Vicky Kamata afunga Ndoa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dk. Likwelile

Kuliko lile linaloshinda ubaoni kila siku?gazeti linafungiwa vitumbua na mihogo na kufungia kila uchafu la uhuru na mzalendo
 
sasa bro umezungumza sawa, lakini huyo katibu wenu mkuu hakusoma hizo habari za ajabuajabu za huyo dada? kujihusisha nae ndio kusema naye anahusika na habari za ajabuajabu vilevile ndio wakakutana....
Ndege wa rangi moja daima huruka pamoja
 
kama mke aliyefariki ni " Msanchi Simbeye" imawezekana dr bado ana ndoa halali na nyingine haramu.
ila wakubwa wanafaidi duh!

Ana ndoa halali ya nani??
Mkewe wa awali si amekufa?
So hana haki ya kuoa tena?
 
Nimeshtuka kuona wanaume wengi humu wivu umewashika juu ya ndoa hii,
nimeendelea kupekua pekua nimegundua tena hawakupenda Vicky aolewe,

Sasa nimebaki najiuliza,
Walitaka waolewe wao?

Ama kweli Dunia ipo ukingoni.
 


Hii Ndio raha ya JF ukiwa msomaji utayapata mengi.

Kimsingi unayo mengi sana juu ya hawa viumbe wa Mungu aishiye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…