Kwa lugha nyepesi bila kuzungukazunguka ni kwamba CAF wanaipendelea Simba na wanaionea Yanga. Twendeni CASZamani ukiskia timu haianzii raundi ya awali ujue timu kweli lakini hivi sasa imekuwa kama division one za siku hizi
Yanga aka Utopolo hatuna maumivu yoyote sisi mtuweke ligi daraja la nne tunaua, mtuweke raundi ya vidudu tucheze na Abajalo tunaua, mtuweke world cup tucheze na Brazil bado tutaua tu! Sisi kwasasa kucheza fainali makombe yote duniani tushazoea!Hhaahaaa maumivu makali sana kwa utopolo hasa anapoona round ya pili endapo atabahatisha mzunguko wa wasiojua anakutana na elmerekh
Huyo horoya anacheza makundi club bingwa Kila mwaka hii kitu ngumu Kwa team kama yanga .Kwanini asiwe top ten wakati yupo consistent kwenye mashindano makubwaMazembe na Simba sina tatizo nao lakini Horoya hapana, naungana na wewe Horoya si timu ya kuweka kwenye top 10.
Kweli mkuuu na hawa ndio mabingwa halisi wa soka la AfricaKlabu ya horoya iliyopigwa 7 bila msimu uliopita, tp mazembe iliyopongwa nje ndani na yanga pamoja na Simba iliyoshindwa kuchukua kombe lolote mbele ya YANGA Zitaanzia raundi ya pili katika jitihada ya kuzibeba zifike group stage kirahisi.
Zamani ukiskia timu haianzii raundi ya awali ujue timu kweli lakini hivi sasa imekuwa kama division one za siku hizi Sasa huyu pimbi aliyepigwa 4 bila na Kaizer Chiefs akiwa amevaa visit Tanzania ana ukubwa gani?
Kwahyo unahisi wamependelewa kuwa pale???Mazembe na Simba sina tatizo nao lakini Horoya hapana, naungana na wewe Horoya si timu ya kuweka kwenye top 10.
.Mm ni YANGA ila kiukweli sisi mazuzu YANGA tunaanzia mchangani kweli simba ni timu kubwa
Bila kumtaja bwanako Rage siku haiendi,akuoe kabisa.Vijana wa Rage wamefurahi mpaka basi. Kila kitu kwao ni ushindi, ni mafanikio, ni kombe!
Wewe kilaza point ndiyo kigezo kinachotumika,nyie bado points hazijatosha,ficha ujuha wako huyo Horoya umemuweka tu kwa ujinga wako wala hayumo kwenye list.Klabu ya horoya iliyopigwa 7 bila msimu uliopita, tp mazembe iliyopongwa nje ndani na yanga pamoja na Simba iliyoshindwa kuchukua kombe lolote mbele ya YANGA Zitaanzia raundi ya pili katika jitihada ya kuzibeba zifike group stage kirahisi.
Zamani ukiskia timu haianzii raundi ya awali ujue timu kweli lakini hivi sasa imekuwa kama division one za siku hizi Sasa huyu pimbi aliyepigwa 4 bila na Kaizer Chiefs akiwa amevaa visit Tanzania ana ukubwa gani?
Na siyo ajabu wakapigwa na hyo kitimu hapa hapa dsm lzm Simba apigwe pmj na kuanza round ya piliVijana wa Rage wamefurahi mpaka basi. Kila kitu kwao ni ushindi, ni mafanikio, ni kombe!
KWAHIYO chochote kinachokujia kichwani unapost tu. Unaropoka tu. Kwanini usiulize ukapata japo ufahamu kidogo.Klabu ya horoya iliyopigwa 7 bila msimu uliopita, tp mazembe iliyopongwa nje ndani na yanga pamoja na Simba iliyoshindwa kuchukua kombe lolote mbele ya YANGA Zitaanzia raundi ya pili katika jitihada ya kuzibeba zifike group stage kirahisi.
Zamani ukiskia timu haianzii raundi ya awali ujue timu kweli lakini hivi sasa imekuwa kama division one za siku hizi Sasa huyu pimbi aliyepigwa 4 bila na Kaizer Chiefs akiwa amevaa visit Tanzania ana ukubwa gani?
KWAHIYO ukishamfunga Mazembe Basi we no mkubwa.Hilo liko wazi
Huyu akishashiba uji anakuwa kama teja tuKWAHIYO chochote kinachokujia kichwani unapost tu. Unaropoka tu. Kwanini usiulize ukapata japo ufahamu kidogo.
Umeandika nini wewe papai?Simba kupitia money waongaji wazuri snaa
Trakoo lakoUmeandika nini wewe papai?
Mo atakuwaa anakuzira[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umeandika nini wewe papai?
kumbe siyo kanuni zinafuatwa Ni kuhonga.Simba kupitia money waongaji wazuri snaa