Vibonde wengi kuanzia raundi ya pili

Michezo ni furaha, sasa kama wewe inakukera, basi utakereka sana maana serikali inazidi kuweka mipango ya kuendeleza michezo
Kwani wewe ni mmoja ya hao vijana wa Rage!!!
 
Ukitaka kujua uchawi ni nini,njoo kwenye uzi huu.
Horoya ilipigwa 7-0 na nani?
Katika michuano gani?

TP Mazembe alifungwa goli 4 kwenye michuano ya watu gani?

Hao wate wana historia nzuri ya club bingwa,utopolo unaweza kutueleza historia yenu katika michezo ya club bingwa
 
Namba hazidanganyi!! Wenye point nyingi ndiyo wakali!! Ukali wa timu hautokani na ushindi wa mechi moja tu!! Inabidi tukubali tu kuwa "wananchi" wako karibu na mkia kwenye 20 bora za caf!! Wako namba 18!! Kwa nafasi hiyo inabidi tu waanzie mchangani!! Si ajabu wakayaaga mashindano huko huko mchangani!!
 
Kunywa sumu ya panya
 
Na walioifunga Horoya walivuna points
ngapi kwa waliyoifunga Mazembe?
 
Kinachoangaliwa ni point kaka, Simba iko mbali sana hata horoya yuko maili nyingi mbele ya yanga kimataifa.

Yanga kuingia makundi ya CAFCL mara ya mwisho ni 1998 unataka ipewe heshima gani wakati timu zilizopewa hicho kipaumbele makundi ilishakuwa kawaida?

Au mnadhani fainali ya shirikisho ni ya thamani mno?

Point zenu hazitoshi kupewa heshima ya miamba ya soka Afrika.

Nb: Hata kama wenye akili ni wawili basi jitahidi kuustiri ujinga kaka![emoji1374]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…