Vazi Rasmi la siku ya Katiba ( Katiba day ) latajwa , Washiriki waanza kugawiwa

Katiba mpya ni takwa la wananchi na wala siyo takwa la Chadema wala CCM,in case kama kuna punguani hajui.
 
Hureeeee niko Karagwe ..Chadema mwendo mdundo Wakoraaa sana...
 
Dada yangu ni mama yako.Halafu namuheshimu.Sasa tatizo ni weye mpwa mwanaharamu baba yako aliyekimbilia Burundi.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Dada una tabu wewe!

Ila usijali najua kinachokusibu.

Ni kawaida ya wadada kama wewe kuwa na hasira namna hii wakikosa ile kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…