Vibonde wengi kuanzia raundi ya pili

Vibonde wengi kuanzia raundi ya pili

Hhaahaaa maumivu makali sana kwa utopolo hasa anapoona round ya pili endapo atabahatisha mzunguko wa wasiojua anakutana na elmerekh
Yanga aka Utopolo hatuna maumivu yoyote sisi mtuweke ligi daraja la nne tunaua, mtuweke raundi ya vidudu tucheze na Abajalo tunaua, mtuweke world cup tucheze na Brazil bado tutaua tu! Sisi kwasasa kucheza fainali makombe yote duniani tushazoea!
Kila goti litapigwa kwa Yanga ya Eng Hersi, tunashinda ugenini na nyumbani!
Mbumbumbu fc mnalazimisha furaha hata kombe la kuku hamna mmeloooooa!
 
Mazembe na Simba sina tatizo nao lakini Horoya hapana, naungana na wewe Horoya si timu ya kuweka kwenye top 10.
Huyo horoya anacheza makundi club bingwa Kila mwaka hii kitu ngumu Kwa team kama yanga .Kwanini asiwe top ten wakati yupo consistent kwenye mashindano makubwa
 
Klabu ya horoya iliyopigwa 7 bila msimu uliopita, tp mazembe iliyopongwa nje ndani na yanga pamoja na Simba iliyoshindwa kuchukua kombe lolote mbele ya YANGA Zitaanzia raundi ya pili katika jitihada ya kuzibeba zifike group stage kirahisi.

Zamani ukiskia timu haianzii raundi ya awali ujue timu kweli lakini hivi sasa imekuwa kama division one za siku hizi Sasa huyu pimbi aliyepigwa 4 bila na Kaizer Chiefs akiwa amevaa visit Tanzania ana ukubwa gani?
Kweli mkuuu na hawa ndio mabingwa halisi wa soka la Africa
1.marumo gallant (kashuka daraja)
2.usm alger (mwakani anacheza UEFA champions league)
3.young African (bingwa wa Caf champions league)

Ila yanga aliwafunga wababe mpaka kufika final ya Caf confederation cup.
 
Timu bora zinaangaliwa kupitia michuano ya klabu bingwa na sio vinginevyo..Yanga ilitolewa na Al hilal
 
Mm ni YANGA ila kiukweli sisi mazuzu YANGA tunaanzia mchangani kweli simba ni timu kubwa
.
20230601_215742.jpg
 
Klabu ya horoya iliyopigwa 7 bila msimu uliopita, tp mazembe iliyopongwa nje ndani na yanga pamoja na Simba iliyoshindwa kuchukua kombe lolote mbele ya YANGA Zitaanzia raundi ya pili katika jitihada ya kuzibeba zifike group stage kirahisi.

Zamani ukiskia timu haianzii raundi ya awali ujue timu kweli lakini hivi sasa imekuwa kama division one za siku hizi Sasa huyu pimbi aliyepigwa 4 bila na Kaizer Chiefs akiwa amevaa visit Tanzania ana ukubwa gani?
Wewe kilaza point ndiyo kigezo kinachotumika,nyie bado points hazijatosha,ficha ujuha wako huyo Horoya umemuweka tu kwa ujinga wako wala hayumo kwenye list.
 
Klabu ya horoya iliyopigwa 7 bila msimu uliopita, tp mazembe iliyopongwa nje ndani na yanga pamoja na Simba iliyoshindwa kuchukua kombe lolote mbele ya YANGA Zitaanzia raundi ya pili katika jitihada ya kuzibeba zifike group stage kirahisi.

Zamani ukiskia timu haianzii raundi ya awali ujue timu kweli lakini hivi sasa imekuwa kama division one za siku hizi Sasa huyu pimbi aliyepigwa 4 bila na Kaizer Chiefs akiwa amevaa visit Tanzania ana ukubwa gani?
KWAHIYO chochote kinachokujia kichwani unapost tu. Unaropoka tu. Kwanini usiulize ukapata japo ufahamu kidogo.
 
Yanga ikicheza makundi klabu bingwa Mara ya MWISHO miaka 27 iliyopita.

KATIKA misimu mitano ya karibuni Simba kacheza robo fainali Mara 3,Yanga ulikuwa wapi!? Mlikuwa mnafanya Nini!? Yanga ilikuwa Ni kucheza round ya kwanza na kutolewa.
Ktk misimu 5 mlijikusanyia point ngapi?

Wenye akili pale uto Ni wawili tu.
 
Back
Top Bottom