Mkuu Yesu alisema hayo maneno kwa Sababu aliogopa Kifo
katika Mathayo 26:39
[39]Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
Ila ujue Yesu aliletwa Duniani Ili Ateswe na Afe ili Damu yake ikimwagika sisi tukombolewe...Jwa Maana nyingine Ni Kwamba Bila Damu ya Yesu Kusingekuwa Na Agano Jipya....
Kwa Hiyo ilibidi Wayahudi wamchukie na Wamtese Ili Ammwage Damu ili Sisi Tukombolewe...
Ndyo maana Mtume Paulo anasema "Kama Yesu Hakufufuka Katika Wafu Basi Imani Yetu Ni Bure"