Vazi Rasmi la siku ya Katiba ( Katiba day ) latajwa , Washiriki waanza kugawiwa

Vazi Rasmi la siku ya Katiba ( Katiba day ) latajwa , Washiriki waanza kugawiwa

Ningependa hiyo tshirt nyekundu hayo maneno yawekwe juu kifuani pembeni upande wa kushoto, pawe na maandishi "katiba" upande wa juu, na "mpya" upande wa chini, halafu katikati pawe na alama kama ya kitabu kuonesha mfano wa Katiba yenyewe.
Ushauri Mzuri Sana sema kwa sasa zitakuwa zimeshaprintiwa nyingi, lakini kwa sababu jambo lenyewe ni endelevu, litafanyiwa kazi na wahusika.
 
Back
Top Bottom