Vazi Rasmi la siku ya Katiba ( Katiba day ) latajwa , Washiriki waanza kugawiwa

Vazi Rasmi la siku ya Katiba ( Katiba day ) latajwa , Washiriki waanza kugawiwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Katika jambo lolote kubwa na lenye Maslahi ya Kitaifa , huwa kunakuwa na Alama Maalum zinazoitambulisha siku hiyo Maalum pamoja na ukubwa wake .

Taarifa inaeleza kwamba Vazi rasmi lililoteuliwa ni TSHIRT NYEKUNDU na SURUALI NYEUSI , taarifa hiyo inaendelea kueleza kwamba tayari baadhi ya Wadau wameanza kupewa

No_Hate_No_Fear_(@chadema_in_blood)_posted_on_Instagram_•_Jun_24,_2021_at_11:23am_UTC%22_.jpg
 
Sote tumejifunza kuwa Katiba mpya ni jambo lisiloepukika maana isije toke huko mbele mtu wa ajabu akashika nchi akaturudisha tuliyoyapitia miaka 5 iliyopita.

Leo Rais mstaafu ameongea kuwa Katiba mpya ni suala la kawaida katika taasisi na hata nchi ili kurekebisha palipo na mapungufu na pia kuendana na mahitaji.

Sina mashaka na Mama ataurejesha mchakato tuipate Katiba mpya.
 
Ningependa hiyo tshirt nyekundu hayo maneno yawekwe juu kifuani pembeni upande wa kushoto, pawe na maandishi "katiba" upande wa juu, na "mpya" upande wa chini, halafu katikati pawe na alama kama ya kitabu kuonesha mfano wa Katiba yenyewe.
 
Katika jambo lolote kubwa na lenye Maslahi ya Kitaifa , huwa kunakuwa na Alama Maalum zinazoitambulisha siku hiyo Maalum pamoja na ukubwa wake .

Taarifa inaeleza kwamba Vazi rasmi lililoteuliwa ni TSHIRT NYEKUNDU na SURUALI NYEUSI , taarifa hiyo inaendelea kueleza kwamba tayari baadhi ya Wadau wameanza kupewa

View attachment 1832311
Ila CHADEMA mna utoto mwingi sana yaani.
 
Kwani aliyeutupa ule mchakato ni nani?
Sote tumejifunza kuwa Katiba mpya ni jambo lisiloepukika maana sije huko mbele mtu wa ajabu akashika nchi akaturudisha tuliyoyapitia miaka 5 iliyopita.

Leo Rais mstaafu ameongea kuwa Katina mpya ni suala la kawaida katika taasisi ma hata nchi ili kurekebisha palipo ma mapungufu na pia kuendana na mahitaji.

Sina mashaka na Mama ataurejesha mchakato tuipate Katiba mpya.
 
Nawakumbusha tu..., Mpya sio Necessarily ni Nzuri..., Na since politics ni Compromise sitashangaa ile ya (Sita na Samia) ndio ikapigiwa kura mtaani..., na Propaganda za Serikali ikapita kwa urahisi sana
 
Wachaga bwana lazima Kila kitu wakigeuze fursa

Hapo unakuta Dili la kuuza tisheti kapewa honey yake Fulani.
 
Back
Top Bottom