ya uamuzi wa hicho ukiombacho. Kumbuka ile sala ya Salamu Maria inasema, 'utuombee sisi wakosefu", wala haisemi utusamehe sisi wakosefu.

Hapo ina maana Papa amekazia msimamo wa mafundisho ya kanisa, na kuwaonya waliokuwa wakifanya mambo kinyume cha mafundisho ya kanisa. Mafundisho ya kanisa toka kale hayawahi kusema bikira Maria ni mkombozi mwenza.
 
Aliwakomboa wapi wakati alishindwa kujikomboa mwenyewe ukiachia mbali kutomuamini hata huyo aliyedaiwa alimtuma hadi akalia eloi elo rama sabakhtani? Hizi ni maigizo kama filamu za kigabacholi

Wewe kama umeukataa ukombozi kupitia sadaka ya damu iliyomwagwa na Kristo msalabani, bakia hivyo hivyo kwa huyo umtegemeaye. Lakini ujue mshahara wake ni mauti yako ya milele.
 
Je, bado waamini wataendelea kushinikizwa kumuomba bikra awaombee au watasitisha mpango huo?
 
Mbona hamuwaombi pia watakatifu wengine wawaombee mkuu?
 
Je, bado waamini wataendelea kushinikizwa kumuomba bikra awaombee au watasitisha mpango huo?
Bikra Maria ataendelea kuwaombea. Hapo swala halikuwa Bikra maria kuombea watu, swala ni Maria kuwa mkombozi mwenza jambo ambalo wamelikataa.

Na ni kweli, mkombozi ni Yesu pekee. Lakini mwombezi wetu anaweza kuwa mtu yeyote.
 
Mwanzisha Mada hata haelewi mjadala uliopo yeye karukia chuki zake juu ya mafundisho ya Kanisa kuhusu Bikira Maria. Kwa ufupi hakuna mabadiliko, hoja iliyojibiwa ni mijadala tu wala sio mabadiliko ya kimafundisho.
 
Mbona hamuwaombi pia watakatifu wengine wawaombee mkuu?
Itakuwa wewe hujawahi kuhudhuria ama kusikiliza Misa za kanisa katoliki... Moja kati ya kauli maarufu ni hii

Malaika na watakatifu wote, Mtuombee
 
INJILI YA KWELI NI ILE NINAYO FUNDISHA MIMI HAPA JF PEKEE ...Hizo za kuunga unga...
MTU YOYOTE ANAYE MUABUDU MUNGU AKIWA NDANI YA MADHEHEBU YA DINI ANAJIDANGANYA HUYO NI MPOTEVU MOJA KWA MOJA....KAFIRI
 
Mkuu unahitaji chakula cha chini kabisa kuelekea kumjua Mungu, kama mtoto mchanga unahitaji maziwa ili ukue kwanza.

Haya mafundisho tunayokupa hapa ni sawa na kichanga cha wiki moja umpe Ugali wala hataweza kula.
 
Mkuu unahitaji chakula cha chini kabisa kuelekea kumjua Mungu, kama mtoto mchanga unahitaji maziwa ili ukue kwanza.

Haya mafundisho tunayokupa hapa ni sawa na kichanga cha wiki moja umpe Ugali wala hataweza kula.
Kwanini unasema hivyo mkuu? Hebu fafanua vizuri tukuelewe
 
Bikra Maria awaombee kwani bado yu hai?
 
Una uhakika gani kuwa haya maandiko sio maigizo tu ya wazungu mkuu?
 
Mkuu mapadre wanaoa sio kubaka. Wanaobaka na kufira ni mashehe.
 
Yesu hakuleta Dini yeye alifundisha kumjua Mungu na kutii Amri zake basi Ayo mengine naona kama hayana tija
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…