S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 Jun 27, 2021 #81 Hatua nzuri na ni jambo jema.
matella3 Member Joined Nov 24, 2015 Posts 88 Reaction score 63 Jun 27, 2021 #82 denooJ said: Ningependa hiyo tshirt nyekundu hayo maneno yawekwe juu kifuani pembeni upande wa kushoto, pawe na maandishi "katiba" upande wa juu, na "mpya" upande wa chini, halafu katikati pawe na alama kama ya kitabu kuonesha mfano wa Katiba yenyewe. Click to expand... Ushauri Mzuri Sana sema kwa sasa zitakuwa zimeshaprintiwa nyingi, lakini kwa sababu jambo lenyewe ni endelevu, litafanyiwa kazi na wahusika.
denooJ said: Ningependa hiyo tshirt nyekundu hayo maneno yawekwe juu kifuani pembeni upande wa kushoto, pawe na maandishi "katiba" upande wa juu, na "mpya" upande wa chini, halafu katikati pawe na alama kama ya kitabu kuonesha mfano wa Katiba yenyewe. Click to expand... Ushauri Mzuri Sana sema kwa sasa zitakuwa zimeshaprintiwa nyingi, lakini kwa sababu jambo lenyewe ni endelevu, litafanyiwa kazi na wahusika.
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 20,694 Reaction score 32,527 Jun 27, 2021 #83 Mbowe mjanja, hapo kishapoga pesa za tshirt