Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

Salamu ya Petro kwa Gayo ndio imegeuka manual ya wanadamu kutafuta utajiri, ingawa hiyo ni salamu ya kumtamkia baraka tu. Mpango wa Mungu ni watu wawe na uzima wa milele kwa sababu dunia itapita na fahari zake. Kumbe ni vema kuangalia ni jinsi gani unatafsiri maandiko.

Biblia imeonya sana juu ya kutafuta utajiri, badala yake imetupasa kuutafuta KWANZA ufalme wa Mungu, hayo mengine ni ziada.
😃😃😃😃. Utajiri hua unakufata mlangoni au sio ?

Shida unasoma bila kuelewa. Nimetaka Roho wa hekima na maarifa ata mguide mtu katika mambo yote. Tayari unapo zungumzia Roho wa hekima na maarifa , unazungumzia Ufalme wa Mungu. Huyu ana ku guide katika mambo yote, ikiwemo ya mwilini pia ambayo tunahutaji. Na ndio maana Suleima alipo pata hekima akaja kuwa mtu tajiti, ili hekima ili mguide kila sehemu na kila alichofanya.. ukifanya kitu kwa wisdom ya Mungu automatic lazima ushine na kuwa tajiri..

👇👇👇👇

Mwanzo 13 2
Naye Abramu alikuwa ni tajiri sana kwa mifugo, kwa fedha, na kwa dhahabu.

Kama unategemea utajiri wa kusubiri uufate endelee kuusubiri..

Tupo tunapiga kazi kuche kucheee na pesa tunaingizaa na mbinguni utanikuta
 
Heri mimi nipo level za kunywa maziwa, wewe hata kuzaliwa upya hujazaliwa bado.
Na utashangaa utanikuta mbinguni na taji iliyo bora kuliko wewe. Ndio utajua kuwa hapa duniani ulikuwa unapoteza mda
 
Hakuna jipya mkuu, ninyi prosperity preachers mmeinajisi Injili ya kweli kwa kumfananisha Kristo na vitu vinavyoharibika. Kristo alishinda ili mipokee nguvu ya kuhimili majaribu, ikiwemo tamaa za dunia. HAKUNA MAHALI YESU KASEMA AMA KUASHIRIA KUWA KIFO CHAKE MSALABANI KILIKUJA ILI TUWE MATAJIRI.

Huwezi kumpokea Kristo ukawa chini ya laana. Labda kama huelewi ni laana ipi inayoongelewa. Biblia ina majibu yote. Hatuhitaji mafunuo mapya, wala njia mpya ya kumfikia Mungu. Yote yamefunuliwa na Kristo Yesu.
Prosprity gospel ni ipi hiyo mkuu maana unachanga mambo ? Lazima watu wafanikiwe rohoni na mwili.. Injili lazima i balance

👇👇👇

Kumbukumbu la Torati 8 18
Bali utamkumbuka BWANA, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo.

Kama Nimepewa nguvu ya kuwa tajiri, ni lazima niwe tajiri, na nitaelekeza wengine pia namna ya kuwa matajiri in way ya neno la Mungu.

Hayo mafundisho yenu ya kutaka watu wabaki maskini ni upuuzi mtupu na ndio shetani anatumia hiyo advantage... mnabaki kutamani vitu tu na dunia ikiongozwa na devils ndio maana inafikia kipindi wanatuoangia wanachotaka kwasbaabu ya uoumbavu wa few beleive kama nyie
 
Jihadharini na prosperity gospel, wengi wameumizwa hata kufikia kumkataa aliyewafia msalabani kwa kuona ni tapeli. Angalieni wenyewe mpime mambo haya, tunaishi na ndugu wengi kati yetu wafuatao imani hizi. Je tangu kuanza kwa mafundisho haya pendwa, ni wangapi wameondokea kuwa mabilionea? Utakuta wanaohubiri haya ndio wafanikiwao huju waumini wao wakibaki kwenye lindi ka umaskini mkubwa. Viongozi wao wenye kuijua kweli wanawategemea waumini kwa kipato, huku wakiwataka waumini wamtegemee Mungu. Yaani wewe uwape wao mali zako, kisha umsubiri Mungu akupe mara mia. Usiwe mmoja wa hao, tunza sana moyo wako, usilishwe uongo, usije uamini ukaangamizwa.
Kwanza wewe unachanya mambo mie humu sikuwa nafundisha mafanikio,nimegusa vitu vingi sana. Pili Imani ya mtu huamua kiwango cha maisha ya huyo mtu. Mie humu hawanijui siwajui.. na sina interaction na mtu hata mmoja humu kusema kuna kitu nataka hapa.. wewe unaanza lazima habari za prosperity gospel.. anza kumifatilia toka mwanzo wa huu uzi. Utajiri ni lazima

👇👇👇

Kumbukumbu la Torati 8 18
Bali utamkumbuka BWANA, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo.

Kama hutaki achaaa... Injili lazima ibalance, leo kina Bill gates wana nguvu ya kufanya watakacho kwasababu wana pesa, ila kipindi kina suleiman wanafata kanuni au kina Ibrahim.. wao ndio walikuwa matajiri kupita wote .. Kanisa lazima liwe na matajiri kuliko walimwengu.. ila shida sasa ni watu kama nyie mnatia giza
 
Nakumbuka zamani kidogo nikiwa namsindikiza mzee mmoja Kwake akitokea kwa babu yangu tulikua tukipiga story za dizaini hii.Tulipita pahala kuna soko la jioni watu wamejazana ilikua mida ya saa mbili usiku,ndipo mzee huyu akanambia unataka kuona inavyokua nikamjibu ndio, akadai nisionyeshe hofu. Basi bana akanipakaa vijidawa flani machoni, niliona mambo ya kutisha sasa sijui ndo vibwengo, ni ķama vitoto lakini vichwa Vyao nivibabu na vibibi. Pia hapo niliona bàadhi ya wamama wakiwa uchi na Wengine wamekalia mafuvu ya vichwa vya watu. Pia baadhi walionekana kama wendawazimu. Yule mzee aliniambia umetosha nikamwambia ndio. Basi akanipakaa dawa nyingine nikaona mambo yamekua kawaida. Badala ya kuendelea kumsindikiza ilibidi yeye tena anirudishe home, tulipofika tulimkuta babu akauliza vp ameona hapo nikagundua nilikua nafunzwa kitu. Mpaka kesho maeneo haya sili wala situmii muda mwingi kuwepo. Babu alinambia nisije pakwa dawa hii tena kwani huharibu macho.
mh! unatuficha tuu! ushakuwa mwnga ndugu..
 
Hakuna jipya mkuu, ninyi prosperity preachers mmeinajisi Injili ya kweli kwa kumfananisha Kristo na vitu vinavyoharibika. Kristo alishinda ili mipokee nguvu ya kuhimili majaribu, ikiwemo tamaa za dunia. HAKUNA MAHALI YESU KASEMA AMA KUASHIRIA KUWA KIFO CHAKE MSALABANI KILIKUJA ILI TUWE MATAJIRI.

Huwezi kumpokea Kristo ukawa chini ya laana. Labda kama huelewi ni laana ipi inayoongelewa. Biblia ina majibu yote. Hatuhitaji mafunuo mapya, wala njia mpya ya kumfikia Mungu. Yote yamefunuliwa na Kristo Yesu.

👇👇👇👇👇

Luka 19 13
Akaita watu kumi katika watumwa wake, akawapa mafungu kumi ya fedha, akawaambia, Fanyeni biashara hata nitakapokuja.

☝️☝️

Huyo ndie Bwana Yesu , alitufua msalabani..
Wewe ni nani unaekataa watu wasufundishwe namna ya kupata mafanikio ya kipesa ?

👇👇👇

Mathayo 25 27
basi, ilikupasa kuiweka fedha yangu kwa watoao riba; nami nikija ningalipata iliyo yangu na faida yake.

Huyu ni Yesu Kristo muanzilishi wa imani yetu, anazungumzia mkwanja.. wewe ni nanii unataka watu waendelee kukaa kwenye umaskini ?
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Utajiri hua unakufata mlangoni au sio ?

Shida unasoma bila kuelewa. Nimetaka Roho wa hekima na maarifa ata mguide mtu katika mambo yote. Tayari unapo zungumzia Roho wa hekima na maarifa , unazungumzia Ufalme wa Mungu. Huyu ana ku guide katika mambo yote, ikiwemo ya mwilini pia ambayo tunahutaji. Na ndio maana Suleima alipo pata hekima akaja kuwa mtu tajiti, ili hekima ili mguide kila sehemu na kila alichofanya.. ukifanya kitu kwa wisdom ya Mungu automatic lazima ushine na kuwa tajiri..

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Mwanzo 13 2
Naye Abramu alikuwa ni tajiri sana kwa mifugo, kwa fedha, na kwa dhahabu.

Kama unategemea utajiri wa kusubiri uufate endelee kuusubiri..

Tupo tunapiga kazi kuche kucheee na pesa tunaingizaa na mbinguni utanikuta

Kukuta mbinguni si maamuzi yangu, ila hayo majivuno ni yako mwenyewe. Unaweza kutueleza mfalme Suleiman aliongozwa vipi na hekima baada ya kupata utajiri? Alisema nini kuhusu utajiri?

Tena kusema alipopata hekima akaja kuwa tajiri ni kutoyafahamu maandiko. Soma vizuri utaona jinsi Mungu alivyomwahidi utajiri, wala sio tu kwa sababu ya hekima, maandiko yako wazi
 
Na utashangaa utanikuta mbinguni na taji iliyo bora kuliko wewe. Ndio utajua kuwa hapa duniani ulikuwa unapoteza mda
Ok, hayo ni yako na Mungu wako, mimi nakushuhudia uijue kweli. Habari za ubora wa mataji ni kauli inayozidi mafunuo ya Mungu hivyo inatoka gizani
 
Prosprity gospel ni ipi hiyo mkuu maana unachanga mambo ? Lazima watu wafanikiwe rohoni na mwili.. Injili lazima i balance

[emoji116][emoji116][emoji116]

Kumbukumbu la Torati 8 18
Bali utamkumbuka BWANA, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo.

Kama Nimepewa nguvu ya kuwa tajiri, ni lazima niwe tajiri, na nitaelekeza wengine pia namna ya kuwa matajiri in way ya neno la Mungu.

Hayo mafundisho yenu ya kutaka watu wabaki maskini ni upuuzi mtupu na ndio shetani anatumia hiyo advantage... mnabaki kutamani vitu tu na dunia ikiongozwa na devils ndio maana inafikia kipindi wanatuoangia wanachotaka kwasbaabu ya uoumbavu wa few beleive kama nyie
Hakuna anayefundisha watu wabaki maskini. Ukweli ni kuwa TAFUTENI KWANZA UFALME WA MUNGU NA HAKI YAKE. Hongera kwa kupiga hela, ingependeza kama ungesema WAUMINI WANAPIGA HELA
 
Kwanza wewe unachanya mambo mie humu sikuwa nafundisha mafanikio,nimegusa vitu vingi sana. Pili Imani ya mtu huamua kiwango cha maisha ya huyo mtu. Mie humu hawanijui siwajui.. na sina interaction na mtu hata mmoja humu kusema kuna kitu nataka hapa.. wewe unaanza lazima habari za prosperity gospel.. anza kumifatilia toka mwanzo wa huu uzi. Utajiri ni lazima

[emoji116][emoji116][emoji116]

Kumbukumbu la Torati 8 18
Bali utamkumbuka BWANA, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo.

Kama hutaki achaaa... Injili lazima ibalance, leo kina Bill gates wana nguvu ya kufanya watakacho kwasababu wana pesa, ila kipindi kina suleiman wanafata kanuni au kina Ibrahim.. wao ndio walikuwa matajiri kupita wote .. Kanisa lazima liwe na matajiri kuliko walimwengu.. ila shida sasa ni watu kama nyie mnatia giza
Wenye ufahamu wameshaelewa. Nionyeshe muumini wako mmoja tu aliyekaribia kuwa kama Bhakresa, achia mbali Bill Gates
 
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Luka 19 13
Akaita watu kumi katika watumwa wake, akawapa mafungu kumi ya fedha, akawaambia, Fanyeni biashara hata nitakapokuja.

[emoji3516][emoji3516]

Huyo ndie Bwana Yesu , alitufua msalabani..
Wewe ni nani unaekataa watu wasufundishwe namna ya kupata mafanikio ya kipesa ?

[emoji116][emoji116][emoji116]

Mathayo 25 27
basi, ilikupasa kuiweka fedha yangu kwa watoao riba; nami nikija ningalipata iliyo yangu na faida yake.

Huyu ni Yesu Kristo muanzilishi wa imani yetu, anazungumzia mkwanja.. wewe ni nanii unataka watu waendelee kukaa kwenye umaskini ?
Aisee huyajui maandiko. Tangu mwanzo nimeliona hilo, ama unapotosha kusudi, ama kweli hujui. Kama unashindwa kuelewa MFANO mwepesi namna hiyo, ni roho yupi anayetenda kazi ndani yako?
 
Kukuta mbinguni si maamuzi yangu, ila hayo majivuno ni yako mwenyewe. Unaweza kutueleza mfalme Suleiman aliongozwa vipi na hekima baada ya kupata utajiri? Alisema nini kuhusu utajiri?

Tena kusema alipopata hekima akaja kuwa tajiri ni kutoyafahamu maandiko. Soma vizuri utaona jinsi Mungu alivyomwahidi utajiri, wala sio tu kwa sababu ya hekima, maandiko yako wazi

Ipo hivi

👇👇👇

2 Mambo ya Nyakati 1 6
Sulemani akaipandia huko madhabahu ya shaba mbele za BWANA, iliyokuwako hemani pa kukutania, akatoa sadaka elfu za kuteketezwa juu yake.

Alafu ikafuatia hapa

👇👇👇👇

2 Mambo ya Nyakati 1 7
Usiku ule Mungu akamtokea Sulemani, akamwambia, Omba utakalo nikupe.

Suleimani hapa akajibu hivi

2 Mambo ya Nyakati 1 10
Basi sasa nipe hekima na maarifa, nijue kutoka na kuingia mbele ya watu hawa; kwa kuwa ni nani awezaye kuwahukumu watu wako hawa walio wengi?

👇👇👇👇

Hapa Mungu aka respond

2 Mambo ya Nyakati 1 10
Basi sasa nipe hekima na maarifa, nijue kutoka na kuingia mbele ya watu hawa; kwa kuwa ni nani awezaye kuwahukumu watu wako hawa walio wengi?

Alafu tazamana hapa

👇👇👇

Kumbukumbu la Torati 8 18
Bali utamkumbuka BWANA, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo.

Sasa basi ipo wakristo wengi wamebarikiwa kuwa matajir na nguvu ya kupata huo utajiri ipo. Ila shida ni upumbavu wa kukosa hekima na maarifa.

Kama huna hekima na maarifa ni ngumu kutoboza na ndio maana kupitia hiyo hekima Solom alizidi sana kuwa na utajiri hadi kufikia kina Malikia kwenda kuisikia hekima ya jamaa walienda na lundo la zawadi. Mungu wote katu kirimia utajiri ila huo utajiri uwe active unahitaji hekima.. kama huna utaendelea kubaki kama wewe ulivyo..

Alafu mie sijangi.. Mie nimeishakuambia utanikuta mbinguni kama hutaki shauri yako.. na utanikuta na taji kubwa kuliko yako na duniani utakuta nimekula raha
 
Ok, hayo ni yako na Mungu wako, mimi nakushuhudia uijue kweli. Habari za ubora wa mataji ni kauli inayozidi mafunuo ya Mungu hivyo inatoka gizani
😃😃😃.. Basi baki hivyo.. Mungu hajawa na planing ya watoto wake washindwe. Kama Mungu wako anabahatisha . Utabaki na mashaka mashaka ya wenda mbinguni au kwenda motoni.. kupata taji iliyo bora au dhaifu ni jitihada zako
 
Hakuna anayefundisha watu wabaki maskini. Ukweli ni kuwa TAFUTENI KWANZA UFALME WA MUNGU NA HAKI YAKE. Hongera kwa kupiga hela, ingependeza kama ungesema WAUMINI WANAPIGA HELA
Sasa wewe tafuta huo nani kakumbia watu wasitafute ufalme ?
 
Huu uzi una mixture nying aisee...

Kutoka Kwenye vimbwengo to natural power to mazabahu to Angel/malaika to Bible.... ahahaaa

Anyway,kuna mambo yapo vzur nimeyapenda na kukubaliana nayo na mengne kupingana nayo kulingana na Iman yngu na uelewa wangu.

Ukweli ni kwamba Mungu wa mbinguni husikia kila anaemuomba na humpa yule amtakae kwa muda wake,ila kuna sehemu na nyakati ukimuomba Mungu kitu Basi kuna possible kubwa ya kupata hcho kitu...pia kuna vtu ukivfanya kwa ajili ya Mungu (sadaka/Dhaka au kafara) kwa ajili ya unyenyekevu kwake na ukamuomba chochote ktk vtu vzur Basi kuna possibility kubwa ya kupewa hcho kitu.

Pili Malaika hawana power yoyote kwa binadamu kazi yao kubwa ni kuandka Yale matendo yako either mazur au mabaya...hawana uwezo wa kukuzuia wewe na ajali wala kukupatia pesa.

Ila ukweli ni kwamba sisi wanadamu tumeumbwa na power katk miili yetu na hyo power tunaweza tukai activate na kuitumia regarding to our believe...Kwenye watu Mia wawili wanaweza wakalitambua hili.

Mitume waliweza kua activate na kuitumia hyo power kulingana na Imani zao na ndomana wakawa na uwezo mkubwa wa kuamini (kumwamini Mungu) kiasi kwamba wakaweza adi kufanya miujiza Kama kutembea juu ya maji,kuipasua bahari,kupambana ktk vta mbalimbali n.k ambapo leo hii Mimi na wewe hatuwezi.

Mungu ametupa uhuru/nguvu ya kufanya chochote au kuwa vyovyote vile ndomana leo ukitaka kuwa malaya,mchamungu,tajiri,maskini au n.k ni wewe tu na Imani yako.

Ndomana ktk kitabu chetu waislamu.... Mwenyezi Mungu anatuambia hambadili mtu adi abadili Yale yaliyomo katka nafsi zao.

Na Wana psychology wanasema....a man become what he thinks about most of time..

Hili ni somo pana Sana na Lina hitaji Imani na uelewa wa hali ya juu.

Kuna vtu vya kufanya kuweza ku activate hyo power ni swala la kuamini na kujifunza tu.

Hii dunia inamambo mengi jaman Ila kuhani Noah nakupa kongore umajutahidi mzee...
 
Wenye ufahamu wameshaelewa. Nionyeshe muumini wako mmoja tu aliyekaribia kuwa kama Bhakresa, achia mbali Bill Gates
Kumbe wewe ni mbishi, nimekupa sample uelewa namna ambavyo adui ame tempe na christian kama nyie.. enzi za Baba zetu kina IBRAHIM na kina SOLOM ndio walikuwa wana take control na hiyo ndio ilikuwa planing ya Mungu hata sasa. Ila kwa sababu ya ma upumbavu ya watu leo walio take control ya uchumi ni wana wa giza..

Mie sio mtumishi mzee baba.. kwamba nikuoneshe kondoo wangu. 😃😃😃.. nyie watumishi msio na elimu ya kutosha mnalisha sana matango waumini wenu, wanakuwa maskini.. wanaonewa na wana giza..
 
Aisee huyajui maandiko. Tangu mwanzo nimeliona hilo, ama unapotosha kusudi, ama kweli hujui. Kama unashindwa kuelewa MFANO mwepesi namna hiyo, ni roho yupi anayetenda kazi ndani yako?
😃😃😃😃😃😃... Ndio maana nakuambia bado sana wewe.. huna unacho elewa. Kila neno lilotoka kinywani kwa Yesu Kristo alikuwa ana maanisha hakuwa anaigiza.. baki hivyo..
 
Njoro moshi hivi vikitu vilikua vingi kweli kunasiku jamaa alikakuta usiku kinakula fegi akakagongea badala ya kumpa jamaa fegi kakamtolea ub____oo
 
Back
Top Bottom