Vibanda vilivyowekwa kando ya barabara Jijini Dar es Salaam kuondolewa

Niliwahi kusoma hadithi ya "kivuli kinaishi" na sasa ni dhairi. Low class wana kazi ngumu sana chini ya hawa "wadhungu" wa kileo
 
Gari la tangazo linapita kutangaza ya kuwa ifikapo tarehe 18 mwezi huu hakitakiwi kibanda chochote kuonekana kando kando ya barabara katika jiji la Dar es Salaam.

Tutamkumbuka kwa mazuri tu na sio kwa mabaya kwasababu aliamua ku sacrifice maisha yakke kwa ajili yetu kama alivyofanya Yesu Kristo pale Msalabani!
 
“msomi yeyote” Mwambie ajitafakari sana.
 
Wazo zuri Jiji lazima lipangike liwe safi Biashara zitengewe maeneo Maalumu sio kila sehemu ni vibanda Angalia Posta Mpaka wachina Mahindi na viazi utadhani Mbagala Ofisi za Serikali Wamejaa Mama lishe shoe shines uchafu mtu
Mji Hauna hadhi...hata vijijini kuna UTARATIBU.
 
Gari la tangazo linapita kutangaza ya kuwa ifikapo tarehe 18 mwezi huu hakitakiwi kibanda chochote kuonekana kando kando ya barabara katika jiji la Dar es Salaam.

Duh leo nimeenda kariakoo nimestaajabu kuona vibanda vya machinga katikati ya barabara. Yaani gari haziwezi pita wenye maduka na mashine za risiti za tra wanashindana na machinga wasiyolipa kodi ya majengo na wengi hawana wala kibali cha machinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…