Vazi Rasmi la siku ya Katiba ( Katiba day ) latajwa , Washiriki waanza kugawiwa

Vazi Rasmi la siku ya Katiba ( Katiba day ) latajwa , Washiriki waanza kugawiwa

Jiwe kilichomshinda kufanya hivyo ni nini? Matokeo kafa kabla ya muda wake! Angepungukiwa nini angechapa kazi kimya kimya na kuwaacha wapinzani wake waongee na kukosoa?
Kabla ya muda wake wewe ndio mungu?
 
Kabla ya muda wake wewe ndio mungu?
Alikuwa mungu wenu.Kuna ng'ombe mwenzio aliwahi kuandika eti.."kila goti litapigwa kwa Magufuli"...!Nikamueleza afute hiyo sentence na aombe radhi ni kufuru.Akabisha.Ameyaona.😝😝😝😝😝
 
Alikuwa mungu wenu.Kuna ng'ombe mwenzio aliwahi kuandika eti.."kila goti litapigwa kwa Magufuli"...!Nikamueleza afute hiyo sentence na aombe radhi ni kufuru.Akabisha.Ameyaona.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Ni kwa vile tu una mtazamo wa kitaahira
 
Katika jambo lolote kubwa na lenye Maslahi ya Kitaifa , huwa kunakuwa na Alama Maalum zinazoitambulisha siku hiyo Maalum pamoja na ukubwa wake .

Taarifa inaeleza kwamba Vazi rasmi lililoteuliwa ni TSHIRT NYEKUNDU na SURUALI NYEUSI , taarifa hiyo inaendelea kueleza kwamba tayari baadhi ya Wadau wameanza kupewa

View attachment 1832311
Na bila shaka Akaunti inayopokea malipo ya t shitrs ni ya Mbowe! Ahahahahah!!
 
JF nzima inajua weye ni taahira halafu kikojozi sugu.Unajiaibishaga sana.Upoupo tu kama zumbukuku.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Ndio mimi ni kikojozi sugu yani ukizubaa tu lazima nikukojolee!

Hata wewe hapa naona ndio unachotafuta
 
Ndio mimi ni kikojozi sugu yani ukizubaa tu lazima nikukojolee!

Hata wewe hapa naona ndio unachotafuta
Ona sasa ulivyo mpuuzi.Unawaza ukunguni muda wote.Haya sasa,jinyee ili tukuelewe zaidi ujinga wako.😝😝😝😝😝
 
Katika jambo lolote kubwa na lenye Maslahi ya Kitaifa , huwa kunakuwa na Alama Maalum zinazoitambulisha siku hiyo Maalum pamoja na ukubwa wake .

Taarifa inaeleza kwamba Vazi rasmi lililoteuliwa ni TSHIRT NYEKUNDU na SURUALI NYEUSI , taarifa hiyo inaendelea kueleza kwamba tayari baadhi ya Wadau wameanza kupewa

View attachment 1832311
Kwa nini rangi nyekundu,nyeusi na nyeupe?Rangi hizi huwa tunazikuta kwa agents wa Shetani kama waganga wa kienyeji.It is very suspicious.Naamini wale wanaojua the meaning of colours watakubaliana na mimi.
 
Eti CHADEMA hii taarifa inatembea kwenye magroup ni kweli? Mmepokea pesa kutoka shirika la ILGA ili uhalali wa homosexuals iwe kwenye hiyo katiba mpya?

Nitoeni tongo tongo jamani.
IMG-20210626-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom