Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Acha izo we aupo kwa bakhresaOyaa njoeni tuminyike hapa kwa bakhresa maisha ndo hayahaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha izo we aupo kwa bakhresaOyaa njoeni tuminyike hapa kwa bakhresa maisha ndo hayahaya
Hicho sio kiwango ni ofisi maalumuMkuu mimi nakushauri kupitia experience, Kama huna shughuli yoyote na ikitokea ukipata nafasi ya kazi yenye mkataba ianze mara moja na wala usiangalie suala la malipo.... Nenda jiunge uanze kazi mengine utajionea mwenyewe na pia njia nyingine hujitengeneza hukohuko ukiwa kwenye kazi. mf:
Mimi shughuli yangu ya kwanza nilianzia kuajiriwa kiwandani, Japo hicho kiwanda kilikuwa na sifa mbaya kwenye malipo ila nilipoingia nilikuta hali tofauti kidogo kwani ndiyo kweli hela wanayolipa kama mshahara ilikuwa ndogo ila kulikuwa na zile bonus na overtime ambapo zilitegemea na juhudi ya mtu binafsi... Nikaja kugundua kumbe kwenye hizo bonus sasa ndo kuna hela nyingi, Kila week nikawa nakunja 50k-80k ambapo kwa mwezi nikawa na uwezo wa kutengeneza 250k minimum kupitia bonus pekee ambapo ukichanganya mshahara nilikuwa sikosi 400k minimum na sikuwa na majukumu yoyote hivyo hiyo hela ilinitosha sana na kubaki.... Hiyo kazi ikanipa connection na mtu ambae ndo tulipanga pamoja kuacha ile kazi baada ya kuichoka na nini tunaenda kukifanya after na kweli muda ulivyofika tukafanya hivyo... Na sasa ni miaka minne imepita nipo na harakati zangu nyingine na siungiungi maisha ila heshima yote ni kwa kile kiwanda ambapo ndo kilikuwa kama msingi wa kunipa link niliyonayo sasa.
Watu tusidharau kufanya kazi yoyote wala popote maana Safari moja ndo hufungua safari nyingine.
Mzee kama umesoma kwa umakini nimesema jamaa hapaswi kujali analipwa shngap ikiwa hana mchongo wa maana kwa sasa.Hicho sio kiwango ni ofisi maalumu
Ww kiwada gani kibarua wa kubeba viroba kwa wiki akunje 80 wapi?
Moshi kiwanda cha soda yaan + overtime unaondk na 10k hapo bado nauli na chakula
Kweli mkuu.Me naona serikali ingilie kati na waongeze hela ya kibarua ambayo ni 4000 mpaka 15000 kwa siku na kuwe na masaa ya kazi..Me huww napenda kumwambia mtu kuwa kama hujali afya yako basi nend huko, maan afya ndio mtaji wa kesho
How mtu aondoke jioni na 2500 afu useme asijali anapata nn? How
Hajatoa nauli, kula home then kaka tuwe na huruma hata kama mtu hana chcht cha kufanya sio sasa aumie mpaka akose future yake ta miaka 7-8 Badae
Duh, hali ya maisha ni ngumu kweli kweli, kwa maskini kutoboa bongo is almost impossible lakini kwenye maisha lolote linawezekana, msikate tamaa vijanaHakuna kazi pale. Pale mnalipwa buku 4. Na ukila chakula buku maji jero inabaki 2500/= toa nauli 1000. Inabaki 1500 ndio unaiacha kwako
Unaweza kujikuta mpiga debe kwenye vituo vya daladala barabarani [emoji1]Kaka [emoji38]. Mm simshaurii Kwa kazi ya palee. Kiroba cha ngano kimoja kinabwebwa Kwa shing 15 au 10. Ukibeba 100 unapata 1500 au 1000 yani.
So powaaHiyo 10k ipo ila sio kwa kazi kama hizo
Nadhani ukienda kwenye viwanda vya steel unaweza ukapata hadi 15k...
Duh? Bora kazi ya saidia fundi unauhakika wa 15,000 kwa siku!Aisee Mr, hamna kiwanda kingine wanalipa maslahi mazuri kidogo zaidi na hapo kwa siku
Jamani! Kama kuna mtu anatakakazi ya ufundi ujenzi njooo pm!Kuna kimoja kinaitwa PrinceWare, kipo Kipawa, 6k kwa siku ila kuingia ni saa 12 asubuhi, ukizidi hapo geti linafungwa, kutoka saa 2 usiku
Wachaga na watu wa pwani ni wengi na ndo waliokaa muda mrefu sana.Huko viwandani mnapolipwa elf 4 kwa siku hizo Kazi kuna watoto wa kikinga, kipemba au wachaga nao wanafanya huko.
Mkuu pm kwangu ina changamoto kidogo, haifunguki.Jamani! Kama kuna mtu anatakakazi ya ufundi ujenzi njooo pm!
Hata moo naye malipo yake bkwa vibarua ni majangaTunyamaze yaliyopo viwandani kwa hawa wanaojiita matajiri na kujifanya wanapenda dini na kutoa misaada bora kubaki kimya.
Maana uwezi kulipa ujira mzuri kila mtu.
Viwanda au kampuni yoyote kubwa idadi wanayo lipwa vizuri iwezi kufika hata 100.
Tena Azam ndio kabisa
Daha noma sana mkuuWanaume tunapitia mengi sana magumu,na bado pombe na wanawake vinatumaliza japo nimuhimu kwa kutoa stress,kupitia huu uzi nimegundua ndio maana wanasiasa wana hakikisha watoto wao wana rithi siasa maana wanajua pesa ipo huko,sasa sisi tusio na mizizi na siasa ndio ntolee hiyo
Mo analipa shingap?Hata moo naye malipo yake bkwa vibarua ni majanga
Jina la shirika plsKuna jamaa angu mmoja hapa kaajiriwa kishirika flani kidogo pale mikocheni. Huwa ananivimbia Sana kwamba wanaoajiriwa Wana akili nyingi sabab yeye fom four na mm degree ishakula msamba mtaani. Huyu jamaa sijui analipwa kias gani ila Ile taasisi degree zote zinalipwa laki 3 tu. Na yeye fom four. Kila tarehe 20-30 hunipigiaga simu kuomba nisaidie hela ya kula au vocha. Dah! Motherfuc*** cheap labour [emoji35]