Vibendera vya Israel kwenye magari ya Wabongo

Vibendera vya Israel kwenye magari ya Wabongo

Mkuu Yesu alisema hayo maneno kwa Sababu aliogopa Kifo
katika Mathayo 26:39
[39]Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.

Ila ujue Yesu aliletwa Duniani Ili Ateswe na Afe ili Damu yake ikimwagika sisi tukombolewe...Jwa Maana nyingine Ni Kwamba Bila Damu ya Yesu Kusingekuwa Na Agano Jipya....

Kwa Hiyo ilibidi Wayahudi wamchukie na Wamtese Ili Ammwage Damu ili Sisi Tukombolewe...

Ndyo maana Mtume Paulo anasema "Kama Yesu Hakufufuka Katika Wafu Basi Imani Yetu Ni Bure"
Kwanin Mungu alitumia mbinu ngumu hv yakuteswa kwa mwanae mpendwa tena na sisi wenyewe ambapo pia ili atusamehe dhambi zetu wenyewe wakati pia yey ndiye Mungu mkuu[emoji848]
 
Kwanin Mungu alitumia mbinu ngumu hv yakuteswa kwa mwanae mpendwa tena na sisi wenyewe ambapo pia ili atusamehe dhambi zetu wenyewe wakati pia yey ndiye Mungu mkuu[emoji848]
Kwa Amini stori hizo za kikuristo, lazma ujitoe akili kwanza, mtu mwenye kutumia logic huwezi kuamini hizo stori za kutunga
 
NI WAPUMBAVU TU NDIO WANAWEZA KUWEKA BENDERA ZA HAO WAKOLONI, WAUAJI , WABAGUZI NA KUWAITA TAIFA TEULE. NI MKRISTO ASIEJITAMBUA PEKEE ANAWEZA KUAMINI HUO UJINGA. TAIFA TEULE NI YULE ALIEBATIZWA KWA ROHO WA MUNGU. HAO MASHETANI WALIMKATAA YESU NA WAKASULUBISHA HASA. UFALME WALIUKATAA NA WATU WAMATAIFA NDIO TUKAPEWA. NI UJINGA NA UTUMWA WA KIAKILI.
 
Kwa Amini stori hizo za kikuristo, lazma ujitoe akili kwanza, mtu mwenye kutumia logic huwezi kuamini hizo stori za kutunga
Kwani nani anaweza kuamini story za kutunga za moody wakati anaongea na majini yake au ana hallucinate?
 
Pamoja na ukristo wetu,tuwe na tabia ya kutafakari Mambo kwa kina..
Yaani watu wanataka watu wasiwe wanawaza nje ya box kisa imani..

No wonder kina Mwamposa wanaendelea kutajirika tu huku waumini wake wakiwa wanavaa viraka,lakini hawaishi kumpelekea pesa.
 
Ni hivi, hao watu ni maadui ata wa huo ukristo wao, na hawalijui hilo.
Yaani watu wanataka watu wasiwe wanawaza nje ya box kisa imani..

No wonder kina Mwamposa wanaendelea kutajirika tu huku waumini wake wakiwa wanavaa viraka,lakini hawaishi kumpelekea pesa.
 
hapo ndo unakuta wa Africa tusio jitambua tuna jipendekeza kwa wa isreal wakati wenyewe hawakutambui
Ndio maana Vitabu vyao vinasema tumelaaniwa sisi Watu Weusi.🙁
 
Ila unaweza kupeperusha Bendera ya Israel kama ni kuSupport Democracy dhidi ya Dictatorship.
 
Yaani watu wanataka watu wasiwe wanawaza nje ya box kisa imani..

No wonder kina Mwamposa wanaendelea kutajirika tu huku waumini wake wakiwa wanavaa viraka,lakini hawaishi kumpelekea pesa.
So sad!Imani imetufanya watumwa bro,hutakiwi kuhoji yaani kila unachoambiwa ukubali tu,no way!Mimi Ni Christian kindakindaki nimelelewa kikristo haswa Ila Kuna Mambo huwa siyaafiki hata kidogo.......Huko kwa mwamposa idadi kubwa Ni watu waliokata tamaa hawana Maisha Ila wanaambiwa watoe sadaka ya kujimaliza na wanajimaliza bila kuhoji....Yaani tunahitaji ukombozi wa fikra
 
Kama ni RC na hujui nafasi ya Israel basi kuna tatizo kwenye kujifunza maandiko,Bible inasema atakae ibariki Israel Mungu atambariki,na atakae Ilaani Mungu atamlaani,...wanaoweka bendera wanafahamu nafasi ya hilo Taifa ktk maisha yao,..jiulize Israel imezungukwa na maadui wengi lkn hawaiwezi ,lile ni TAIFA TEULE...Soma Biblia utaelewa mambo haya.
 
Israel si inalindwa na wakubwa USA n.k?...Kuna mtu halijui hili?

Waisrael hawa wenye ufirahuni wa kutisha ndo taifa teule hadi leo na dhambi zote hizo bado Mungu anawalinda?..Aisee..wakati wengine walishushiwa gharika.
 
Mkuu ungefahamu nafasi ya Israel kwenye hayo mataifa makubwa usinge andika hiki,..soma tu operation Entebe ndio utajua hawa watu uwezo wao ukoje,...hii mission iliendeshwa sio CIA,wala MI6 walijua...Adolf Hitler alipambana kufuta hili Taifa akashindwa...kawasome hawa watu na nafasi yao.
 
Ina maanisha gari hiyo haitapata ajari kwamaana ajari zingine ni za kishirikina na gari hiyo inalindwanna damu ya mwanza kondoo
 
Back
Top Bottom