Veronika wakunifanyia haya Mimi?

U're not Jobless, tayar umejiajir kwenye Taasis ya ndoa za kujitolea mkuu.
Tena miaka mitatu una uzoefu mkubwa ukijumlisha na changamoto unazopitia....
Usijidharau kabisa umepiga hatua kubwa kuliko Mwanaume yeyote wa kizazi hiki nyeti kabisa cha Wanyamwezi.
 
Katafute jukwaa la wehu wenzio, amekaa miezi 3 amepatia mimba huko amrudi kujifungua, mimba miezi 3? Huyo ni binadamu?
 
Njoo kwangu nikuliwaze
 
Mkuu Umeona wapi manzi anayependa kuitwa Malaya?Na kigezo Cha umalaya Kwa Africa ni kuzaa na Wanaume tofauti so huyo manzi kaona usimtanie.
 
Poko

Pole na koma
 
Huu Uzi ni kama hadithi haujabeba uhalisia mtoa mada huna ushirikiano na reply zako
Ahsante kwa kushiriki. πŸ‘
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚yaan namba D zipo kibao huku kitaa unaenda kuangaika na demu ashazaa watoto wawili wewe unafikiri angekupenda kweli...

hapo kaenda kwa jamaa yake katiwa mimba nyingine anakuletea wewe baba huruma ulee.....πŸ˜‚πŸ˜‚hii dunia usipokuwa katili hufanikiwi..ww jitie una huruma utalee watoto wa mwanaume mwenzio tu.
 
Na wanawake wanajua Mwanaume asiye na akili huwa hawakai nao.
Wapo wanawake smart hawataki wanaume mandondocha. Umemkuta ana watoto wawili unaamua uwalee... Anakuona huna akili. Lazima aku cheat na wenye akili. Akazae nao uje ulee
 
Kwenye kikao cha wanaume tulishakubaliana kuwa single mother anayestahili kupewa hifadhi ni yule Mjane (aliyefiwa na mumewe) na hadi ujiridhishe kwa uhalisia uone ndugu zake wa huyo marehemu na kaburi ndyo uanze mahusiano naye.
Je ulikuwepo au ulikwenda kuchimba dawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…