Vazi la Makonda lazua mjadala hapa Moshi

Hii dharau kubwa sana. Hivi anaweza kuvaa hivi kwenye msiba unaomhusu Jiwe?
Uhuni mkubwa huu.
 
Ya makonda..aachiwe makonda
 
Uzi huu umejaa akina field argent"JACK BAUER" hatari.
 
Wanachadema wanaanzisha Uzi kujadili vazi LA Mkuu Wa Dar....hivi hoja za msingi kwa chama chenu zimeisha?
 
Kanisani kwa leo ilikuwa sehemu ambayo kila aina ya watu wameingia leo kwa ajili ya msiba na kumuaga mzee

Waislam
Wapagani
Wachawi
Wezi
Majambazi
Malaya
Matapeli
Mashoga

Hawa wote walikwepo, kila mtu na rangi yake

Nadhan haikuwa sahihi sana kujadili mwonekano wa mtu zaidi ya jambo lililokupeleka pale.
 
Mungu ni 1 ila mapokeo ya muongozo wa maisha ndio tofauti na kupelekea kuunda Uislamu na Ukristo.
Nope!!!!!

Usinifundishe bro sivyo navyoamini mimi,Mungu anaeabudiwa na Wakristo ni tofauti na wa Waislam,ukitaka tuende deep zaidi tutachafua uzi wa watu em kwa hekima tuishie hapa.

Alamsiki!!!
 
Tatizo liko hivi.
1. Hana makuzi mazuri hata kidogo. Ingemsaidia kujengeka kiasaikolojia na kujua mambo kulingana na nyakati zake.
wp2. Hakubahatika kufanya mambo mengi wakati wa ukuaji wake,anachokifanya sasa ni kulazimisha kushindana na vijana ambao wengi sasa hata umri anawapita. Anasahau wajibu wake ktk jamii.
Ukichanganya na namba moja hapo juulazima mambo yawe shaghala baghala
 


Maisha ya kukulia kulala kitanda ambacho uvungini anaatamia kuku ,ni tabu sana .

Ziro ni mbaya sana .Elimu ni mhimu maishani
 
Ana bahati mbaya sana huyu jamaa maana kaenda kisela amekutana Askofu shoo amempa za uso, naona alikuwa anaonesha alichobarikiwa na Mungu hipsi na tako.
....halafu niliona kama vile alikuwa naye anataka kujibu mapigo pale pale kanisani alipoombewa Msamaha na Mkuu wake wa Chama Chao Mapinduzi....Lakini Askofu akamtolea Nje kwa kumuambia pale ni Madhabahuni...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…