Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

Kwa kweli kuna wenzetu mnateseka sana, sasa ujira wa elfu 4 per day mbona ni mdogo sana jamani? Hawa matajiri hawana huruma kabisa. Bora hata ingekua 10k kwa siku.
Me naona mnawalaum matajir bure, matajir wanalipa vzr t. Mnawatukana bakhrrs na Mo wkt hela zinapita njia ndef mpk zinawafikia nyiny, au wkt mwingin unakuta hela mnazolipw hata hazimo ktk mfuko wa tajir ni mzunguko mdg wa huku huku chini. Acheni kutukan matajir. Hela akipew msimamiz wako anakata pande lake kidg kimachobak nd anakupa ww
 
Me huww napenda kumwambia mtu kuwa kama hujali afya yako basi nend huko, maan afya ndio mtaji wa kesho
How mtu aondoke jioni na 2500 afu useme asijali anapata nn? How
Hajatoa nauli, kula home then kaka tuwe na huruma hata kama mtu hana chcht cha kufanya sio sasa aumie mpaka akose future yake ta miaka 7-8 Badae
Basi akafie ntumbani na njaa 😄 augue vidonda vya tumbo yote yaleyale tu
 
Kijana wangu juzi kaenda kiwanda cha wahindi gongo la mboto wanalipa elfu 4. Kazi ya pale ilivyokuwa pevu jana hajaenda na leo anaenda kutafuta kazi nyingine

Cc. Mwachiluwi
Cc. Copier
Cc. Padone EPM
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sina uhakika kama wale wahindi ni binadamu wa kawaida.!!!!
 
Wanalipa elfu nne hadi tatu then Kazi ni kubeba viroba vya ngano kilo 50 na 25 Kuanzia asubuhi Hadi jioni na pia night shift hipo it about fucking job huyo Bakhressa Ni mpuuzi mmoja. Including Mo dewij and so called matajiri uchwara
What do you expect ? Kitaa hizo bidhaa wanalalamika kila siku bei ishuke, ushindani wa kufa mtu na bado matozo ya serikali, ku-survive lazima upunguze overheads na kwenye soko huria demand and supply unategemea kama kuna mtu atachukua pesa chache wewe ukiwalipa nyingi what will happen ? Badala ya kulaumu watu ambao ni mabepari na wapo pale kutengeneza faida laumu watunga sera unaowalipa (kushindwa kuja na policy za kupunguza wabangaizaji) au Serikali unayoilipa Kodi kushindwa kuhakikisha watu wanapata ujira wa kutosha....

1728457820697.png
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sina uhakika kama wale wahindi ni binadamu wa kawaida.!!!!
Ni makumah tu. Ukiwa maskin ndio.kamahivi unatumika kama.cheap leba..utafanya kaz hadi ufariki kwa msongo wa mawazo..
 
Back
Top Bottom