Vibendera vya Israel kwenye magari ya Wabongo

Umeeleza kwa usahihi kabisa na kuonesha ni mwanafunzi mzuri wa Biblia
 
Naam!
 
Ziko baraka za kuliombea Taifa la Israel maana ni taifa teule la Mungu. na sio kwenye magari tu mimi ninayo ndani.
 
Ni Imani ya watu tu. Mbona watu wanaweka bendera ya CCM kwenye magari yao. It's personal choice. Ni Kama mtu anachagua kutumia godoro Fulani.
 
Pia naona jezi za Man U, Arsenal, PSG, Liverpool, Chelsea n.k zimevaliwa na wabongo pamoja na sticker za hizi timu kwenye vyombo vya usafiri nayo pia sijui ni wazungu weusi wanaoishi Bongo?
 
Waisrael wa zama hizi sio sawa na wa zama zile.

Leo hii kuna Druze & Arabs ndani ya Israel
 
Wengine wanaweka tu kama pambo, wengine ni wafia dini kama gwajima na wengine wanachukulia ile hali ya kuonyesha kuwa na nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…