Vichaa wanafurahia kampani yangu


Hawana matatizo hao watu, waonyeshe upendo tu. Wape wanachokuomba, Mungu atakubariki. Kuna wakati fulani niliwahi kuw karibu na Chizi mmoja hivi, akawa matatizo yote ya mtoto wake anakuja kuniambia mimi. Alikuwa ananiita Baba. Yet nilikuwa bado na amani sana kumsaidia.

Ila alishafariki Long time.

RIP ''Z''
 
Mkuu hata wewe ni kichaa pia. Huenda pia hata marafiki zako huwa wanajiuliza hayo maswali kwa sababu unawaganda ganda sana.
 
Hongera mkuu kwa kupendwa na vichaa.
 
hata mazombi huwa hawanyonyi damu zombi mwenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…