Vazi la Makonda lazua mjadala hapa Moshi

mbona alipotoa salam za mkoa ukumbi wa kalimjee hamkusifia lile vazi?
 
Exposure!! Exposure!! Exposure! Ndiyo hilo yeye anafikiri Nguo yoyote unavaa popote tu.
 
Akili zangu zinanituma yupo kikazi huko, kiutekaji au hata kupiga mtu risasi. Bashite anajipa chuki kubwa kwa CHADEMA, ili kumfuruhisha Magufuli.
Mh, Mbowe na Viongozi wote wa CHADEMA kuweni macho na nyendo za Bashite huko. Mungu ibariki Tanganyika.
 
"Bora anafanya kazi vizuri mimi siangalii mavazi yake" nawaza kwa sauti on behalf of whom?
 
Makonda ameitwa madhabahuni ametubu na amejikubali kuwa ni mchafu, amepatanishwa na baba askofu na Mbowe, amaeumbuka atajifunza.
 
Nimeshangaa Sana alitaka kugoma upatanisho,ana muuliza askofu anapatanishwa kwa lipi?,hutu tu toto twaajabu sana.
Na jinsi yake ya kuchanwa,kajitabiria kuchanwa,Leo kuchanwa na Wakubwa mpk na Askofu mwenyewe kamuonya.
 
huyu ndiye gavana wa "wanaume wa Dar".

afu eti ushindanishe walume wa mikoani vs wale wa Dar..... wapi na wapi!!
 
Hahahahahaaa, hivi huyu naye ni Mkuu wa Mkoa!!! Dah!!!, jeans ya wahuni inavaliwa na RC kwenye msiba!!!!! Kweli Dar kuna RC - kiongozi wa wanyonge na maskini!!! Hana nguo ya kuvaa isipokuwa jeans liliposuka magotini!!!!
Jeans ya kuchanika kwa mbali mkuu 😨
Nimeona picha yupo yeye, Jerry Murro, Majizzo (efm) na jamaa mwingine; wenzake wamevaa smart. Labda yeye kuna stage alivuka na sasa ndio anapitia
 
Jana niliona sehemu picha ya pamoja na mkuu wa wilaya ya Hai Jerry Muro, Japo akili zao zinafanana ila kimuonekano mmoja ni kiongozi wa serikali na mwingine ni kama mhuni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…