Sio hilo la leo wewe. Bibilia ata hamuielewi. Unadhani Israel inayoongelewa ndio hii ya leo ya madhalim?
Kama ni RC na hujui nafasi ya Israel basi kuna tatizo kwenye kujifunza maandiko,Bible inasema atakae ibariki Israel Mungu atambariki,na atakae Ilaani Mungu atamlaani,...wanaoweka bendera wanafahamu nafasi ya hilo Taifa ktk maisha yao,..jiulize Israel imezungukwa na maadui wengi lkn hawaiwezi ,lile ni TAIFA TEULE...Soma Biblia utaelewa mambo haya.