Viashiria vya uongo kuhusiana na ISIS, Al-Qaeda na wenzao

Viashiria vya uongo kuhusiana na ISIS, Al-Qaeda na wenzao

Imeatangazwa kuwa tawi la Alqaeda la Afrika Magharibi linajulikano kama AQIM limemchagua muAlgeria Abu Obaida Yusuf al-Annabi aliyekuwa mjumbe baraza la watukufu wa tawi hilo kuchukua nafasi ya Abdelmalek Droukdel aliyekuwa kiogozi wake aliyeuliwa na majeshi ya Ufaransa mwezi Juni nchini Mali kutokana na mashambulizi ya majeshi ya Ufaransa nchini humo.

Taarifa hizo ni kwa mujibu wa taasisi ya kimarekani iitwayo SITE monitoring group ambayo ni maalum katika kufuatilia harakati za wanamgambo wa kiislamu maeneo mbali mbali duniani.

Tawi hilo la AQIM lilionesha video ya maiti ya kiongozi wao aliyefariki na mashambulizi hayo muda mfupi kabla ya kumtambulisha kiongozi wao mpya.

Bwana Annabi kabla ya hapo amekuwa akioneshwa kwenye video mara kwa mara akihamasisha mashambulizi kwa askari wa kifaransa.

View attachment 1632757

Uchaguzi huu mpya wa tawi la Alqaeda umekuja sambamba na mahojiano aliyofanyiwa hivi karibu mjomba wa kiongozi aliyepinduliwa na kuuliwa wa Libya kanali Gadafi.Akiwa nchini Misri mjomba huyo Ahmed Kadhaf al-Dam ambaye alikuwa mshauri wa Gadafi katika mambo ya kiutawala na balozi wa Libya amesema yako makundi ya kiislamu yaliyotajwa kuwapo nchini humo lakini hakumbuki kuwepo mujahidina wala wenye imani kali mpaka pale habari hizo zilipotajwa na viongozi wa Ufaransa na Marekani wa wakati huo.

Viashiria vya uongo wa taarifa za ISIS,ALSHABAAB,BOKOHARAM na Alqaeda ni hivi :
1.Kwanza kama kweli vikundi hivyo vinaongozwa na waislamu viongozi wake wangekuwa ni wataalamu wa lugha ya kiarabu.Lugha ya kiarabu inajitosheleza kimaana haraka na hivyo matumizi ya vifupisho kama AQIM,ISIS na majina mengi yenye vifupisho vya namna hiyo hayawezi kuwa yametokana na waislamu.

2.Kama ni mkutano wa kuchagua viongozi ulifanyika wapi na ulihudhuriwa na nani.

3.Hizo vidio za matamshi ya viongozi hao mbona hazionekani popote na hata ukiingia kwenye mtandao wa SITE hakuna kitu.Kwa kusokana kwa picha halisi vyombo vya habari hurudia picha hiyo hiyo iliyopigwa eneo fulani miaka na miaka kama kwamba hao waliokuwemo hawajazeeka.

4.Inapoelezwa wanagambo hao wamesema kwenye mtandao wao.Huo mtandao anuwani yake ni ipi ili na wengine wathibitishe.Kama mtandao upo nani host wake na nani analipia name server ili mtandao uendelee kuwa hewani.Kwa sababu hakuna mtandao unaokwenda hewani bila kujulikana na ICAN . Kama anajulikana anayelipia kwanini asifuatiliwe akaonesha mapango ya walipo wenzake wanaoteka na kuuwa wanadiplomasia wa magharibi na ili waokolewe wale wanaowashikilia.

5. Iwapo kila siku wanamgambo wa kiislamu wanapigwa na kuzingirwa kwanini vita havina mwisho.Wao hawashindi na wala hawashindwi.

Kwa kukosa majibu masuali hayo ni dalili ya kuwepo watu wanaotuchezea akili zetu na wanaoupaka matope uislamu na wanaopata sababu za kuendeleza vita maeneo mbali mbali duniani kwa maslahi yao.

Na kwanini iwapo taarifa hizo haziaminiki na hazina chanzo madhubuti kwa nini wanahabari wanazipa umuhimu ha hawasema kama tulivyowaambia wauza barakoa kwamba wakawatangazie mama na baba zao kwanza.
Usipo jua kifo Tazama makaburi
 
Vikundi vilivyopewa majina hayo yawezekana vipo.Muhimu nani aliyewapa na jee ni majina tu au ni vikundi halisi.
Kama wewe nu muelewa basi kwa maelezo yangu wala huwezi kuniuliza suala na.2 badala yake labda ungeniuliza kwanini unapinga matendo ya ISIS na jibu langu tayari unalijua kwamba matendo hayo si ya kibinadamu na wala hayaungwi mkono na Uislamu dini ninayoifuata.
So ujumbe wako una lengo kubwa la kutuaminisha kwamba ISIS , alqaidah Ni vikundi tu vinavyojinasibisha na uislam lakini wahusika kiuhalisi si waislam kiimani?

Naomba nikuambie kitu wengi vijana wengi wanaoingia ISIS, alqaidah, hao hujikuta humo kutokana na ushawishi wa wakubwa wao wa kidini miskitini ambao kiuhalisi Wana Imani Kali Sana ... Huigiza matendo ya kale ya Vita wakati wa mtume eh kuchinja watu kwa majambia!

Lakini pia washawishi wa vijana Hawa ndio wale watumikao na CIA, Saudia, Uturuki, ufaransa, uk..

Vijana wengi huingia vitani kuitetea dini ya mwenyezimungu bila kuelewa lengo halisi nje ya malengo yao.. eg

1.kuharibu maendeleo ya nchi pinzani za marekani kwa kisingixio Cha demokrasia.. eg Iraq, Libya..
2.kuchota utajiri hasa mafuta na dhahabu eg Syria Nigeria..
3. Kupandikiza vibaraka wao madarakani.. unaambiwa mpaka mwezi wa 11 mwaka 2014 Al Assad angeondoka kwa nguvu ya ISIS, FSA, SDF..

Hawa FSA, na SDF wao walipewa jina la moderate militants lakini kiukweli Hawa no extremist wengine wenye action za kutisha sana
 
Lengo hapa nikuzichafua dini.... Nyie hamjastuka tu...... Wakristo wanawachafua kwa mambo ya ndoa za jinsia moja, na skendo za ulawiti huko Vatican.

Uislam wanauchafua na ugaidi.... Kizazi kijacho cha watoto ndio kitaambiwa hizi dini zina hayo matatizo...... Nanitakuwa rahisi sana kuzitokomeza.

Wazungu walileta dini kama silaha ya kutupumbaza ila sasa imewageukia katika zama hizi imekuwa ni silaha inayowadhuru wenyewe.....

Kama vile ambavyo walituigizia kuna coronavirus na mwisho wa siku inawasumbua wenyewe mbwa hawa.....

Tuwe makini sana na hawa jamaa.... Ni waoumbavu sana..... Kuna watu wanatumika.....

Hivi umeshawahi kusikia wapi viongozi wa dini za kiislamu wakakemea uovu wa magaidi badala yake wanakaa kimya.....?!

So it means wanaunga mkono mauwaji ya watoto, wamawake, wanaume, wazee na wagonjwa wasio na hatia kwa milipuko ya mabomu ya matukio ya ugaidi.....?!

Wapenda imani na mnaojua umuhimu wa imani kemeeni haya matukio kukalia kimya ni kuunga mkono uhalifu huu.....
 
Majibu katika paragrafu yako ya mwanzo ndio hasa mawazo yangu.Katika paragrafu ya pili kwa kujiamini umesema vijana wengi wanaoingia ISIS huingia kwa ushawishi wa wakubwa wao kidini misikitini ambao wana imani kali sana. Nikuulize wewe unaswali msikiti gani uliposhuhudia ushawishi huo. Mimi naswali misikiti mingi sana ya Tanzania kwa kweli nakuta viongozi wengi wa misikiti wamechoka sana na hata wakati mwengine huwa naona misikiti inaongozwa na watu ambao elimu zao ni ndogo hata Qur'an hawaisomi vizuri, halafu wewe unasema wana imani kali sana na wanaingiza imani za kuchinja watu.Kama ungesema umewahi kushuhudia kambi fulani wanayopata mafunzo vijana hao ingekuwa na mantiki badala ya kutaja misikiti.Na hiyo kambi nayo ingekuwa dalili tosha kuwa si kazi ya waislamu.

Leo nimesoma habari za Msumbiji inayosema hivi Mozambique’s army has struggled to contain the fighters, who have regularly beaten back the country’s security forces and air support from a private military group to capture and hold key locations during violent raids..
Kwamba kuna kikundi cha kijeshi kisichokuwa cha serikali na huenda kimekodiwa na serikali kupambana na ISIS. Kikundi hicho mara nyingi kinakuwa cha wazungu hapo unatarajia nini.Yale yaliyotokea Iraq na Libya si ndiyo tunayakaribisha hapo.Upande wa Tanzania nako jeshi limeshakamata vijana wenye nia ya kujiunga na wanamgambo wa Msumbiji.Ukamataji huo unaweza kuwashika watu wengi ambao wala hawana habari na shughuli hizo.

Nijuwavyo mimi dunia kwa sasa ina tatizo kubwa la kutokufuata dini na hasa vijana.Vijana wengi sana wameathirika na mpira na muziki.Tatizo hili limeiathiri sana dini ya ukristo Ulaya.Hawa vijana kwenye nchi za kiislamu pia wapo na hawana akili nzuri,hivyo kikija kikundi cha kijeshi cha kukodiwa kinachojifanya kupiga vita ISIS wanaweza wakaingia. Tatizo yawezekana huku wanawavutia kwa pesa wajiunge nao na kwa mlango wa nyuma huwa kinapigana nao.Sasa hapo kuwanasibisha vijana hao na uislamu ni kuipaka matope dini tukufu ya Mwenyezi Mungu.
 
So ujumbe wako una lengo kubwa la kutuaminisha kwamba ISIS , alqaidah Ni vikundi tu vinavyojinasibisha na uislam lakini wahusika kiuhalisi si waislam kiimani?
Naomba nikuambie kitu wengi vijana wengi wanaoingia ISIS, alqaidah, hao hujikuta humo kutokana na ushawishi wa wakubwa wao wa kidini miskitini ambao kiuhalisi Wana Imani Kali Sana ... Huigiza matendo ya kale ya Vita wakati wa mtume eh kuchinja watu kwa majambia!
Lakini pia washawishi wa vijana Hawa ndio wale watumikao na CIA, Saudia, Uturuki, ufaransa, uk..
Vijana wengi huingia vitani kuitetea dini ya mwenyezimungu bila kuelewa lengo halisi nje ya malengo yao.. eg
1.kuharibu maendeleo ya nchi pinzani za marekani kwa kisingixio Cha demokrasia.. eg Iraq, Libya..
2.kuchota utajiri hasa mafuta na dhahabu eg Syria Nigeria..
3. Kupandikiza vibaraka wao madarakani.. unaambiwa mpaka mwezi wa 11 mwaka 2014 Al Assad angeondoka kwa nguvu ya ISIS, FSA, SDF..
Hawa FSA, na SDF wao walipewa jina la moderate militants lakini kiukweli Hawa no extremist wengine wenye action za kutisha sana
4. Kulipua majengo Marekani (9/11)
5. Kulipua club za Marekani
6. Kuua watu kwa gari kubwa (Uingereza)
7. Kulipua viwanja vya matamasha(Ufaransa)
8. Kuchinja watu wamtukanao mtume(Ufaransa)
9. Nk. nk.

Hawa jamaa hawapendi demokrasia yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo hapa nikuzichafua dini.... Nyie hamjastuka tu...... Wakristo wanawachafua kwa mambo ya ndoa za jinsia moja, na skendo za ulawiti huko Vatican.

Uislam wanauchafua na ugaidi.... Kizazi kijacho cha watoto ndio kitaambiwa hizi dini zina hayo matatizo...... Nanitakuwa rahisi sana kuzitokomeza.

Wazungu walileta dini kama silaha ya kutupumbaza ila sasa imewageukia katika zama hizi imekuwa ni silaha inayowadhuru wenyewe.....

Kama vile ambavyo walituigizia kuna coronavirus na mwisho wa siku inawasumbua wenyewe mbwa hawa.....

Tuwe makini sana na hawa jamaa.... Ni waoumbavu sana..... Kuna watu wanatumika.....

Hivi umeshawahi kusikia wapi viongozi wa dini za kiislamu wakakemea uovu wa magaidi badala yake wanakaa kimya.....?!

So it means wanaunga mkono mauwaji ya watoto, wamawake, wanaume, wazee na wagonjwa wasio na hatia kwa milipuko ya mabomu ya matukio ya ugaidi.....?!

Wapenda imani na mnaojua umuhimu wa imani kemeeni haya matukio kukalia kimya ni kuunga mkono uhalifu huu.....
Mkuu usidanganywe na propaganda..mimi nimesoma Islamic schools toka primary Hawa waislam sio watu wa amani.

Nakumbuka walikuwa wanadaka watu wanachapa fimbo msikitini
Wale imani kali walikuwa wanajitenga hawataki urafiki na mtu asiye muislam
Walikuwa wakali sana kwa makafiri na wakarimu wao kwa wao

Unataka kusema hizi tabia zimeletwa na mmarekani?
Mzee tusipepese macho if it walks like a duck, quacks like a duck, swims like a duck then it is a duck

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4.Kulipua majengo marekani (9/11)
5.Kulipua club za marekani
6.Kuua watu kwa gari kubwa (Uingereza)
7.Kulipua viwanja vya matamasha(Ufaransa)
8.Kuchinja watu wamtukanao mtume(Ufaransa)
9.Nk. nk.

Hawa jamaa hawapendi demokrasia yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini Mimi nimekuwa nikipinga pointi namba 9 .. sioni Kama Kuna haha ya kuingilia dini za wengine kwa kuchora vibonzo ama kuigiza uovu kuhusu watakatifu wa dini hizi..
Nimekuwa nilifikiria hivi je Mimi binafsi nikigundua Kuna watu wanamcheza shere baba yangu kwa kumchora vibonzo lakini wakinionyesha Mimi kwa dharau! Je niwafanye Nini? Bila shaka nitachukua hatua Kali kuhakikisha hawafanyi upumbavu huo!
Kila mmoja aheshimu dini za wengine.. tutaishi vyema sana
 
Mkuu usidanganywe na propaganda..mimi nimesoma Islamic schools toka primary Hawa waislam sio watu wa amani.

Nakumbuka walikuwa wanadaka watu wanachapa fimbo msikitini
Wale imani kali walikuwa wanajitenga hawataki urafiki na mtu asiye muislam
Walikuwa wakali sana kwa makafiri na wakarimu wao kwa wao

Unataka kusema hizi tabia zimeletwa na mmarekani?
Mzee tusipepese macho if it walks like a duck,quacks like a duck, swims like a duck then it is a duck

Sent using Jamii Forums mobile app
Imani hizi Kali hazijaletwa na Marekani lakini kwa Imani hizi Kali marekani + rafikize hutumia mwanya huo kutekekeza maslahi yao..
 
Majibu katika paragrafu yako ya mwanzo ndio hasa mawazo yangu.Katika paragrafu ya pili kwa kujiamini umesema vijana wengi wanaoingia ISIS huingia kwa ushawishi wa wakubwa wao kidini misikitini ambao wana imani kali sana.Nikuulize wewe unaswali msikiti gani uliposhuhudia ushawishi huo. Mimi naswali misikiti mingi sana ya Tanzania kwa kweli nakuta viongozi wengi wa misikiti wamechoka sana na hata wakati mwengine huwa naona misikiti inaongozwa na watu ambao elimu zao ni ndogo hata Qur'an hawaisomi vizuri,halafu wewe unasema wana imani kali sana na wanaingiza imani za kuchinja watu.Kama ungesema umewahi kushuhudia kambi fulani wanayopata mafunzo vijana hao ingekuwa na mantiki badala ya kutaja misikiti.Na hiyo kambi nayo ingekuwa dalili tosha kuwa si kazi ya waislamu.
Leo nimesoma habari za Msumbiji inayosema hivi Mozambique’s army has struggled to contain the fighters, who have regularly beaten back the country’s security forces and air support from a private military group to capture and hold key locations during violent raids..
Kwamba kuna kikundi cha kijeshi kisichokuwa cha serikali na huenda kimekodiwa na serikali kupambana na ISIS. Kikundi hicho mara nyingi kinakuwa cha wazungu hapo unatarajia nini.Yale yaliyotokea Iraq na Libya si ndiyo tunayakaribisha hapo.Upande wa Tanzania nako jeshi limeshakamata vijana wenye nia ya kujiunga na wanamgambo wa Msumbiji.Ukamataji huo unaweza kuwashika watu wengi ambao wala hawana habari na shughuli hizo.
Nijuwavyo mimi dunia kwa sasa ina tatizo kubwa la kufuata dini na hasa vijana.Vijana wengi sana wameathirika na mpira na muziki.Tatizo hili limeiathiri sana dini ya ukristo Ulaya.Hawa vijana kwenye nchi za kiislamu pia wapo na hawana akili nzuri,hivyo kikija kikundi cha kijeshi cha kukodiwa kinachojifanya kupiga vita ISIS wanaweza wakaingia Tatizo yawezekana huku wanawavutia kwa pesa wajiunge nao na kwa mlango wa nyuma huwa kinapigana nao.Sasa hapo kuwanasibisha vijana hao na uislamu ni kuipaka matope dini tukufu ya Mwenyezi Mungu.
Ngoja nikwambie mkuu.. wakati nikisoma maeneo flani huko kusikojulikana 2012 katika eneo lao la kuabudu zilikuwa zikionyeshwa picha ( makala) ya namna dini tajwa inavyonyanyaswa na wamagharibi hivyo walishawishiwa kwamba wao vijana Ni jukum letu kupigana jihad kuukomboa Uma huo unaoteketekea kwa fitna za west.. mauaji, ubakaji nk..
Hivyo niliviona kwa macho yangu na Kama si mwalimu wangu wa mmoja wa falsafa chuoni udsm ningedondokea huko
 
Lakini Mimi nimekuwa nikipinga pointi namba 9 .. sioni Kama Kuna haha ya kuingilia dini za wengine kwa kuchora vibonzo ama kuigiza uovu kuhusu watakatifu wa dini hizi..
Nimekuwa nilifikiria hivi je Mimi binafsi nikigundua Kuna watu wanamcheza shere baba yangu kwa kumchora vibonzo lakini wakinionyesha Mimi kwa dharau! Je niwafanye Nini? Bila shaka nitachukua hatua Kali kuhakikisha hawafanyi upumbavu huo!
Kila mmoja aheshimu dini za wengine.. tutaishi vyema sana
Mzee hii subject ni ndefu sana ngoja tuiweke pembeni.
Lakini tuongelee hapo kwenye kuchukua sheria mkononi...kwamfano mtu akilala na mkeo unaruhusiwa kumuua?
Sheria za nchi inabidi zifuate mzee
Kwahyo kama dini inajichukulia sheria mkononi(regardless wako kwenye ukweli au la) basi ni makosa na vitendo vya kukemewa.

Kuvitukuza vitendo hivo ni kutishia amani na usalama wa nchi husika kwa maneno mengine ndo ugaidi huo bwashee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nikwambie mkuu.. wakati nikisoma maeneo flani huko kusikojulikana 2012 katika eneo lao la kuabudu zilikuwa zikionyeshwa picha ( makala) ya namna dini tajwa inavyonyanyaswa na wamagharibi hivyo walishawishiwa kwamba wao vijana Ni jukum letu kupigana jihad kuukomboa Uma huo unaoteketekea kwa fitna za west.. mauaji, ubakaji nk..
Hivyo niliviona kwa macho yangu na Kama si mwalimu wangu wa mmoja wa falsafa chuoni udsm ningedondokea huko
Hongera sana mkuu kwa kuwa honest...ni waislam wachache sana wenye hii character.
Humu Jf nimeona wewe ni wa pili.

Wengine hata kwenye ukweli watajaribu kuficha na hata mavi watayawekea icing sugar na cake decoration.
Siamini kama Ami hajawahi kukumbana na hayo mafundisho Lakini humu anatuficha.

Anyways Kongole kwako you've earned my respect

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kwel,mambo yote ya watu kuuwawa hovyo duniani,yanazaminiwa na wazungu,wamarekani na baadhi ya nchi za kiislamu kama saudia
Kwahiyo na yaliyofanywa kule Zanzibar, na Tarime wakati wa uchaguzi mkuu yalidhaminiwa na wazungu ?
 
Back
Top Bottom