Veronika wakunifanyia haya Mimi?

Veronika wakunifanyia haya Mimi?

Wajomba hii ya mwisho nawaambia sirudiii tena....kwa saiv wadada wengi wana watoto either wawili au moja sasa ukimdate usiingize miguu yote kaaa kimachale msapoti mahitaji ya kawaida tu akileta miyeyusho toka nduki ukiwekeza sana akifanya ujinga utaumia wewe na wakati yy kawekeza 🍑
 
Huyu ni Binti wa 2001 tu hapo. Aliolewa aktelekezwa na jamaa akiwa bado mdogo na watoto wawili. Mimi nikajitosa kuwa nae kimahusiano. Nilijinyima nikahakikisha watoto nalea kama wakwangu wakati huo yulewa pili alikua na mwaka mmoja tu. Nimehenya kupambania familia isiteteleke. Nimejibana Kwa kipindi chote cha miaka mitatu.

Kwa muda wote huo nilimpangia nyumba, mavazi yeye na watoto ,nililipa bili za umeme, michezo ya vikoba, chakula na Hela za matumizi. Mwaka jana mwezi wa tano alisema dada yake amejifungua Kwa operation anaenda kumuuguza.
Alikaa huko miezi mitatu aliporudi alirudi mwezi august na mwezi huu kajifungua mtoto wa kike kumanisha mimba alipatia Kwa dada yake huko.

Maumivu ninayopitia ndugu zanguni ni zaidi ya Yale ya kukosa ajira.
Kwanini unafanya shughuli za kibinadamu kwenye maeneo tengefu ya serikali??
 
Wajomba hii ya mwisho nawaambia sirudiii tena....kwa saiv wadada wengi wana watoto either wawili au moja sasa ukimdate usiingize miguu yote kaaa kimachale msapoti mahitaji ya kawaida tu akileta miyeyusho toka nduki ukiwekeza sana akifanya ujinga utaumia wewe na wakati yy kawekeza 🍑
Nimekuelewa Sana mkuu na ningejiuliza mapema huenda nisingelia kama sasa
 
Back
Top Bottom