Vibonde wengi kuanzia raundi ya pili

Vibonde wengi kuanzia raundi ya pili

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Klabu ya horoya iliyopigwa 7 bila msimu uliopita, tp mazembe iliyopongwa nje ndani na yanga pamoja na Simba iliyoshindwa kuchukua kombe lolote mbele ya YANGA Zitaanzia raundi ya pili katika jitihada ya kuzibeba zifike group stage kirahisi.

Zamani ukiskia timu haianzii raundi ya awali ujue timu kweli lakini hivi sasa imekuwa kama division one za siku hizi Sasa huyu pimbi aliyepigwa 4 bila na Kaizer Chiefs akiwa amevaa visit Tanzania ana ukubwa gani?
 
Klabu ya horoya iliyopigwa 7 bila msimu uliopita, tp mazembe iliyopongwa nje ndani na yanga pamoja na Simba iliyoshindwa kuchukua kombe lolote mbele ya YANGA Zitaanzia raundi ya pili katika jitihada ya kuzibeba zifike group stage kirahisi
Hilo liko wazi
 
Mazembe na Simba sina tatizo nao lakini Horoya hapana, naungana na wewe Horoya si timu ya kuweka kwenye top 10.
 
Klabu ya horoya iliyopigwa 7 bila msimu uliopita, tp mazembe iliyopongwa nje ndani na yanga pamoja na Simba iliyoshindwa kuchukua kombe lolote mbele ya YANGA Zitaanzia raundi ya pili katika jitihada ya kuzibeba zifike group stage kirahisi
Zamani ukiskia timu haianzii raundi ya awali ujue timu kweli lakini hivi sasa imekuwa kama division one za siku hizi Sasa huyu pimbi aliyepigwa 4 bila na Kaizer Chiefs akiwa amevaa visit Tanzania ana ukubwa gani?
Vijana wa Rage wamefurahi mpaka basi. Kila kitu kwao ni ushindi, ni mafanikio, ni kombe!
 
Klabu ya horoya iliyopigwa 7 bila msimu uliopita, tp mazembe iliyopongwa nje ndani na yanga pamoja na Simba iliyoshindwa kuchukua kombe lolote mbele ya YANGA
Horoya ilipigwa 7 na Simba (usiishie tu kusema ilipigwa 7 bila kusema na timu gani tena katika michuano gani), TP Mazembe na Yanga wote walikutana Shirikisho. Sasa hapo ndipo utambue kuwa Shirikisho mbele ya Klabu Bingwa si kitu kwa mtazamo wa CAF
 
Simba aliyekukanda 2 , 0 na timu pekee ambayo imekuwa ikitinga robofainali ya klabu bingwa iwe kibonde huku timu ambayo haijawahi kufika hata group stage ya CAFCL ndiyo iwe bora?

Manara na Luc Eymael wajengewe mnara pale makao makuu ya utopolo fc kwa kuwaita hamnazo/mazuzu , wabwekaji
JamiiForums1527619607.jpg
 
Vijana wa Rage wamefurahi mpaka basi. Kika kitu kwao ni ushindi, ni mafanikio, ni kombe!
Michezo ni furaha, sasa kama wewe inakukera, basi utakereka sana maana serikali inazidi kuweka mipango ya kuendeleza michezo
 
Back
Top Bottom