Vibendera vya Israel kwenye magari ya Wabongo

Vibendera vya Israel kwenye magari ya Wabongo

Mambo ya kidini wakati mwingine huwa hayachunguziki,utakapoweka bidii zaidi utaweza kuwa kichaa,yapo kwa mitego ya hali ya juu,au coding's bendera ya Israel ina siri nzito katika hesabu maalum kwa mujibu wa kaballah traditions!,note this.

FB_IMG_16439843532867884.jpg
 
Imani tu hata usiongope..mbona kuna ambao tunaweka bendera ya marekani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nimeshangaa sana kuona statistics zinasema ni asilimia mbili tu (2%) ya Waisrael ndo wakristu..

Nilidhani zaidi ya asilimia tisini watakuwa wakristo,kumbe nilikuwa opposite vibaya sana..

Wakristo tumeingizwa chaka nini na biblia?
Kwani biblia imesema waosrael ni wakristo?
 
yaani watu baadala ya kuonyesha uzalendo kwa kutumia bendera za nchi zao na asili za mababu zao wako busy kutukuza mataifa mengine, purely brainwashed Africans.

Huu mimi naona ni ushamba, ulimbukeni na ujuha Mtanzania mzaramo/mnyaki /msukuma/ Mchaga eti analitukuza Taifa la Israeli baadala ya kuitukuza na kuipenda nchi yake Tanzania..
 
yaani watu baadala ya kuonyesha uzalendo kwa kutumia bendera za nchi zao na asili za mababu zao wako busy kutukuza mataifa mengine, purely brainwashed Africans..

Huu mimi naona ni ushamba, ulimbukeni na ujuha....Mtanzania mzaramo/mnyaki /msukuma/ Mchaga eti analitukuza Taifa la Israeli baadala ya kuitukuza na kuipenda nchi yake Tanzania..
Hai-make sense kabisa..
 
Israel Taifa teule...

Pale kwao wapo Milion Nane ila wamezungukwa na Waarabu zaidi ya Million 200 ila hakuna Mwarabu anae wasogelea[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

kuna Mengi usiyoyajua, Hakuna Taifa teule duniani, Wote ni viumbe wa Mwenyezi Mungu tumeletwa duniani kuishi na kumuabudu

Hizo ni cooked stories kubrainwash wazaramo na kuwin mass support worldwide.

Hindu nao kupitia chao watakwambia INDIA ndio Taifa teule, Muslims nao kupitia kitabu chao watakwambia SAUDIA ni taifa teule...
 
Wengi wao ni religious fanatics hususana new born again Christians..........wakati wa Usrael wana pinga ukuristu!!!! Africa is a continent of confused fellows
Hahahahahahah
 
Wengi wao ni religious fanatics hususana new born again Christians..........wakati wa Usrael wana pinga ukuristu!!!! Africa is a continent of confused fellows
Yeah. Umesema vema, wanapinga ukiristu na si ukristo. Kuna tofauti kati ya ukiristu na ukristo.
 
Mara paap, Tanzania ndio nchi ya ahadi walioahidiwa mababu wa israel.

Tutapoteza wengi sana pakitokea vita kati ya Tanzania na Israeli.
 
Wengi wao ni religious fanatics hususana new born again Christians..........wakati wa Usrael wana pinga ukuristu!!!! Africa is a continent of confused fellows
Ni kweli wapo Wayahudi wanaoupinga ukristo lakini hata na Hilo tunalijua kabisa ...

Lakini hutasikia Wayahudi wamechinja au kulipua Wakristo....

Na hata Kama Wanapingana na ukristo...Bwana Yesu alituambia sisi jukumu letu Ni kuwaombea Sana na kuwapendaKama alivyotuambia Bwana Yesu katika

Mathayo 5:44 "lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, "
 
Back
Top Bottom