Vibao vya shule na taasisi nyingine za serikali kwenye hifadhi ya barabara

Vibao vya shule na taasisi nyingine za serikali kwenye hifadhi ya barabara

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Wakubwa,

Hivi vibao vya shule na taasisi nyingine za serikali vilivyoko kwenye hifadhi ya barabara(road reserve) huwa vipo kisheria ama vipi

Nimeuliza hivyo maana kuna mdogo wangu kagonga kibao cha shule ambacho kiko ndani ya hifadhi ya barabara na naona kuna mwalimu mkuu anajitia kimbelembele
 
Back
Top Bottom