Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

Daah Mkuu Umekosea kuniquote aisee 😁😁
 
Niunge Mimi huko mkuu
 
Jamaa wanatuumiza kwa shekeli kidogo.
Mwafrika bado hawezi kujiongoza na kujitawala.
Slave trade Wafrika waliuza wenzao kwenda utumwani wakipewa vizawadi na vipesa vya hapa na pale.

Sasa hadi hii leo hawa bweha wako wanauza wenzao wanafanyishwa kazi ngumu sana masaa mengi ujira mdogo sababu hao mbweha wanapewa rushwa yaleyale ya enzi za biashara ya utumwa.

Africa!.
 
Kwa kweli kuna wenzetu mnateseka sana, sasa ujira wa elfu 4 per day mbona ni mdogo sana jamani? Hawa matajiri hawana huruma kabisa. Bora hata ingekua 10k kwa siku.

Kaka hii dunia haiko kama unavyoiona,matajiri wanazidi kuwa matajiri kwa jasho la masikini.
 

Hiyo paragraph ya mwisho umeongea point sana mkuu!!![emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487]
 
Kwani kukusanya taka kiongozi unafuata taratibu zipi?
Vijana mpo siriasi kweli yaani unafanya Kazi masaa 12 then unalipwa sijui elf 6.
Huu mda vipi ukiutumia kufanya shughuli zako binafsi.
Mfano
1.Kuuza matunda
2.Kutembeza umachinga
3.Kuuza vitafunio
4.Kuuza mboga mboga
5.Kusomba maji
6.Kukusanya taka
 
Kaka [emoji38]. Mm simshaurii Kwa kazi ya palee. Kiroba cha ngano kimoja kinabwebwa Kwa shing 15 au 10. Ukibeba 100 unapata 1500 au 1000 yani.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]viroba 100 kwa buku[emoji780][emoji780][emoji780][emoji780]duuu na kaz naacha bora ukabebe matenga ya nyanya ilala sokoni na mizigo kule ujipatie hat 40k kwa siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…