Vibaka Afrika Kusini walipua gari ya hela kwa bomu na kupora pesa (inakuaje wahalifu tena vibaka kumiliki silaha nzito za gharama?)

Leo saa 6 mchana vibaka wenye silaha Nzito wameipiga kwa BOMU gari iliyo kuwa imebeba fedha na kupora fedha

Tukio Hilo limetokea mtaa wa kwathema Gp (Gauteng) gari hiyo iliyo beba fedha ikiwa barabarani vijana sijui waliitrack vipi ghafla kilisikika kishindo tu cha bomu na majibizano ya risasi makali kufuatia Kati ya hao WAHALIFU na walinzi

Lakini walinzi licha ya majibizano hayo hawakufanikiwa kuokoa kiasi hicho cha fedha na wahalifu kufanikiwa kutokomea na fedha hizo

PICHA ZAIDI HIZI CHINI

SWALI :- JE SOUTH AFRICA VIBAKA WANAPATA WAPI SILAHA NZITO KAMA HIZO MABOMU AK47 NK?
Walizinunua silaha kupambana na wazungu wabaguzi, baada ya uhuru wamebaki nazo, sasa wanapambana na umaskini.
 
Leo saa 6 mchana vibaka wenye silaha Nzito wameipiga kwa BOMU gari iliyo kuwa imebeba fedha na kupora fedha

Tukio Hilo limetokea mtaa wa kwathema Gp (Gauteng) gari hiyo iliyo beba fedha ikiwa barabarani vijana sijui waliitrack vipi ghafla kilisikika kishindo tu cha bomu na majibizano ya risasi makali kufuatia Kati ya hao WAHALIFU na walinzi

Lakini walinzi licha ya majibizano hayo hawakufanikiwa kuokoa kiasi hicho cha fedha na wahalifu kufanikiwa kutokomea na fedha hizo

PICHA ZAIDI HIZI CHINI

SWALI :- JE SOUTH AFRICA VIBAKA WANAPATA WAPI SILAHA NZITO KAMA HIZO MABOMU AK47 NK?
Matukio ya namna hii huleta hali ya kuheshimiana Kati ya Watawala na watawaliwa.
 
Hapo hao Polisi wanasitika kutokuwepo kwenye hilo dili maana kila mtu anatamani kuiba tu SA ingawaje kipo kikosi kwa ajili ya kuzuia uhalifu wa aina hiyo hao wanaua kweli sio hawa waliokuja kulinda baada ya wahuni kuiba.
 
Leo saa 6 mchana vibaka wenye silaha Nzito wameipiga kwa BOMU gari iliyo kuwa imebeba fedha na kupora fedha

Tukio Hilo limetokea mtaa wa kwathema Gp (Gauteng) gari hiyo iliyo beba fedha ikiwa barabarani vijana sijui waliitrack vipi ghafla kilisikika kishindo tu cha bomu na majibizano ya risasi makali kufuatia Kati ya hao WAHALIFU na walinzi

Lakini walinzi licha ya majibizano hayo hawakufanikiwa kuokoa kiasi hicho cha fedha na wahalifu kufanikiwa kutokomea na fedha hizo

PICHA ZAIDI HIZI CHINI

SWALI :- JE SOUTH AFRICA VIBAKA WANAPATA WAPI SILAHA NZITO KAMA HIZO MABOMU AK47 NK?
Wewe ndio utuambie sisi...... Kwamba wanatoa wapi
 
Tsotsi, aikona!
 
Nchi ambayo kuna mzungu ni rahisi sana kupata vitu kama hizo silaha. Hujiulizi kwanini kuna hijacking sana huko , Tanzania umewahi kusikia hijack? South ni rahisi kupata kitu na kuuza kitu
Unaota mchana kweupe. Akina MO?
Hivi Hawa wanaoingia ndani ya basi na kuteka mtu na kumuua, wakitaka kuteka gari la pesa watashindwa?
Subiri tu mtaona!
 
Wez

Wezi wanayajua hayo kama wamevaa mask imetoka hiyo

Okey!
Sio Kwamba wataangalia hiyo gari imeingia wapi na kuanzia hapo?!
Sababu SA wana uzoefu na ku-deal na hizo masks maana Crime rate iko juu kwa hiyo sizani kama hao wa kuvaa masks kama ni incidence ya kwanza kiasi Kwamba wasiwe na uzoefu wa kuishughulikia.
 
Kwanini wasianze kusafirusha Pesa kwa njia ya Anga kwa kutumia Chopa?!
 
Unaota mchana kweupe. Akina MO?
Hivi Hawa wanaoingia ndani ya basi na kuteka mtu na kumuua, wakitaka kuteka gari la pesa watashindwa?
Subiri tu mtaona!
Mbona Dar yalikuwa yanafanyika mchana kweupe.

"BREAKING NEWZZ...MAJAMBAZI WAVAMIA BANK NA MABOMU MBAGALA NA KUUWA WALINZI", tukio hili lilitokea mchana kweupe.​

Kivipi?
Hata kama ingekuwa ni kweli Lakini wana afadhali kubwa ukilinganisha na Tanganyika au sio ?!
Unajua SA ndio Ulaya/America ya African Continent ?
Popote Penye mzungu huwa panakuwa na baraka kubwa Sijui Siri hii anaujua M. Mungu pekee.

Kweli South Africa imeendelea sana, ila watu weusi ambao ni wazawa wanavuruga kwa mikono yao nchi yao
 
Back
Top Bottom