Viatamizi vya BBT vya Unenepeshaji Mifugo ni hoi bin taabani. Raisi aliyetoa fedha anafichwa ukweli. Ngombe hawanenepeshwi ni vurugu tupu

Mimi binafsi nimetembelea vituo kadhaa vya BBT kwa upande wa Unenepeshaji mifugo kwa lengo la kujifunza. Vikiwemo Kikulula- Karagwe,Mabuki- Mwanza nk. Nimegundua yafuatayo;

1. Vijana wengi waliochaguliwa kushiriki BBT wamekata tamaa . Walichoitiwa sicho walichokikuta. Wameongezewa muda wa kukaa zaidi makambini bila kushirikishwa.

2. Ngombe walitakiwa kunenepeshwa kwa batch 4 kwa mwaka, hadi mwaka unaishilia , hata batch ya kwanza haijamalizika kufika sokoni. Imeonekana ngombe wao hawana sifa za soko, hivyo hakuna mnunuzi wa uhakika.

3. Ngombe walionunuliwa kwa unenepeshaji, hawatunzwi kwa kanuni za ulishaji vyakula vya ziada. Wanachungwa kama wa wanavijiji . Wamekaa karibia mwaka na hawajabadilika uzito.

4. Nilichokigundua ni kama zoezi lilianza bila maandalizi ya kutosha. Nafikiri Kuna watu wanahitajika kuwajibika kwa udanganyifu huo.

5. Inasemekana, hata ile ahadi ya Raisi kumpa kila kijana mtaji wa kununua ngombe 10,anenepeshe kwa mzunguko wa miezi mitatu mitatu,faida iwe yake haipo tena. Hakuna utaratibu wala kumbukumbu za wazi . Vijana wameshaelekezwa wakakope Benki.

Nimeyaeleza haya kwa lengo la kujenga. Vijana hawa ni Taifa la kesho. Tunapowapa ahadi kwa lengo la kuwaandalia ajira ni vyema tutimize yaliyokubaliwa.

Je, Mh. Raisi na Mama yetu, ndivyo hivi alivyotaka? Au kuna watu wanataka kumuangusha au kumchonganisha na vijana wetu?
Nilitaka kushangaa Ulega ana uwezo wa kuendesha Wizara kuliko Mashimba!!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kitu serikali ya ccm inaweza hatabkuiba kwenyewe hawajui wanaiba kishamba angalia hata yale mashamba waliosema mambo ya block farming hakuna jipya zaidi bashe anakenua meno hajielewi kabisa yule jamaa na ukimuona alivyosmart unasema hapa tuna waziri kumbe akilini kumejaa maji ya ukoko
Msomali na Kilimo wapi na wapi jamani!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Hii tulisema mapema humu ndani ni janja ya majizi wachache watu wakabisha.

Muda utasema zaidi.
 
Nadharia na vitendo ni vitu viwili tofauti.
Tusitegemee vitendo vitoe 100% ya nadharia. Nyakati nyingine wanaweza kuwa na matokeo ki vitendo 20%, kwa kuanzia, halafu 40% , na mwisho 60% au zaidi sana 80%.
Kwa sababu ya ujinga, sisi hufikiria 100% ambayo haipo duniani, labda mbinguni.
Tuwape nafasi, practice makes perfect.
 
Mimi binafsi nimetembelea vituo kadhaa vya BBT kwa upande wa Unenepeshaji mifugo kwa lengo la kujifunza. Vikiwemo Kikulula- Karagwe,Mabuki- Mwanza nk. Nimegundua yafuatayo;

1. Vijana wengi waliochaguliwa kushiriki BBT wamekata tamaa . Walichoitiwa sicho walichokikuta. Wameongezewa muda wa kukaa zaidi makambini bila kushirikishwa.

2. Ngombe walitakiwa kunenepeshwa kwa batch 4 kwa mwaka, hadi mwaka unaishilia , hata batch ya kwanza haijamalizika kufika sokoni. Imeonekana ngombe wao hawana sifa za soko, hivyo hakuna mnunuzi wa uhakika.

3. Ngombe walionunuliwa kwa unenepeshaji, hawatunzwi kwa kanuni za ulishaji vyakula vya ziada. Wanachungwa kama wa wanavijiji . Wamekaa karibia mwaka na hawajabadilika uzito.

4. Nilichokigundua ni kama zoezi lilianza bila maandalizi ya kutosha. Nafikiri Kuna watu wanahitajika kuwajibika kwa udanganyifu huo.

5. Inasemekana, hata ile ahadi ya Raisi kumpa kila kijana mtaji wa kununua ngombe 10,anenepeshe kwa mzunguko wa miezi mitatu mitatu,faida iwe yake haipo tena. Hakuna utaratibu wala kumbukumbu za wazi . Vijana wameshaelekezwa wakakope Benki.

Nimeyaeleza haya kwa lengo la kujenga. Vijana hawa ni Taifa la kesho. Tunapowapa ahadi kwa lengo la kuwaandalia ajira ni vyema tutimize yaliyokubaliwa.

Je, Mh. Raisi na Mama yetu, ndivyo hivi alivyotaka? Au kuna watu wanataka kumuangusha au kumchonganisha na vijana wetu?
Kwako Lucas mwashambwa
 
Speaking financially

Madhara ya upuuzi huu bado kuonekana, haya mambo wamekopea pesa ambazo marejesho yake ni sehemu ya mafanikio makusanyo ya malipo.

Hapo bado kuna malipo ya mbolea za ruzuku ambapo karibu 50% zimepigwa (no return of investment).

Kuna mashamba ya BBT na yenyewe ni muda tu kabla ya project kutangazwa failure.

Kuna mikopo ya TANESCO ambayo ni government guarantee to modernise transportation infrastructure, debt which will never be paid.

Mbele ni giza, wengine yetu macho.

Mama mpaka 2030, kama kuongoza nchi ni kazi rahisi basi hata mimi mnipe hiyo nafasi.

Ngumu kuelewa kwa sasa, ila siasa ni science tupeane muda; madhara ya makubwa hayapo mbali.

Kinachonishangaza (credit to the government) pamoja na kuwa overwhelmed na madeni mpaka sasa nchi aija angukia kwenye mikono ya theory ya ‘economic hit man’ $40 billion LNG plant (these people are not serious) sidhani kama wanaelewa huo mkataba wa malipo ya hilo deni ukojje.

Unataka kusikiliza mapoyoyo kama Zitto, January na Bashe; yetu macho.

Siasa ni science
 
Mimi binafsi nimetembelea vituo kadhaa vya BBT kwa upande wa Unenepeshaji mifugo kwa lengo la kujifunza. Vikiwemo Kikulula- Karagwe,Mabuki- Mwanza nk. Nimegundua yafuatayo;

1. Vijana wengi waliochaguliwa kushiriki BBT wamekata tamaa . Walichoitiwa sicho walichokikuta. Wameongezewa muda wa kukaa zaidi makambini bila kushirikishwa.

2. Ngombe walitakiwa kunenepeshwa kwa batch 4 kwa mwaka, hadi mwaka unaishilia , hata batch ya kwanza haijamalizika kufika sokoni. Imeonekana ngombe wao hawana sifa za soko, hivyo hakuna mnunuzi wa uhakika.

3. Ngombe walionunuliwa kwa unenepeshaji, hawatunzwi kwa kanuni za ulishaji vyakula vya ziada. Wanachungwa kama wa wanavijiji . Wamekaa karibia mwaka na hawajabadilika uzito.

4. Nilichokigundua ni kama zoezi lilianza bila maandalizi ya kutosha. Nafikiri Kuna watu wanahitajika kuwajibika kwa udanganyifu huo.

5. Inasemekana, hata ile ahadi ya Raisi kumpa kila kijana mtaji wa kununua ngombe 10,anenepeshe kwa mzunguko wa miezi mitatu mitatu,faida iwe yake haipo tena. Hakuna utaratibu wala kumbukumbu za wazi . Vijana wameshaelekezwa wakakope Benki.

Nimeyaeleza haya kwa lengo la kujenga. Vijana hawa ni Taifa la kesho. Tunapowapa ahadi kwa lengo la kuwaandalia ajira ni vyema tutimize yaliyokubaliwa.

Je, Mh. Raisi na Mama yetu, ndivyo hivi alivyotaka? Au kuna watu wanataka kumuangusha au kumchonganisha na vijana wetu?
Nikishaona tu fedha na mipango ya serekali kugeuzwa ni ya rais, mara Moja najua hilo bandiko ni la kichawa na kujipendekeza. Huu ujinga wa kimumgeuza rais ndio Mungu wa mambo ya nchi tutachelewa sana.
 
vituo atamizi ni mwarobaini wa nyama bora sokoni

wachana na uzushi
Mkuu, usiandikie mate na wino upo. Fika nilikotembelea ujionee. Narudia nia yangu ni njema kabisa. Pia naamini nia ya Raisi Mama yetu ilikuwa njema sana. Ila, ukweli usemwe.
 
Mama yako akishapewa hadithi

Hana habari ya kuuliza strategic planning

Risks associated na hiyo strategy

Counter measures to mitigate risk

Uelewa wake wa ‘downside risk’ za miradi ni zero.

Risk appetite ya serikali kwa miradi ya hovyo anayopelekewa ains mipaka mpaka budget iliyotengwa iishe ndio maana wanalazimisha vijana wabaki huko maporini, mpaka hela ikate. Hakuna cutting point to cut losses serikalini in to accept defeat.

Bashe mwenyewe ukimskiliza ni ujinga mtupu; yaani Carol Ndosi na Ali Kiba wakuandikie business plan ya wizara ya kilimo. The sort of people if you ask the what’s ‘husbandry’ in the spot they can’t give you an answer.

The whole BBT was pathetic kwenye kilimo wakandarsi waliochimba mabwawa wengi hawajalipwq na umwagiliaji wenyewe kwenye mashamba ni tia maji tia maji.

Haya mambo kama una akili zako timamu unayapigia kelele kabla hayajaanza na kuwaambia what will happen next; yakitokea wanaambiana kimya kimya huko walipo jamaa walisema hizi weaknesses but we don’t address them.

The next battle kwa watanzania ni kujaribu kuzuia huu upuuzi wa kukopesha magari ya umma, it’s just another wasteful programme ya hela za umma. It won’t work zaidi ya ufisadi tu.
 
Mimi binafsi nimetembelea vituo kadhaa vya BBT kwa upande wa Unenepeshaji mifugo kwa lengo la kujifunza. Vikiwemo Kikulula- Karagwe,Mabuki- Mwanza nk. Nimegundua yafuatayo;

1. Vijana wengi waliochaguliwa kushiriki BBT wamekata tamaa . Walichoitiwa sicho walichokikuta. Wameongezewa muda wa kukaa zaidi makambini bila kushirikishwa.

2. Ngombe walitakiwa kunenepeshwa kwa batch 4 kwa mwaka, hadi mwaka unaishilia , hata batch ya kwanza haijamalizika kufika sokoni. Imeonekana ngombe wao hawana sifa za soko, hivyo hakuna mnunuzi wa uhakika.

3. Ngombe walionunuliwa kwa unenepeshaji, hawatunzwi kwa kanuni za ulishaji vyakula vya ziada. Wanachungwa kama wa wanavijiji . Wamekaa karibia mwaka na hawajabadilika uzito.

4. Nilichokigundua ni kama zoezi lilianza bila maandalizi ya kutosha. Nafikiri Kuna watu wanahitajika kuwajibika kwa udanganyifu huo.

5. Inasemekana, hata ile ahadi ya Raisi kumpa kila kijana mtaji wa kununua ngombe 10,anenepeshe kwa mzunguko wa miezi mitatu mitatu,faida iwe yake haipo tena. Hakuna utaratibu wala kumbukumbu za wazi . Vijana wameshaelekezwa wakakope Benki.

Nimeyaeleza haya kwa lengo la kujenga. Vijana hawa ni Taifa la kesho. Tunapowapa ahadi kwa lengo la kuwaandalia ajira ni vyema tutimize yaliyokubaliwa.

Je, Mh. Raisi na Mama yetu, ndivyo hivi alivyotaka? Au kuna watu wanataka kumuangusha au kumchonganisha na vijana wetu?
Ipo hivi- Kuna Kampuni Bobezi kwenye Maswala ya Kilimo na Uvuvi. Walikuja Hapa Nchini na Kupresent Hii miradi ya BBT kwa Wazir wa Kilimo na pia Kwa Waziri wa Mifugo. Hii Kampuni ina formula za chakula cha mifugo(wakiwemo hao ngombe na pia walikuja na mradi wa Kuifanya Tanzania iwe na ngombe wake wenye kunenepeana kwa wakati na wastamilivu wa Magonjwa etc. Kwenye Kilimo walikuja na proposal ya kuifanya Tanzania kuwa No.1 Kwenye kilimo na kuleta ajira za kudumu zaidi ya 2 M kwenye sekta ya Kilimo. Walikuwa pia na Financial Proposal kwenye kilimo na Mifugo BBT.Kilichotokea ni Mawaziri husika kugeuka kuwa Ntu wa Dili na kujimwambafai kuwa Wao kama Mawaziri watafanya wenyewe na miradi hiyo itakuwa 100% successfully na watapiga hela ya kufa mtu. Ni kweli Wamepiga pesa ndefuu tuuu(ata Bungeni hii imewai lalamikiwa) na Ile kampuni mbali na kutolea nje ya Mradi- pia wamepigwa hela ndefu tu na Wajanja toka Wizara husika!! Kwa Sisi tulioonana na hii kampuni na inavyo fanya miradi hii sehemu zingine Duniani na haya madudu yanayofanywa na hizi wiazara zetu 2 ya kilimo na Uvuvi ni Usanii .Na ukweli akuna BBT itakayofanikiwa kwani hichi kinachofanywa sasa ni Usanii na it was not the one proposed na Wanaotakiwa fanya huu mradi awajausishwa ....... hii ina fanana na ile hadithi ya yule mchawi mkubwa .....aliachiwa just few pages za Project summary pale ofisini kwake Dodoma !Akajiona atashangaza Dunia ya Wadanganyika kuwa ni Waziri mwenye maono na mchapa kazi!!🤣🤣🤣. Zote Mbili BBT zimebuma!!! Iwapo Serikali inataka BBT ya Kweli na Kuleta Mapinduzi kwenye Kilimo!!! Wizara ya kilimo/Mifugo iwarudie walioleta proposal day one za BBT, vinginevyo ni Ujanja Ujanja tu akuna Atakaetoboa kwenye Current BBT programs hapa nchini tusijidanganye
 
Umeshawashtua sasa,,,hatuna muda mrefu utawaona saiti wakiendelea kutudanganya na sifa kibao Kwa bosi wao
 
Attachments

  • 13CBAAE5-021E-4943-A6D7-909794BF2ADB.jpeg
    13CBAAE5-021E-4943-A6D7-909794BF2ADB.jpeg
    14.8 KB · Views: 7
  • CC62F87C-26A9-46F3-B6AA-A92AA354CC96.jpeg
    CC62F87C-26A9-46F3-B6AA-A92AA354CC96.jpeg
    11.3 KB · Views: 7
  • 08015A00-989F-49E5-AD39-54E3CFF481A5.jpeg
    08015A00-989F-49E5-AD39-54E3CFF481A5.jpeg
    9.5 KB · Views: 8
Nadhani Bashe angewapa homework watu wa vituo hivi, moja wapo ni jamii jirani, Mabuki, hapo hapo jirani Kuna wafugaji, lakini vituo hivi ni kama havihusiki nao, walau wachukue wafugaji kadhaa, washirikiane nao kuonyesha ufugaji Bora, wanakijiji watajifunza kwa wenzao.

Kuna kule Maruku, kituo kimezungukwa na wananchi wenye kahawa na migomba iliyokata tamaa, halafu na wananchi wamezungukwa na kikosi Cha wataalamu wa mambo hayohayo.

Kwa nini wasichague wakulima kadhaa, wakawa wa mfano, na wakulima hao wakawa kichocheo kwa wenzao?

Hawa vijana wanaopewa hizo Kambi bado hawajatulia kisaikolojia, wangetafuta wale walioanza kujitafuta, hao wanajihisi bado wako darasani na serikali inawalea, hawana idea ya kilimo biashara
Wazir wako anajiona ndo kila kitu na ujuaji tele! Aliahidi Mapinduzi ya Kilimo nchini!! Zero, Bei za Mbolea na Pembejeo azishikiki. Bra bra tu ndo zipo
 
Back
Top Bottom