Kibukuasili
JF-Expert Member
- May 15, 2010
- 1,053
- 615
Kila vazi atakalovaa askari mkamataji lazima liguse jamii fulani ama itikadi ya watu fulani,hivyo nadhani kuepuka hilo wakamate uchi.Moja ya Askari aliyeshiriki Ukamataji Kisutu amefunga kitambaa ambacho uvaliwa na waumini wa dini flani hasa kipindi Cha mfungo na sikukuu kuashiria vazi lenye star na linaloitambulisha dini hiyo kwa watu wengine.
Inapotokea Askari akavaa vazi Hilo na kufanya Ukamataji Tena unaodhaniwa kwenda kinyume kabisa na utu wa mwanadamu hasa pale wanapomkanyaga mtuhumiwa ndani ya gari si Jambo jema. Tunaona vazi hili likitumiwa vibaya na makundi ya kihalifu na ufanya unyama Kama huu na mara zote wenye dini hii wamekuwa wakikemea dini yao kuhusishwa na masuala yakikatili. Askari kanzu aliyevalia vazi ili pale kasitu may be hakua anajua madhara yakutumia vazi ili kwenye kazi zake, may be aliamini ni vazi Kama mavazi mengine na Sasa ameibua mjadala na mjadala huu utakuwa mkubwa Dunia kadri picha hizi zinavyosambaa.
Wito wangu kwa vyombo vya ulinzi na usalama, tujitahidi kuona madhara kabla hayajatokea na kukemea. Askari wetu kuendelea kupita mitaani na vazi hili wakiwa na silaha nikuhusianisha kazi zao na kinachofanyika Somalia na Nigeria ambapo binadamu katili uvaa vazi hili kwenda kufanya ukatili.
Ipo siku watauliza kwanini awavai mavazi ya kiaskofu au kichungaji kwenye magari yao? Pls fanyieni kazi hii siyi sign nzuri vinginevyo mseme mpo kwenye mkakati wakuuchafua utawala uliopo ambao unaongozwa bila itikadi za kidini
Yule shetani kuu wa bongo anavaaje?Moja ya Askari aliyeshiriki Ukamataji Kisutu amefunga kitambaa ambacho uvaliwa na waumini wa dini flani hasa kipindi Cha mfungo na sikukuu kuashiria vazi lenye star na linaloitambulisha dini hiyo kwa watu wengine.
Inapotokea Askari akavaa vazi Hilo na kufanya Ukamataji Tena unaodhaniwa kwenda kinyume kabisa na utu wa mwanadamu hasa pale wanapomkanyaga mtuhumiwa ndani ya gari si Jambo jema. Tunaona vazi hili likitumiwa vibaya na makundi ya kihalifu na ufanya unyama Kama huu na mara zote wenye dini hii wamekuwa wakikemea dini yao kuhusishwa na masuala yakikatili. Askari kanzu aliyevalia vazi ili pale kasitu may be hakua anajua madhara yakutumia vazi ili kwenye kazi zake, may be aliamini ni vazi Kama mavazi mengine na Sasa ameibua mjadala na mjadala huu utakuwa mkubwa Dunia kadri picha hizi zinavyosambaa.
Wito wangu kwa vyombo vya ulinzi na usalama, tujitahidi kuona madhara kabla hayajatokea na kukemea. Askari wetu kuendelea kupita mitaani na vazi hili wakiwa na silaha nikuhusianisha kazi zao na kinachofanyika Somalia na Nigeria ambapo binadamu katili uvaa vazi hili kwenda kufanya ukatili.
Ipo siku watauliza kwanini awavai mavazi ya kiaskofu au kichungaji kwenye magari yao? Pls fanyieni kazi hii siyi sign nzuri vinginevyo mseme mpo kwenye mkakati wakuuchafua utawala uliopo ambao unaongozwa bila itikadi za kidini
Hapo anaitwa ni mzalendo
Vipi kuhusu manesi, walimu na wafanyakazi wengine wa mstari wa mbele serikali wanaovaa mikufu yenye vidani vya msalaba.
Waislamu nao waanze kulalamika?
Polisi wapo kazini na wamevaa kiraia kama mmoja vasi lake limekukera hiyo ni personal issue, ambapo inabidi ujifunze kuwa tolerable kwenye nchi mchanganyiko.
Hilo ni vazi tu....Moja ya Askari aliyeshiriki Ukamataji Kisutu amefunga kitambaa ambacho uvaliwa na waumini wa dini flani hasa kipindi Cha mfungo na sikukuu kuashiria vazi lenye star na linaloitambulisha dini hiyo kwa watu wengine.
Inapotokea Askari akavaa vazi Hilo na kufanya Ukamataji Tena unaodhaniwa kwenda kinyume kabisa na utu wa mwanadamu hasa pale wanapomkanyaga mtuhumiwa ndani ya gari si Jambo jema. Tunaona vazi hili likitumiwa vibaya na makundi ya kihalifu na ufanya unyama Kama huu na mara zote wenye dini hii wamekuwa wakikemea dini yao kuhusishwa na masuala yakikatili. Askari kanzu aliyevalia vazi ili pale kasitu may be hakua anajua madhara yakutumia vazi ili kwenye kazi zake, may be aliamini ni vazi Kama mavazi mengine na Sasa ameibua mjadala na mjadala huu utakuwa mkubwa Dunia kadri picha hizi zinavyosambaa.
Wito wangu kwa vyombo vya ulinzi na usalama, tujitahidi kuona madhara kabla hayajatokea na kukemea. Askari wetu kuendelea kupita mitaani na vazi hili wakiwa na silaha nikuhusianisha kazi zao na kinachofanyika Somalia na Nigeria ambapo binadamu katili uvaa vazi hili kwenda kufanya ukatili.
Ipo siku watauliza kwanini awavai mavazi ya kiaskofu au kichungaji kwenye magari yao? Pls fanyieni kazi hii siyi sign nzuri vinginevyo mseme mpo kwenye mkakati wakuuchafua utawala uliopo ambao unaongozwa bila itikadi za kidini
Askari kanzu anaweza kufuga hata "rasta".......nadhani siyo busara polisi kuvaa kiraia, kubeba silaha, na kuanza kukamata raia.
..napendekeza utaratibu wa polisi kuvaa sare zao wanapokamata uzingatiwe.
..hawa wanaovalia kiraia na kubeba silaha wanaleta taswira mbaya kana kwamba ni wahuni au majambazi wanaokamata raia.
Askari kanzu anaweza kufuga hata "rasta".....
Hisia zako hizo....Unaweza ukahisi ni vazi rasmi la magaidi, maana wengi kama huyu askari wanavaa vivyo
Kulalama tuuuuuMoja ya Askari aliyeshiriki Ukamataji Kisutu amefunga kitambaa ambacho uvaliwa na waumini wa dini flani hasa kipindi Cha mfungo na sikukuu kuashiria vazi lenye star na linaloitambulisha dini hiyo kwa watu wengine.
Inapotokea Askari akavaa vazi Hilo na kufanya Ukamataji Tena unaodhaniwa kwenda kinyume kabisa na utu wa mwanadamu hasa pale wanapomkanyaga mtuhumiwa ndani ya gari si Jambo jema. Tunaona vazi hili likitumiwa vibaya na makundi ya kihalifu na ufanya unyama Kama huu na mara zote wenye dini hii wamekuwa wakikemea dini yao kuhusishwa na masuala yakikatili. Askari kanzu aliyevalia vazi ili pale kasitu may be hakua anajua madhara yakutumia vazi ili kwenye kazi zake, may be aliamini ni vazi Kama mavazi mengine na Sasa ameibua mjadala na mjadala huu utakuwa mkubwa Dunia kadri picha hizi zinavyosambaa.
Wito wangu kwa vyombo vya ulinzi na usalama, tujitahidi kuona madhara kabla hayajatokea na kukemea. Askari wetu kuendelea kupita mitaani na vazi hili wakiwa na silaha nikuhusianisha kazi zao na kinachofanyika Somalia na Nigeria ambapo binadamu katili uvaa vazi hili kwenda kufanya ukatili.
Ipo siku watauliza kwanini awavai mavazi ya kiaskofu au kichungaji kwenye magari yao? Pls fanyieni kazi hii siyi sign nzuri vinginevyo mseme mpo kwenye mkakati wakuuchafua utawala uliopo ambao unaongozwa bila itikadi za kidini
Mbona "anti robbery wanaokaa katika magari yao" husemei mavazi yao tofauti ?!!!..YES.
..anafanya hivyo ili asijulikane.
..sasa hawa wanaovaa kiraia na kubeba silaha waziwazi, na kupiga na kukamata raia, wanakiuka dhana nzima ya uaskari kanzu.
Wanadhani kwa kulalama wataitoa CCM madarakani....🤣🤣Kulalama tuuuuu
kutwa kucha
Mkuu mi nimeenda sawa na maudhui ya Uzi nimekosea wapi??Hisia zako hizo....
Askari kanzu huweza kuvaa vazi lolote lile....
Mbona hamuulizi kwanini baadhi ya Askari wa MAREKANI wanavaa mavazi hayo wakiwepo Iraq ,Afghanistan na kwengineko?!!!
Mbona "anti robbery wanaokaa katika magari yao" husemei mavazi yao tofauti ?!!!