Vibendera vya Israel kwenye magari ya Wabongo

Vibendera vya Israel kwenye magari ya Wabongo

Ni kweli wapo Wayahudi wanaoupinga ukristo lakini hata na Hilo tunalijua kabisa ...

Lakini hutasikia Wayahudi wamechinja au kulipua Wakristo....

Na hata Kama Wanapingana na ukristo...Bwana Yesu alituambia sisi jukumu letu Ni kuwaombea Sana na kuwapendaKama alivyotuambia Bwana Yesu katika

Mathayo 5:44 "lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, "
Vipi endapo Israel ikatuvamia? Utasimama upande upi?
 
yaani watu baadala ya kuonyesha uzalendo kwa kutumia bendera za nchi zao na asili za mababu zao wako busy kutukuza mataifa mengine, purely brainwashed Africans..

Huu mimi naona ni ushamba, ulimbukeni na ujuha....Mtanzania mzaramo/mnyaki /msukuma/ Mchaga eti analitukuza Taifa la Israeli baadala ya kuitukuza na kuipenda nchi yake Tanzania..
Mbona watu wanatembea na Bendera na Mavazi yenye Bendera Za Jamaica?? Hilo Hamlioni?
 
Wanajiona wao ni duni na kuwalamba miguu wa israel huu ni zaidi ya utumwa wa fikra

Mambo ya imani hayo mkuu, kwenye Bible Israel katajwa kama mtu aitwaye Yakobo, halafu tena taifa lililotokana na huyo bwana likapewa jina la Israel...

Ni kama vile wewe unavyoamini Simba itakuwa bingwa pamoja na ubora wa kina Fiston Mayele & co
 
Sasa wewe inakuuma Nini watu wakibeba Bendera za Israel... Kwani Wamekulazimisha?
Mm Sina tatizo na waisraeli kama nyinyi labda muingilie maslahi ya JAMHURI ndo tutatenganishana viwiliwili na kichwa.

Kinyume na hapo amani itawale.
 
Sina Sababu ya Kuichukia Israel vile vile Sina Sababu ya Kuwachukia Waarabu jwa Maana wote wako kwa Kusudi la Mungu.....

Ila Nikiamua Kuipenda Israel na Kwenda kuitembelea siyo Kosa

Kama ambavyo Waislamu wanaitembelea Saudia .
Hilo ni jambo la heri hakuna ubaya.
 
Kwani ubebe bendera ya Israeli ilihali wewe ni mtanzania kwani nchi yaks haina bendera ni ujinga unaotokana na brainwash ya kidini
Kwani Wewe inakuudhi Nini Sasa ?? Kama Mtu ndiyo amefundisha tangu akiwa Mtoto kwamba Israel Ni taifa teule ...na Anayo Bendera ya Israel unadhani kwa maneno yako Machache Hapa utaweza kumbadili Imani??
 
[emoji1134][emoji1134][emoji1134][emoji1134][emoji1134][emoji1134][emoji1134]Kwa hiyo hii ni bendera ya MPINGA KRISTO[emoji1134][emoji1134][emoji1134][emoji1134][emoji1134][emoji1134][emoji1134]
Sisi wa Africa hasa wa bongo ni lost sheep hata hatujui maana ya hizo ragi za bendera ya israel [emoji1134] hiyo nyota ya katikati inamaana gani, kazi yetu ni kushabikia tu, ujinga ni mzigo kweli kweli, Mzraeli huwezi kumkuta ameshikilia bendera ya [emoji1241] hata siku moja
 
Wakuu heshima kwenu.

Naomba tu kuuliza japokuwa najua kufuatilia mambo ya watu sio mchongo wala nini.

Huwa naona vibendera vya taifa la Israel kwenye magari ya watu ambao naamini kabisa ni Wabongo wenzetu.

Sasa wakuu naomba tu kuuliza what is the motive behind this? kunakuwa na affiliation gani na hili Taifa la Israel? Au ni Waisraeli weusi wanaoishi bongo?
Wakristo wengi wanaamini kuwa Israel ni Taifa teule, hii ni kutokana na maandiko yaliyojustify hivyo hasa agano la kale.

Hata katika makanisa na ofisi nyingi za dini ya kikristo huwa wanaweka bendera za Israel, sio katika magari tu.
 
Hapana wa Yuhudi wanapiga ukoristo wenyewe wana mpinga Yesu wanasema alikua mzushi tu hakua na utume wowote ndo maana walimwadhibu kwa kumweka msalabani.wanamuamini Moses peke yake na watangulizi wake
Kama hujui Sasa Kitendo Cha Wayahudi kumsulibisha Yesu Kristo Ni Jambo zuri Sana Sana kwetu Wakristo....na Wasingemsulubusha tungepata hasara kubwa Sana......

Wayahudi walifanya kazi Nzuri Sana mbele za Mungu Kumsulibisha Yesu
 
Wakristo wengi wanaamini kuwa Israel ni Taifa teule, hii ni kutokana na maandiko yaliyojustify hivyo hasa agano la kale.

Hata katika makanisa na ofisi nyingi za dini ya kikristo huwa wanaweka bendera za Israel, sio katika magari tu.
Tofautisha wa israel na Israeli kama nchi nyie mna kalilishwa vibaya kwasbb hamtaki kufanya utafiti kujua Mungu alikua anamaanisha nini katika hilo.....watu wote tuko sawa mbele ya Mungu hamnaga matabaka mbele ya Mungu
 
Wakristo wengi wanaamini kuwa Israel ni Taifa teule, hii ni kutokana na maandiko yaliyojustify hivyo hasa agano la kale.

Hata katika makanisa na ofisi nyingi za dini ya kikristo huwa wanaweka bendera za Israel, sio katika magari tu.
Siyo Agano la kale tuu hata Agano Jipya...
Kasome vizuri...
 
Back
Top Bottom