Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Daah Mkuu Umekosea kuniquote aisee 😁😁Hivi wewe yale maelekezo niliyokupa na kumpanga Mtu akupe ajira ya sh 220,000 kwa mwezi cash,
Ukasema utaenda, mpaka leo hujaenda maana yake ni nini? Nyie ndo mnafanha watu wasisaidie watu.
Sasa ulikuja huku kulalamika nini? Nime ku pm, nimekupa maelekezo, mpaka leo namuuliza HR wa ile office hujafika, maana yake nini?