'Vestiges' kwenye miili ya wanyama, ushahidi tosha kwamba hatukuumbwa, bali tuli-'evolve' kuwa tulivyo

Mkuu wewe elimu inakupa uchizi maana hata kujiuliza swali dogo tu kwamba hiyo origin( mwanzo wa yote) kabla ya kuanza kubadilika ilitokea wapi? Ukivuta bangi ujue kujicontroll utawehuka

Kwahiyo unaamini kila kitu ni lazima kiwe na Origin, ?
 
Bado Hadi Leo hujamtambua Mungu????????

UMECHELEWA SANA mno.
Pole sana.
Hujachelewa, kwa Yesu Kuna Raha.

MIMI BINAFSI NIMEUMBWA NA MUNGU.
 
Duh, mbona siku hizi evolution haiendelei??
Na mimi najiuliza hilo swali
Tanapa watutangazie wamefanikiwa kuwakamata watu sabini ambao walikuwa sokwe na sasa wamebadilika kuwa watu na serikali imewapeleka kwenye vijiji mbalimbali ili wakaanze kuishi kama binadamu wengine.
 
Hebu soma uzi na comments zilizopita, haiwezekani swali hilo hilo lijibiwe mara 100 ndani ya thread moja...
 
Bila tailbone sahahau kunya.
 
Zote hizi ni njama za kumtoa Mungu kwenye equation,don't be fooled.Naomba nikukumbushe kwamba the fact that you do not know the use of anything,it doesn't mean it is useless.Binadamu mpo wajinga sana,jifunzeni kumheshimu muumba wenu.

Pia kumbukeni kwamba God has infinite power and knows everything while we as humans have limited power and knowledge,so there is nothing he can't do.
 
Ukionyesha sehemu moja tu ambayo nimesema Mungu hayupo au hajausika katika uwepo wetu, najitoa JF.
 
Ukionyesha sehemu moja tu ambayo nimesema Mungu hayupo au hajausika katika uwepo wetu, najitoa JF.
This shows that you believe in evolution👉Hii inaashiria kwamba hapo awali binadamu tulikuwa ni kiumbe tofauti kabisa kilichokuwa na mkia ila kwa sasa kiungo hicho kimepotea sababu matumizi yake hayapo tena. (If you don't use it, loose it), hii ndio principle inayotumika katika evolution👈.

Ni ukweli uliowazi kwamba anybody who believes in evolution is an atheist.FRANCIS DA DON HUO NDIO UKWELI YOU CAN'T RUN AWAY FROM IT.YOU DON'T HAVE TO SAY HAKUNA MUNGU,UNACHOAMINI TELLS IT ALL,MIMI NI INTELLIGENT,SIO MJINGA!
 
Ndugu yangu, kwani Mungu hawezi kutumia evolution kama tool mahsusi ya uumbaji? Miaka milioni 1 inaweza kuwa kama siku 1 tu kwake, hivyo akisema kaumba kwa siku 1 (million years of evolving), utabisha?
 
Hapana DON,Mungu hawezi kutumia evolution as a means of creation na hana haha hiyo.Remember He is omniscient (He is all knowing) and omnipotent(He is all powerful),so he says,and it is done.
 
Hapana DON,Mungu hawezi kutumia evolution as a means of creation na hana haha hiyo.Remember He is omniscient (He is all knowing) and omnipotent(He is all powerful),so he says,and it is done.
Unampangia cha kufanya? ameumba, na ameumba kwa mechanism ya evolution, na ushahidi upo
 
Unampangia cha kufanya? ameumba, na ameumba kwa mechanism ya evolution, na ushahidi upo
Hapana,hakuna ushahidi wa God using evolution in creation,kama upo ulete,ila nikupe angalizo,hicho unachodhania ni God's creation through evolution, kitakukuwa na mkono wa Shetani using his agents.Remember also that Darwin was Satan's agent,and there are many today.
 
Huu uzi wote unajadili evidence za evolution, halafu unaniambia nilete evidence?
 
Huu uzi wote unajadili evidence za evolution, halafu unaniambia nilete evidence?
Uzi ulioandikwa na agents wa Shetani kwa nia ya kupotosha ukweli!?Evolution is fake science which cannot be proved by scientific research and experimentation,so it's rubbish.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…