Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Appreciate pia utofauti Kaka. Kun watu Wana miaka zaid ya 4 wako pale.. Umaskin wa kukosa mawazo na machaguo mengine ya maisha ni umaskin mbaya mnoooHuu ni utumwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Appreciate pia utofauti Kaka. Kun watu Wana miaka zaid ya 4 wako pale.. Umaskin wa kukosa mawazo na machaguo mengine ya maisha ni umaskin mbaya mnoooHuu ni utumwa
Ukapitist ndo kompleni yake kubwa hii. Wat wa serkal usukte machawa au wabiatatizo serikali inawakumbatia matajiri kisa wanalipa kodi viwanda vinanyoyo watu lakini kuna mkuu wa mkoa waziri wa ajira na vijana wote hao wamelala tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ni mwendo wa kurusha creti za soda na kuzidaka usiku kucha na day shift Sana mbili asubuhi mpaka saa mbili usiku , shift za masaa kumi na mbili ,unaziweza ? ,Uliza malipo sasa ,utalia.Emu elezea hii kidogo mkuu kuna kijana yupo pale daah anarudi amechoka balaa,
Ni sahihi kabisa yaani pale nyakato ni kama jehanamu.[emoji706]Kazi za viwandani hasa Tanzania ni hatari sana kwa afya na uhai wako ,do it for your own risk , safety zero ,vitendea kazi hamna ,mazingira mabovu na hatarishi kwa afya na uhai , ujira mdogo sana na usiofaa kabisa + manyanyaso na overwork .
Compliance ya OSHA (Occupation safety and health ) ni always zero ,hivyo ndio viwanda uchwara vya bongo.
Kuna mdau kaongelea kiwanda cha NONDO Nyakato steel-Mwanza , kile ni mfano mmoja wapo , mwaka jana hapo Nyakato steel bomu lilipuka humo ndani ,yote hiyo ni uzembe wa compliance ya masuala ya safety ,wao wanafanya biashara ya kuteyusha chuma chakavu yet hamna mifumo thabiti ya kuchunguza na kusort vyuma vinavyoletwa ili kuyeyushwa ,matokeo yake wanaokoteza kila aina ya chuma na kuvipeleka kwenye vinu /furnaces kuyeyushwa ,upuuz mtupu .
Hivi viwanda vingi bongo vinaoperate kama criminal cartels za mamafia ,Kwanza wengi wanaoendesha hivyo viwanda ni matapeli tu ,wanatapeli hata hivyo viposho vya elfu mbili mbili wanavyowalipa hao vibarua utakuta kuna muda hawawalipi ,mambo ya ovyo kabisa
[emoji1787][emoji1787]Kuna jamaa yangu aliona makaratasi ya ajira viwandani wamebandika katika nguzo za umeme mshahara kwa wiki ni laki 275,000/= .jamaa akajitosa akawahi asubuhi saa 12 yupo getini kufika mida ya saa 5 asubuhi namuona jamaa huyu hapa gheto namuuliza mbona umewahi kurudi mapema yote hii kulikoni?
Jamaa akaniambia brother acha tu uliona wapi watu wawili mmekabidhiwa Lori scania 10 zimejaa mzigo wa gypsum board muushushe mzigo wote kwa siku moja?[emoji2]
Jamaa alipiga kazi mpaka saa 5 asubuhi alivyoona hakuna dalili ya mzigo kuisha akaamua kutoroka.
Umasikini ni mbaya sana [emoji706]Hahahaha, nimecheka kwa sauti.
Umasikini mbaya sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanalipa elfu nne hadi tatu then Kazi ni kubeba viroba vya ngano kilo 50 na 25 Kuanzia asubuhi Hadi jioni na pia night shift hipo it about fucking job huyo Bakhressa Ni mpuuzi mmoja. Including Mo dewij and so called matajiri uchwara
Duuuuh maskiniiii, hatareeee sanaaa.Hiyo 10k ipo ila sio kwa kazi kama hizo
Nadhani ukienda kwenye viwanda vya steel unaweza ukapata hadi 15k
Ila changamoto yake ni kwamba unaambiwa kila mfanyakazi unayemkuta pale ujue hiyo ni siku yake ya kwanza hapo kiwandani.
Ukishachukua malipo ya 15k ukitoka hapo utachagua mwenyewe ukapatiwe huduma kati ya Amana au Muhimbili
Au usizi home ujiuguze mwenyewe
Tza tunanyonyana Sana aisee. Check wadada wa Kazi uanza Kazi saa 11 alfajiri kulala saa nne au sita usiku. Mshahara elf 50.
Achilia stress za maboss zao wao ndio wahanga wa hasira walizotoka nazo kazini.
Halafu serikali inawazuia wadada wasiende Kazi uarabuni eti wanateswa kwann huku nyumbani wanapata raha. Alivyo mwarabu ndivyo alivyo mwafrika.
Chai imezidi sukari.Pana mtoto wa kichaga asubui anawahi sokoni anajumuia karoti, hoho, vitunguu, njegere, nk
Mchana ana paki mixing package yaani anaweka karoti, hoho, nk anafunga kwenye vifuko kisha anatia kwenye begi anapita mtaa kwa mtaa kuanzia saa 10 jioni. Ndani ya masaa manne mzigo wote ushaisha kwa siku hakosi elf 60 faida.
Sio kweli.Kuna dada yangu mmoja alienda kupiga kazi kiwanda kimoja cha biscuits kakesha usiku mzima asubuhi anapewa 1700/= hakurudi tena
Niapriciate hiyo buku4 au aftatu!!??Appreciate pia utofauti Kaka. Kun watu Wana miaka zaid ya 4 wako pale.. Umaskin wa kukosa mawazo na machaguo mengine ya maisha ni umaskin mbaya mnooo
UsikaririC
Chai imezidi sukari.
Usitumie makalio kufikiri, wamekuchota umechoteka.Usikariri
Kwamba, pamoja na kuona ndogo Kuna watu wananiona nyingi. Huu ndo utofauti uliyopo mkuuNiapriciate hiyo buku4 au aftatu!!??
acha masikhara ww
Ukiwa kula kulala kwako KILA kitu hakiwezekaniUsitumie makalio kufikiri, wamekuchota umechoteka.
Kipara si ndo alikua kipindi flani kama mkalimani wa wachina?Archana na bakhresa,huku pwani kuna kiwanda cha sabuni kinaitwa ked's kinazalishasabuni za doffi na kleesoft vibarua wanalipwa na wakala aliyeingia ubia na kampuni hii ....sasa utakuta wakala analipwa sh 12,000 kwa Kila kibarua Ila yeye analipa sh 8000 kwa Kila kibarua ...
Wanateswa Sana vijana...huyo wakala anaitwa EVAH MANPOWER SUPPLIES..kiongozi wao anaitwa kipara...
Jamaa yangu mmoja aliambiwa atoe 50k apate kazi mpaka leo hajapata ameamua kusamehe. Kuna rushwa sana Keds na ukiritimba wa hali ya juu.Archana na bakhresa,huku pwani kuna kiwanda cha sabuni kinaitwa ked's kinazalishasabuni za doffi na kleesoft vibarua wanalipwa na wakala aliyeingia ubia na kampuni hii ....sasa utakuta wakala analipwa sh 12,000 kwa Kila kibarua Ila yeye analipa sh 8000 kwa Kila kibarua ...
Wanateswa Sana vijana...huyo wakala anaitwa EVAH MANPOWER SUPPLIES..kiongozi wao anaitwa kipara...