Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

Mkuu mimi nakushauri kupitia experience, Kama huna shughuli yoyote na ikitokea ukipata nafasi ya kazi yenye mkataba ianze mara moja na wala usiangalie suala la malipo.... Nenda jiunge uanze kazi mengine utajionea mwenyewe na pia njia nyingine hujitengeneza hukohuko ukiwa kwenye kazi. mf:

Mimi shughuli yangu ya kwanza nilianzia kuajiriwa kiwandani, Japo hicho kiwanda kilikuwa na sifa mbaya kwenye malipo ila nilipoingia nilikuta hali tofauti kidogo kwani ndiyo kweli hela wanayolipa kama mshahara ilikuwa ndogo ila kulikuwa na zile bonus na overtime ambapo zilitegemea na juhudi ya mtu binafsi... Nikaja kugundua kumbe kwenye hizo bonus sasa ndo kuna hela nyingi, Kila week nikawa nakunja 50k-80k ambapo kwa mwezi nikawa na uwezo wa kutengeneza 250k minimum kupitia bonus pekee ambapo ukichanganya mshahara nilikuwa sikosi 400k minimum na sikuwa na majukumu yoyote hivyo hiyo hela ilinitosha sana na kubaki.... Hiyo kazi ikanipa connection na mtu ambae ndo tulipanga pamoja kuacha ile kazi baada ya kuichoka na nini tunaenda kukifanya after na kweli muda ulivyofika tukafanya hivyo... Na sasa ni miaka minne imepita nipo na harakati zangu nyingine na siungiungi maisha ila heshima yote ni kwa kile kiwanda ambapo ndo kilikuwa kama msingi wa kunipa link niliyonayo sasa.

Watu tusidharau kufanya kazi yoyote wala popote maana Safari moja ndo hufungua safari nyingine.
 
Hicho sio kiwango ni ofisi maalumu

Ww kiwada gani kibarua wa kubeba viroba kwa wiki akunje 80 wapi?

Moshi kiwanda cha soda yaan + overtime unaondk na 10k hapo bado nauli na chakula
 
Mzee kama umesoma kwa umakini nimesema jamaa hapaswi kujali analipwa shngap ikiwa hana mchongo wa maana kwa sasa.
 
Me huww napenda kumwambia mtu kuwa kama hujali afya yako basi nend huko, maan afya ndio mtaji wa kesho
How mtu aondoke jioni na 2500 afu useme asijali anapata nn? How
Hajatoa nauli, kula home then kaka tuwe na huruma hata kama mtu hana chcht cha kufanya sio sasa aumie mpaka akose future yake ta miaka 7-8 Badae
 
Kqel

Kweli mkuu.Me naona serikali ingilie kati na waongeze hela ya kibarua ambayo ni 4000 mpaka 15000 kwa siku na kuwe na masaa ya kazi..

Je mfuatiliaje akipewa bahasha ataweza kutetea?🤔🤔
 
Hakuna kazi pale. Pale mnalipwa buku 4. Na ukila chakula buku maji jero inabaki 2500/= toa nauli 1000. Inabaki 1500 ndio unaiacha kwako
Duh, hali ya maisha ni ngumu kweli kweli, kwa maskini kutoboa bongo is almost impossible lakini kwenye maisha lolote linawezekana, msikate tamaa vijana
 
Naomba kujua ni kweli VIBARUA VIWANDANI INASAIDIA KWA VIJANA??

Na mshahara wake unakuwaje?
 
Tunyamaze yaliyopo viwandani kwa hawa wanaojiita matajiri na kujifanya wanapenda dini na kutoa misaada bora kubaki kimya.

Maana uwezi kulipa ujira mzuri kila mtu.

Viwanda au kampuni yoyote kubwa idadi wanayo lipwa vizuri iwezi kufika hata 100.
Tena Azam ndio kabisa
Hata moo naye malipo yake bkwa vibarua ni majanga
 
Wanaume tunapitia mengi sana magumu,na bado pombe na wanawake vinatumaliza japo nimuhimu kwa kutoa stress,kupitia huu uzi nimegundua ndio maana wanasiasa wana hakikisha watoto wao wana rithi siasa maana wanajua pesa ipo huko,sasa sisi tusio na mizizi na siasa ndio ntolee hiyo
 
Daha noma sana mkuu
 
Kuna jamaa angu mmoja hapa kaajiriwa kishirika flani kidogo pale mikocheni. Huwa ananivimbia Sana kwamba wanaoajiriwa Wana akili nyingi sabab yeye fom four na mm degree ishakula msamba mtaani. Huyu jamaa sijui analipwa kias gani ila Ile taasisi degree zote zinalipwa laki 3 tu. Na yeye fom four. Kila tarehe 20-30 hunipigiaga simu kuomba nisaidie hela ya kula au vocha. Dah! Motherfuc*** cheap labour [emoji35]
Jina la shirika pls
 
Back
Top Bottom