mzee sorry lakini najua hutaki kuongelea haya...Lakini around 2012 mzee wangu alipokea CD na rafiki yake sana ni sheikh fulan.
ile CD ilikuwa inaonesha makambi mbalimbali ya Jihad hapa duniani na mafunzo wanayofanya huko.
ilionesha vijana wanavyoishi kambini na kujifunza kutumia silaha na kuattack watu.Mambo ni mengi
Lakini nakumbuka Mwishoni ilionesha wamedaka watu wengi(kama 30) wamepiga magoti wamevaa mapullover ya orange...wakawa wanasema baadhi ni mapadri wengine wamekana imani.
kila mmoja wao aliyepiga magoti alikuwa na kijana mwenye kisu nyuma yake..(i think you know what follows next)
Lakini mwishoni mwa ile CD ilikuwa inaonesha Vijana mbalimbali from all over the world wanaosapoti hizi kambi
Canada,US,Thailand,Indonesia,Libya,Kenya and yes Hata bongo.
Na kila mtu alikuwa anaongea kwa lugha yake wanaweka subtitle sasa yule mbongo alikuwa anaongea kiswahili anasema anatoka daresalaam halafu alikuwa anawaasa vijana wajiunge na jihad na alikuwa ameshikilia silaha.
Hiyo CD ilikuwa inasambazwa kisirisiri among muslims kipindi hicho na tuliiangalia sebulen familia nzima ila tuliizima mzee alishindwa kuangalia pale kwenye kuchinja tukazima
.
Hii inahusiana na mazingira unayoongelea wewe?
Sent using
Jamii Forums mobile app