Vicky Kamata asema marehemu mume wake "Alikuwa na vinyumba vya kawaida na msururu wa watoto!"

nimeisoma hii kesi leo, aisee huyu maza kapoteza sana. alifunga ndoa ya kikristo wakati ndoa ya awali bado ipo hai, kwahiyo ndoa ya pili na likwelile ilikuwa batili na ilichukuliwa kuwa ni uhawara tu, hata presumption of marriage haiwezi kuchukuliwa kwasababu takwa mojawapo la presumption of marriage ni kwamba lazima pasiwepo ndoa inayoendelea nyengine (kwa wakristo), kwahiyo mali zoote zilizopo hata kama alichuma na likwelile, hatapata kitu, kwasababu yeye sio mrithi halali. sijui mnanielewa?

kwenu ninyi mnaorukia ndoa za watu. mrukie ndoa ya awali ikiwa imekufa kwa talaka, kama haijafa, ninyi ni mahawara tu na sio mahawara mnaodondokea kwenye presumption of marriage, kwasababu mojawapo ya sharti la presumption of marriage ili mpate mgao hata kama hamkufunga ndoa, hapatakiwi kuwa na ndoa iliyo hai. mfano wake ni pale vijana ambao wote hawajaoana wanakutana na kuishi kinyumba kwa miaka miwili au zaidi mfululizo, wakiamua kuachana, wanaweza kuwa presumed wanandoa ili kugawanya walichopata au matunzo ya watoto, ila kama mmoja wao alikuwa na ndoa inayoendelea kama likwelile, presumption of marriage haiwezi kumwokoa vicky.
 
Anapenda ndoa na matajiri.
 
Mkuu au labda mama mjengo alivyopeleka hoja bungeni kuwa wake za viongozi wapewe mafao ni ili apate mpunga wa kutosha kumshughulikia Vicky?
 
Jojo kazaa na nani?
 
Kuna yule mtoto wa mjini alitangaza ndoa na Vicky michango ikachangwa kisha mwamba akasepa na kijiji kabla ya ndoa kufanyika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu yule fala alivyokua na akili mingi kitengo cha muweka hazina alijipa yeye, alavyoona hesabu zake zimetimia akaingia mitini na simu akazima mazima hadi leo!!
 
Una hoja nzito...hasa hapo kwenye kupata mke mwenye sifa stahiki...
 
Likwelile alikuwa mwanaume msomi bwana. Vicky alimwambiaga una watoto wakubwa niandikie ulisi (in mume wa zamas voice hahaha) jamaa akaandika akampa. Afu jamaa akaandika mwingine hakumuhusisha Vicky chochote akaupekeleka kwa mwanasheria ukagongwa muhuri afu akampa dada yake na copy mwanasheria wake. Vicky zero kichwani wosia wake akauweka kwenye visanduku vyake. Mahakamani alipigwa butwaa wosia hauna stamp ya mwanasheria. Familia ya Likwelile haikutaka jamaa azikwe mjini, walitaka apelekwe kwao morogoro ila Vicky akajua hana chake mjini atafukuzwa akakomaa azikwe mjini. Kwa heshima ya baba yao Familia ilikubali ili kusiwe na migogoro ya kumuaibisha baba yao.
 
Vicky akumtanguliza Dr ni ngwengwe ilimtanguliza.

Awamu ya 4 kwa vicky yeye alikuwa hataki mbele ni kumzibua mtaro tu. Awam ya 4 hadibashite rindakatatua. Pia marehem siksi katatua sana marin ya bashytay
 
Hakupaswa kuandika eti hata swimming pool kaikuta kwake,eti hakuwa na asset kumzidi,jamani aibu nimesikia Mimi....hiki ni kiasi Kikubwa Cha utomvu wa nidhamu
Huyo mzee alikua loaded,kesi ya kitilya wa tra ilimtaka mnufaika wa ule upigaji,huyo ndio alitoa malipo ya escrow halafu malaya wa geita anasema alikua n vijumba...malaya mbwa hanaga akili kuna mwingine yuko arusha ni mbunge viti maalum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…