East Wind
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 2,783
- 6,058
😃😃😃😃. Utajiri hua unakufata mlangoni au sio ?Salamu ya Petro kwa Gayo ndio imegeuka manual ya wanadamu kutafuta utajiri, ingawa hiyo ni salamu ya kumtamkia baraka tu. Mpango wa Mungu ni watu wawe na uzima wa milele kwa sababu dunia itapita na fahari zake. Kumbe ni vema kuangalia ni jinsi gani unatafsiri maandiko.
Biblia imeonya sana juu ya kutafuta utajiri, badala yake imetupasa kuutafuta KWANZA ufalme wa Mungu, hayo mengine ni ziada.
Shida unasoma bila kuelewa. Nimetaka Roho wa hekima na maarifa ata mguide mtu katika mambo yote. Tayari unapo zungumzia Roho wa hekima na maarifa , unazungumzia Ufalme wa Mungu. Huyu ana ku guide katika mambo yote, ikiwemo ya mwilini pia ambayo tunahutaji. Na ndio maana Suleima alipo pata hekima akaja kuwa mtu tajiti, ili hekima ili mguide kila sehemu na kila alichofanya.. ukifanya kitu kwa wisdom ya Mungu automatic lazima ushine na kuwa tajiri..
👇👇👇👇
Mwanzo 13 2
Naye Abramu alikuwa ni tajiri sana kwa mifugo, kwa fedha, na kwa dhahabu.
Kama unategemea utajiri wa kusubiri uufate endelee kuusubiri..
Tupo tunapiga kazi kuche kucheee na pesa tunaingizaa na mbinguni utanikuta