Viashiria vya uongo kuhusiana na ISIS, Al-Qaeda na wenzao

Viashiria vya uongo kuhusiana na ISIS, Al-Qaeda na wenzao

Viashiria vya uongo wa taarifa za ISIS,ALSHABAAB,BOKOHARAM na Alqaeda ni hivi :
1.Kwanza kama kweli vikundi hivyo vinaongozwa na waislamu viongozi wake wangekuwa ni wataalamu wa lugha ya kiarabu.Lugha ya kiarabu inajitosheleza kimaana haraka na hivyo matumizi ya vifupisho kama AQIM,ISIS na majina mengi yenye vifupisho vya namna hiyo hayawez
Ungeandika kiarabu , hiyo lugha unayosifia kuwa ya kiislam ningekuelewa
 
Ungeandika kiarabu , hiyo lugha unayosifia kuwa ya kiislam ningekuelewa
Sijasema ni lugha ya kiislamu lakini yajulikana ni lugha muhimu kwa waislamu kwani maandiko ya asili yako kwa lugha hiyo na imepewa sifa ya ubora katika Qur'an kutoka kwa aliyeiumba.Zaidi ya hapo kwa kuwa sizungumzi na wewe peke yako kuandika kwa kiarabu hapa hakuleti maana.Hata hivyo jaribu kuandika wewe kwanza angalau sentensi mbili za kiarabu halafu tuwatafsirie wengine.
 
Hoja za msingi

(1) Wanaofanya hayo mauaji ni Waislamu au Wakiristo?
(2) Kwanini hao magaidi fake wanaungwa mkono sana na Ndugu zetu wengi wa upande wa pili? Kwa mfano Osama Bin Laden pamoja na kuongoza kundi feki la kigaidi bado aliungwa mkono tena sana tu na nduguze?!

(3) Kama ni kudanganywa kwanini Wakiristo wasidanganywe waanze kufanya mauaji?

Ukweli ni kuwa unaweza mdanganya mtu KIRAHISI kama ITIKADI yake inafanana kwa ukaribu na Uongo unaokusudia kumpatia!



Wanafanya mauaji hayo ya kinyama kwa furaha kubwa wakiamini kuwa wanatenda yaliyo Haki Mbele za Mungu Wao.

Wazungu hawahusiki kwa namna yeyote na ukatili huo uliopitiliza

Namshukuru Mungu Kuwa mfuasi wa Kristo
Chungulia andiko lako kisha tubainishe kwa kauli yako ANTI-BARAKAH nao wananasibishwa na dini gani..?
Kujadili mada kumhemko wa kujiona uko upande salama sio jambo jema kwa maana wewe unaposomeshwa amani kwa dhehebu lako basi wamagharibi wanatengeneza dhehebu la kimkakati ili kufanikisha malengo yao hususan nchi zetu hizi za kuungaunga uchumi waweza leo unashadidia e.g WAMASAI WEZI WA NG'OMBE ukananga saaana kwa kuwasema wamasai ila baada ya mwaka unajikuta ndugu wa kabila lako nao wamekamatwa na wizi wa ng'ombe je nasi tuamini kuwa kabila lenu ndilo linawaruhusu kufanya hayo mambo.

Sitetereki katika UISLAMU wangu kwa fujo za wajinga wachache.
 
Ni kweli, mambo yote ya watu kuuwawa hovyo duniani, yanadhaminiwa na wazungu, wamarekani na baadhi ya nchi za kiislamu kama Saudia
Naam mataifa yote makubwa Yana husika na hizi mbinu chafu wao ndio Wana create hivi vikundi kwa manufaa yao
 
Ngoja nikwambie mkuu.. wakati nikisoma maeneo flani huko kusikojulikana 2012 katika eneo lao la kuabudu zilikuwa zikionyeshwa picha ( makala) ya namna dini tajwa inavyonyanyaswa na wamagharibi hivyo walishawishiwa kwamba wao vijana Ni jukum letu kupigana jihad kuukomboa Uma huo unaoteketekea kwa fitna za west.. mauaji, ubakaji nk..
Hivyo niliviona kwa macho yangu na Kama si mwalimu wangu wa mmoja wa falsafa chuoni udsm ningedondokea huko
Shule au taasisi za kidini nyingi haswaa hizi za kiislam huwa nyuma ya pazia zina kuwa ziko supportive na Makundi mbali mbali ya kigaidi au na serikali fulani hivi toka uarabuni au west ..na malengo yao makuu huwa Ni kuwa brain washed vijana ili waweze kuwatumia katika mlengo wao wa machafuko ya kisiasa ....

Lengo la dini zote duniani lilikuwa Ni kuwajaza watu mifumo ya kiimani Kisha kuwa tumia watu hao ili waweze kurahisisha unafuu wakutawaliwa kisiasa pasipo wao kujua kwa kutumia kivuli cha dini " haya mambo haya kuanza Jana Wala juzi yapo kitambo sana
 
Mimi ndiye Ami mwenyewe nakuhakikishia sijawahi kukutana na mafundisho hayo. Huyo Sela Son naye aweke wazi wapi katika Tanzania alikutana na mafunzo hayo alipokuwa akisoma.Wakati mwengine uvivu wa kusoma unaweza ukampelekea mwanafuzni kutafsiri vibaya masomo yake.
Usibishe ... Msichokijua Ni kwamba wale mashekhe wengi ambao huwa wanawekwa misikitini kwaajili ya kuwa viongozi wa waislam wengi wao huwa Ni vibaraka wa mataifa fulani au magaidi ..kwahiyo usibishe
 
Usibishe ... Msichokijua Ni kwamba wale mashekhe wengi ambao huwa wanawekwa misikitini kwaajili ya kuwa viongozi wa waislam wengi wao huwa Ni vibaraka wa mataifa fulani au magaidi ..kwahiyo usibishe
Hamna dalili ya hilo.Kama ni kweli wangeshajua waislamu wenyewe mwanzo. Mengine ukisema hatutakubishia ,mfano wana njaa.
 
Hamna dalili ya hilo.Kama ni kweli wangeshajua waislamu wenyewe mwanzo. Mengine ukisema hatutakubishia ,mfano wana njaa.
Waislam wajue [emoji16][emoji16] wanaelimu gani ya kuwatambua majasusi !??
 
Hivyo vikundi vyote ni propoganda ya nchi za magharibi, kwa manufaa yao wenyewe...




Cc: mahondaw
 
Waislam wajue [emoji16][emoji16] wanaelimu gani ya kuwatambua majasusi !??
Umesema masheikh wengi ni vibaraka wa magharibi na magaidi.Sio kweli. Kama wapo ni wachache sana na waislamu wa kawaida haichukui muda tunawatambua na utaona waislamu wanawakwepa na hatimae wanashindwa wenyewe kuendelea kuongoza.
Hata kama kuna mkakati wa kuwanyima waislamu elimu lakini elimu zetu za mdrasa na ubinadamu wetu vinatosha kuwatambua vibaraka.
 
Ami wewe umejiunga lini na hili kundi na nani anayekuletea hizi habari hapa Tanzania? Sikia, tunayo IP address yako, nataka ikifika saa nne asubuhi uwe umeshafika hapa Polisi Oysterbay kitengo cha upelelezi.
Ujuzi wenyewe wa kupeleleza hamna.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom