Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Mradi wa utapelini mradi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mradi wa utapelini mradi
Nilitaka kushangaa Ulega ana uwezo wa kuendesha Wizara kuliko Mashimba!!Mimi binafsi nimetembelea vituo kadhaa vya BBT kwa upande wa Unenepeshaji mifugo kwa lengo la kujifunza. Vikiwemo Kikulula- Karagwe,Mabuki- Mwanza nk. Nimegundua yafuatayo;
1. Vijana wengi waliochaguliwa kushiriki BBT wamekata tamaa . Walichoitiwa sicho walichokikuta. Wameongezewa muda wa kukaa zaidi makambini bila kushirikishwa.
2. Ngombe walitakiwa kunenepeshwa kwa batch 4 kwa mwaka, hadi mwaka unaishilia , hata batch ya kwanza haijamalizika kufika sokoni. Imeonekana ngombe wao hawana sifa za soko, hivyo hakuna mnunuzi wa uhakika.
3. Ngombe walionunuliwa kwa unenepeshaji, hawatunzwi kwa kanuni za ulishaji vyakula vya ziada. Wanachungwa kama wa wanavijiji . Wamekaa karibia mwaka na hawajabadilika uzito.
4. Nilichokigundua ni kama zoezi lilianza bila maandalizi ya kutosha. Nafikiri Kuna watu wanahitajika kuwajibika kwa udanganyifu huo.
5. Inasemekana, hata ile ahadi ya Raisi kumpa kila kijana mtaji wa kununua ngombe 10,anenepeshe kwa mzunguko wa miezi mitatu mitatu,faida iwe yake haipo tena. Hakuna utaratibu wala kumbukumbu za wazi . Vijana wameshaelekezwa wakakope Benki.
Nimeyaeleza haya kwa lengo la kujenga. Vijana hawa ni Taifa la kesho. Tunapowapa ahadi kwa lengo la kuwaandalia ajira ni vyema tutimize yaliyokubaliwa.
Je, Mh. Raisi na Mama yetu, ndivyo hivi alivyotaka? Au kuna watu wanataka kumuangusha au kumchonganisha na vijana wetu?
Msomali na Kilimo wapi na wapi jamani!Hakuna kitu serikali ya ccm inaweza hatabkuiba kwenyewe hawajui wanaiba kishamba angalia hata yale mashamba waliosema mambo ya block farming hakuna jipya zaidi bashe anakenua meno hajielewi kabisa yule jamaa na ukimuona alivyosmart unasema hapa tuna waziri kumbe akilini kumejaa maji ya ukoko
Wapi vp?Kama
KAma rais ni wa ccm wala usiumize kichwa anajua kila kitu...ccm ni baba la uongo na lisemapo uongo linasema yaliyo yske kwani ccm ni baba wa huo uongo tangu mwanzo
CAG Anam~ZoomBashe keshapiga mpunga na maneno meeeeengi
Kwako Lucas mwashambwaMimi binafsi nimetembelea vituo kadhaa vya BBT kwa upande wa Unenepeshaji mifugo kwa lengo la kujifunza. Vikiwemo Kikulula- Karagwe,Mabuki- Mwanza nk. Nimegundua yafuatayo;
1. Vijana wengi waliochaguliwa kushiriki BBT wamekata tamaa . Walichoitiwa sicho walichokikuta. Wameongezewa muda wa kukaa zaidi makambini bila kushirikishwa.
2. Ngombe walitakiwa kunenepeshwa kwa batch 4 kwa mwaka, hadi mwaka unaishilia , hata batch ya kwanza haijamalizika kufika sokoni. Imeonekana ngombe wao hawana sifa za soko, hivyo hakuna mnunuzi wa uhakika.
3. Ngombe walionunuliwa kwa unenepeshaji, hawatunzwi kwa kanuni za ulishaji vyakula vya ziada. Wanachungwa kama wa wanavijiji . Wamekaa karibia mwaka na hawajabadilika uzito.
4. Nilichokigundua ni kama zoezi lilianza bila maandalizi ya kutosha. Nafikiri Kuna watu wanahitajika kuwajibika kwa udanganyifu huo.
5. Inasemekana, hata ile ahadi ya Raisi kumpa kila kijana mtaji wa kununua ngombe 10,anenepeshe kwa mzunguko wa miezi mitatu mitatu,faida iwe yake haipo tena. Hakuna utaratibu wala kumbukumbu za wazi . Vijana wameshaelekezwa wakakope Benki.
Nimeyaeleza haya kwa lengo la kujenga. Vijana hawa ni Taifa la kesho. Tunapowapa ahadi kwa lengo la kuwaandalia ajira ni vyema tutimize yaliyokubaliwa.
Je, Mh. Raisi na Mama yetu, ndivyo hivi alivyotaka? Au kuna watu wanataka kumuangusha au kumchonganisha na vijana wetu?
Nikishaona tu fedha na mipango ya serekali kugeuzwa ni ya rais, mara Moja najua hilo bandiko ni la kichawa na kujipendekeza. Huu ujinga wa kimumgeuza rais ndio Mungu wa mambo ya nchi tutachelewa sana.Mimi binafsi nimetembelea vituo kadhaa vya BBT kwa upande wa Unenepeshaji mifugo kwa lengo la kujifunza. Vikiwemo Kikulula- Karagwe,Mabuki- Mwanza nk. Nimegundua yafuatayo;
1. Vijana wengi waliochaguliwa kushiriki BBT wamekata tamaa . Walichoitiwa sicho walichokikuta. Wameongezewa muda wa kukaa zaidi makambini bila kushirikishwa.
2. Ngombe walitakiwa kunenepeshwa kwa batch 4 kwa mwaka, hadi mwaka unaishilia , hata batch ya kwanza haijamalizika kufika sokoni. Imeonekana ngombe wao hawana sifa za soko, hivyo hakuna mnunuzi wa uhakika.
3. Ngombe walionunuliwa kwa unenepeshaji, hawatunzwi kwa kanuni za ulishaji vyakula vya ziada. Wanachungwa kama wa wanavijiji . Wamekaa karibia mwaka na hawajabadilika uzito.
4. Nilichokigundua ni kama zoezi lilianza bila maandalizi ya kutosha. Nafikiri Kuna watu wanahitajika kuwajibika kwa udanganyifu huo.
5. Inasemekana, hata ile ahadi ya Raisi kumpa kila kijana mtaji wa kununua ngombe 10,anenepeshe kwa mzunguko wa miezi mitatu mitatu,faida iwe yake haipo tena. Hakuna utaratibu wala kumbukumbu za wazi . Vijana wameshaelekezwa wakakope Benki.
Nimeyaeleza haya kwa lengo la kujenga. Vijana hawa ni Taifa la kesho. Tunapowapa ahadi kwa lengo la kuwaandalia ajira ni vyema tutimize yaliyokubaliwa.
Je, Mh. Raisi na Mama yetu, ndivyo hivi alivyotaka? Au kuna watu wanataka kumuangusha au kumchonganisha na vijana wetu?
Huo ndio ukweli, uhuni ni uhuni bila kujali ni wa serekali ama vipi. Ww ndio unaona jambo la serekali ni la miungu.huwezi kuita mradi wa serikali uhuni ndugu
Mkuu, usiandikie mate na wino upo. Fika nilikotembelea ujionee. Narudia nia yangu ni njema kabisa. Pia naamini nia ya Raisi Mama yetu ilikuwa njema sana. Ila, ukweli usemwe.vituo atamizi ni mwarobaini wa nyama bora sokoni
wachana na uzushi
Mama yako akishapewa hadithiMkuu, usiandikie mate na wino upo. Fika nilikotembelea ujionee. Narudia nia yangu ni njema kabisa. Pia naamini nia ya Raisi Mama yetu ilikuwa njema sana. Ila, ukweli usemwe.
Umasema??!huwezi kuita mradi wa serikali uhuni ndugu
Ipo hivi- Kuna Kampuni Bobezi kwenye Maswala ya Kilimo na Uvuvi. Walikuja Hapa Nchini na Kupresent Hii miradi ya BBT kwa Wazir wa Kilimo na pia Kwa Waziri wa Mifugo. Hii Kampuni ina formula za chakula cha mifugo(wakiwemo hao ngombe na pia walikuja na mradi wa Kuifanya Tanzania iwe na ngombe wake wenye kunenepeana kwa wakati na wastamilivu wa Magonjwa etc. Kwenye Kilimo walikuja na proposal ya kuifanya Tanzania kuwa No.1 Kwenye kilimo na kuleta ajira za kudumu zaidi ya 2 M kwenye sekta ya Kilimo. Walikuwa pia na Financial Proposal kwenye kilimo na Mifugo BBT.Kilichotokea ni Mawaziri husika kugeuka kuwa Ntu wa Dili na kujimwambafai kuwa Wao kama Mawaziri watafanya wenyewe na miradi hiyo itakuwa 100% successfully na watapiga hela ya kufa mtu. Ni kweli Wamepiga pesa ndefuu tuuu(ata Bungeni hii imewai lalamikiwa) na Ile kampuni mbali na kutolea nje ya Mradi- pia wamepigwa hela ndefu tu na Wajanja toka Wizara husika!! Kwa Sisi tulioonana na hii kampuni na inavyo fanya miradi hii sehemu zingine Duniani na haya madudu yanayofanywa na hizi wiazara zetu 2 ya kilimo na Uvuvi ni Usanii .Na ukweli akuna BBT itakayofanikiwa kwani hichi kinachofanywa sasa ni Usanii na it was not the one proposed na Wanaotakiwa fanya huu mradi awajausishwa ....... hii ina fanana na ile hadithi ya yule mchawi mkubwa .....aliachiwa just few pages za Project summary pale ofisini kwake Dodoma !Akajiona atashangaza Dunia ya Wadanganyika kuwa ni Waziri mwenye maono na mchapa kazi!!🤣🤣🤣. Zote Mbili BBT zimebuma!!! Iwapo Serikali inataka BBT ya Kweli na Kuleta Mapinduzi kwenye Kilimo!!! Wizara ya kilimo/Mifugo iwarudie walioleta proposal day one za BBT, vinginevyo ni Ujanja Ujanja tu akuna Atakaetoboa kwenye Current BBT programs hapa nchini tusijidanganyeMimi binafsi nimetembelea vituo kadhaa vya BBT kwa upande wa Unenepeshaji mifugo kwa lengo la kujifunza. Vikiwemo Kikulula- Karagwe,Mabuki- Mwanza nk. Nimegundua yafuatayo;
1. Vijana wengi waliochaguliwa kushiriki BBT wamekata tamaa . Walichoitiwa sicho walichokikuta. Wameongezewa muda wa kukaa zaidi makambini bila kushirikishwa.
2. Ngombe walitakiwa kunenepeshwa kwa batch 4 kwa mwaka, hadi mwaka unaishilia , hata batch ya kwanza haijamalizika kufika sokoni. Imeonekana ngombe wao hawana sifa za soko, hivyo hakuna mnunuzi wa uhakika.
3. Ngombe walionunuliwa kwa unenepeshaji, hawatunzwi kwa kanuni za ulishaji vyakula vya ziada. Wanachungwa kama wa wanavijiji . Wamekaa karibia mwaka na hawajabadilika uzito.
4. Nilichokigundua ni kama zoezi lilianza bila maandalizi ya kutosha. Nafikiri Kuna watu wanahitajika kuwajibika kwa udanganyifu huo.
5. Inasemekana, hata ile ahadi ya Raisi kumpa kila kijana mtaji wa kununua ngombe 10,anenepeshe kwa mzunguko wa miezi mitatu mitatu,faida iwe yake haipo tena. Hakuna utaratibu wala kumbukumbu za wazi . Vijana wameshaelekezwa wakakope Benki.
Nimeyaeleza haya kwa lengo la kujenga. Vijana hawa ni Taifa la kesho. Tunapowapa ahadi kwa lengo la kuwaandalia ajira ni vyema tutimize yaliyokubaliwa.
Je, Mh. Raisi na Mama yetu, ndivyo hivi alivyotaka? Au kuna watu wanataka kumuangusha au kumchonganisha na vijana wetu?
Tupia picha za n'gombe waliokonda mkuu!!
Wazir wako anajiona ndo kila kitu na ujuaji tele! Aliahidi Mapinduzi ya Kilimo nchini!! Zero, Bei za Mbolea na Pembejeo azishikiki. Bra bra tu ndo zipoNadhani Bashe angewapa homework watu wa vituo hivi, moja wapo ni jamii jirani, Mabuki, hapo hapo jirani Kuna wafugaji, lakini vituo hivi ni kama havihusiki nao, walau wachukue wafugaji kadhaa, washirikiane nao kuonyesha ufugaji Bora, wanakijiji watajifunza kwa wenzao.
Kuna kule Maruku, kituo kimezungukwa na wananchi wenye kahawa na migomba iliyokata tamaa, halafu na wananchi wamezungukwa na kikosi Cha wataalamu wa mambo hayohayo.
Kwa nini wasichague wakulima kadhaa, wakawa wa mfano, na wakulima hao wakawa kichocheo kwa wenzao?
Hawa vijana wanaopewa hizo Kambi bado hawajatulia kisaikolojia, wangetafuta wale walioanza kujitafuta, hao wanajihisi bado wako darasani na serikali inawalea, hawana idea ya kilimo biashara