Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwani Manara na Kagere watakuwepo ?Itakuwa kama Simba Day!
Ila CHADEMA mna utoto mwingi sana yaani.Katika jambo lolote kubwa na lenye Maslahi ya Kitaifa , huwa kunakuwa na Alama Maalum zinazoitambulisha siku hiyo Maalum pamoja na ukubwa wake .
Taarifa inaeleza kwamba Vazi rasmi lililoteuliwa ni TSHIRT NYEKUNDU na SURUALI NYEUSI , taarifa hiyo inaendelea kueleza kwamba tayari baadhi ya Wadau wameanza kupewa
View attachment 1832311
Roho inakuuma utadhani unaimiliki Tanzania.Jinga kweli weye !Kufa kama vipi!ππππUzuri Samia amewaacha mpige kelele mtakavyo kama ilivyokuwa kwa JK huku mambo yakiendelea
Uzuri Samia amewaacha mpige kelele mtakavyo kama ilivyokuwa kwa JK huku mambo yakiendelea
Sote tumejifunza kuwa Katiba mpya ni jambo lisiloepukika maana sije huko mbele mtu wa ajabu akashika nchi akaturudisha tuliyoyapitia miaka 5 iliyopita.
Leo Rais mstaafu ameongea kuwa Katina mpya ni suala la kawaida katika taasisi ma hata nchi ili kurekebisha palipo ma mapungufu na pia kuendana na mahitaji.
Sina mashaka na Mama ataurejesha mchakato tuipate Katiba mpya.
Roho iniume kisa nini?Roho inakuuma utadhani unaimiliki Tanzania.Jinga kweli weye !Kufa kama vipi![emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inakuja kwa kuvaa mashati?Katiba mpya ipo njian kama hutaki kunywa sumu ewe taga
Mpuuzi weye!Dogo unamjua? Chungulia kwenye boksa/gagulo yako utamuona dogo!Kufa ng'ombe weye!ππππRoho iniume kisa nini?
Dogo umeanza kufualia siasa lini?