Wengi huwa ni Wakristo, na huamini kupeperusha bendera ya Israel ni sawa na kuonesha wanakubaliana na Mungu wa Ibrahimu/Isaka na Yakobo(Isreal)...
Vipi endapo Israel ikatuvamia? Utasimama upande upi?Ni kweli wapo Wayahudi wanaoupinga ukristo lakini hata na Hilo tunalijua kabisa ...
Lakini hutasikia Wayahudi wamechinja au kulipua Wakristo....
Na hata Kama Wanapingana na ukristo...Bwana Yesu alituambia sisi jukumu letu Ni kuwaombea Sana na kuwapendaKama alivyotuambia Bwana Yesu katika
Mathayo 5:44 "lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, "
Mbona watu wanatembea na Bendera na Mavazi yenye Bendera Za Jamaica?? Hilo Hamlioni?yaani watu baadala ya kuonyesha uzalendo kwa kutumia bendera za nchi zao na asili za mababu zao wako busy kutukuza mataifa mengine, purely brainwashed Africans..
Huu mimi naona ni ushamba, ulimbukeni na ujuha....Mtanzania mzaramo/mnyaki /msukuma/ Mchaga eti analitukuza Taifa la Israeli baadala ya kuitukuza na kuipenda nchi yake Tanzania..
Hapana wa Yuhudi wanapiga ukoristo wenyewe wana mpinga Yesu wanasema alikua mzushi tu hakua na utume wowote ndo maana walimwadhibu kwa kumweka msalabani.wanamuamini Moses peke yake na watangulizi wakeHivi Ukristo na Uyahudi ni dini moja?
HaitatuvamiaVipi endapo Israel ikatuvamia? Utasimama upande upi?
Wanajiona wao ni duni na kuwalamba miguu wa israel huu ni zaidi ya utumwa wa fikra
Hizo si ni bangi inajulikana.Mbona watu wanatembea na Bendera na Mavazi yenye Bendera Za Jamaica?? Hilo Hamlioni?
Sawa. Ila upande uliopo umeshajulikana.Haitatuvamia
Sasa wewe inakuuma Nini watu wakibeba Bendera za Israel... Kwani Wamekulazimisha?Hizo si ni bangi inajulikana.
Kwani ubebe bendera ya Israeli ilihali wewe ni mtanzania kwani nchi yaks haina bendera ni ujinga unaotokana na brainwash ya kidiniSasa wewe inakuuma Nini watu wakibeba Bendera za Israel... Kwani Wamekulazimisha?
Mm Sina tatizo na waisraeli kama nyinyi labda muingilie maslahi ya JAMHURI ndo tutatenganishana viwiliwili na kichwa.Sasa wewe inakuuma Nini watu wakibeba Bendera za Israel... Kwani Wamekulazimisha?
Sina Sababu ya Kuichukia Israel vile vile Sina Sababu ya Kuwachukia Waarabu jwa Maana wote wako kwa Kusudi la Mungu.....Sawa. Ila upande uliopo umeshajulikana.
Hilo ni jambo la heri hakuna ubaya.Sina Sababu ya Kuichukia Israel vile vile Sina Sababu ya Kuwachukia Waarabu jwa Maana wote wako kwa Kusudi la Mungu.....
Ila Nikiamua Kuipenda Israel na Kwenda kuitembelea siyo Kosa
Kama ambavyo Waislamu wanaitembelea Saudia .
Kwani Wewe inakuudhi Nini Sasa ?? Kama Mtu ndiyo amefundisha tangu akiwa Mtoto kwamba Israel Ni taifa teule ...na Anayo Bendera ya Israel unadhani kwa maneno yako Machache Hapa utaweza kumbadili Imani??Kwani ubebe bendera ya Israeli ilihali wewe ni mtanzania kwani nchi yaks haina bendera ni ujinga unaotokana na brainwash ya kidini
Sisi wa Africa hasa wa bongo ni lost sheep hata hatujui maana ya hizo ragi za bendera ya israel [emoji1134] hiyo nyota ya katikati inamaana gani, kazi yetu ni kushabikia tu, ujinga ni mzigo kweli kweli, Mzraeli huwezi kumkuta ameshikilia bendera ya [emoji1241] hata siku moja[emoji1134][emoji1134][emoji1134][emoji1134][emoji1134][emoji1134][emoji1134]Kwa hiyo hii ni bendera ya MPINGA KRISTO[emoji1134][emoji1134][emoji1134][emoji1134][emoji1134][emoji1134][emoji1134]
Wakristo wengi wanaamini kuwa Israel ni Taifa teule, hii ni kutokana na maandiko yaliyojustify hivyo hasa agano la kale.Wakuu heshima kwenu.
Naomba tu kuuliza japokuwa najua kufuatilia mambo ya watu sio mchongo wala nini.
Huwa naona vibendera vya taifa la Israel kwenye magari ya watu ambao naamini kabisa ni Wabongo wenzetu.
Sasa wakuu naomba tu kuuliza what is the motive behind this? kunakuwa na affiliation gani na hili Taifa la Israel? Au ni Waisraeli weusi wanaoishi bongo?
Kama hujui Sasa Kitendo Cha Wayahudi kumsulibisha Yesu Kristo Ni Jambo zuri Sana Sana kwetu Wakristo....na Wasingemsulubusha tungepata hasara kubwa Sana......Hapana wa Yuhudi wanapiga ukoristo wenyewe wana mpinga Yesu wanasema alikua mzushi tu hakua na utume wowote ndo maana walimwadhibu kwa kumweka msalabani.wanamuamini Moses peke yake na watangulizi wake
Tofautisha wa israel na Israeli kama nchi nyie mna kalilishwa vibaya kwasbb hamtaki kufanya utafiti kujua Mungu alikua anamaanisha nini katika hilo.....watu wote tuko sawa mbele ya Mungu hamnaga matabaka mbele ya MunguWakristo wengi wanaamini kuwa Israel ni Taifa teule, hii ni kutokana na maandiko yaliyojustify hivyo hasa agano la kale.
Hata katika makanisa na ofisi nyingi za dini ya kikristo huwa wanaweka bendera za Israel, sio katika magari tu.
Siyo Agano la kale tuu hata Agano Jipya...Wakristo wengi wanaamini kuwa Israel ni Taifa teule, hii ni kutokana na maandiko yaliyojustify hivyo hasa agano la kale.
Hata katika makanisa na ofisi nyingi za dini ya kikristo huwa wanaweka bendera za Israel, sio katika magari tu.