mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
[emoji23][emoji23][emoji23]umekasirika kusikia mmeachwa mrushe mawe hewani!!Roho inakuuma utadhani unaimiliki Tanzania.Jinga kweli weye !Kufa kama vipi![emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
namlaumu sana jiwe kwa kuwapa kick mjini nyinyi nyani,ilifaa kuwapuuza kabisa kama mama anavyofanya.
juzi kawapa udc vijana wenu mliowaita wasaliti.hii ya katiba nayo itapita muijadili halafu kukuche aendelee na mambo mengin[emoji16][emoji16]
na hakuna kitu mtaeza fanya.