Video: Afande IGP Sirro anamjibu nani hapa?!

Video: Afande IGP Sirro anamjibu nani hapa?!

View attachment 2160498

Najaribu kuwaza, hapa Afande IGP anamjibu nani? Nikifiria zaidi nahisi kama anamjibu mama.

Msikilize mama hapa 👇
View attachment 2160533

Mfukuze huyo Sirro halafu mfungulie mashtaka ya mauaji ya watu na kuwatupa kwenye mito na bahari. Sirro hana adabu na anajiamini mno...pia anadharau wanawake kama Wakurya wenzie.
 
Sirro keshasema ana miaka 30 na ushee jeshini, hawezi kuyumbishwa na kidampa tu mjumbe wa bunge la katiba…. sijui unaelewa!![emoji851]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wee jamaa bhana hata angekuwa na Miaka 100 ila rais ni rais tu
 
Maza anafokewa....[emoji41]
Na Siro amesema nanukuu: "kama hauwezi kuamini chombo chako...." mwisho wa kunukuu...teh[emoji23]
Kama wanaua hovyo watu wasio na hatia kusingizia watu makesi ya uongo nani atakuwa na imani nao??
 
View attachment 2160498

Najaribu kuwaza, hapa Afande IGP anamjibu nani? Nikifiria zaidi nahisi kama anamjibu mama.

Msikilize mama hapa [emoji116]
View attachment 2160533

Kiufupi anatamani kutumbuliwa ila mama ni kama hana maamuzi magumu
 
Mimi nauliza wale wapuuzi wa CCM Kuna yoyote aliyeitisha press kumsema Sirro kama walivomshambulia Ndugai?

Sirro ameonesha uanaume, form 4 failure asiyejua mambo ya Nchi anasimama kwenye jukwaa anabishana na mtaalam.

Huyu kilaza anadhani Polisi wakiaamua kutofanya kazi kama miaka nyuma na kuacha Chadema waruhusiwe kuandama Chama chake kitaendelea kukaa hapo.

Fikiria Police waamue kuacha kuwasaidia CCM Kwenye vituo vya kuhesabia kura.

Yaani tumepata funzo never again Form 4 failure na mtu mwenye Elimu ya kuunga unga kuwa Rais
Someni wasifu wa watu kabla ya kuwaponda, wewe na huyo mtaalam unayemtaja yawezekana mkawa ndio vilaza wakubwa kuliko Sirro.
Pia muwe na shukrani hata kidogo bila Sirro 2010 Nyamagana na Ilemela msingeyeachukua hayo majimbo.
Simon Sirro, amesoma shule ya sekondari ya Iliboru iliyopo jijini Arusha, na Tosamaganga kbla na kuchukua Shahada ya awali ya Sheria.
alisoma pia Seminari akiwa anchukua masomo ya Upadri, na kufika ngazi ya juu kabla ya kuacha na kujiunga na Jeshi la Polisi.
 
Hapo Siro ameamua kukomaa, kama noma iwe noma, Siro ni kama anasema hatoki mtu hapa.

Siro sio Ndugai, Samia safari hii ajipange haswaa.
Acheni kumpoteza mtu mwenye akili timamu awe mjinga wa kwanza.

IGP ni Presidential appointment, unamdindia vipi mtu mwenye mamlaka ya kukutenguwa mara moja?
 
Someni wasifu wa watu kabla ya kuwaponda, wewe na huyo mtaalam unayemtaja yawezekana mkawa ndio vilaza wakubwa kuliko Sirro.
Pia muwe na shukrani hata kidogo bila Sirro 2010 Nyamagana na Ilemela msingeyeachukua hayo majimbo.
Simon Sirro, amesoma shule ya sekondari ya Iliboru iliyopo jijini Arusha, na Tosamaganga kbla na kuchukua Shahada ya awali ya Sheria.
alisoma pia Seminari akiwa anchukua masomo ya Upadri, na kufika ngazi ya juu kabla ya kuacha na kujiunga na Jeshi la Polisi.
Matendo yake na alichosoma ni bure kabisa.

Hawa ndio wasomi uchwara wasiokuwa na impact yoyote kwenye jamii.
 
Sirro anasubiri mpaka makada nguli wa ccm waanze kumkashifu hadharani n akuitisha maandamano kama walivyomfanyia Ndugai, ndipo atashtuka.
 
Hapo Siro ameamua kukomaa, kama noma iwe noma, Siro ni kama anasema hatoki mtu hapa.

Siro sio Ndugai, Samia safari hii ajipange haswaa.
Akili zako zinakaa kiungo gani cha mwili?!!!

Yaani unamfananisha IGP na Amiri jeshi wa majeshi ya ulinzi na usalama?!!!

You are not serious!!!
 
Mh.Rais Samia Suluhu Hassan kipenzi chetu watanzania 🙏

#Siempre JMT🙏
 
Matendo yake na alichosoma ni bure kabisa.

Hawa ndio wasomi uchwara wasiokuwa na impact yoyote kwenye jamii.
Sirro sio single entity hapo polisi..
System thinking ndio inayowameza kunamatatizo ya
kimfuno ambayo ni nje ya scope ya sirro, kama
mwanza aliperfom vizuri kwanini now afeli???
 
bila kupiga kelele walikuwa wamejikausha! IGP alikuwa anafaham ila kwakuwa amezoea kuua basi akaona kawaida!

Kiukweli angepumzika tu maana zama za aina yake na matukio yaliyofanywa na Polisi awamu ya 5 ni maisha tofauti na awamu ya 6! kwa hiyo ajiongeze maana mama anataman aweke timu yake kama Mwendazake alivyoweka! SIRRO angestaafu kwa heshima tu

Mama aliachia mpaka ushahidi wa polisi kesi ya mbowe usikike mbele ya watanzania wote, aibu ile haiwezi jificha! mama kila akiwaona polisi anakereka!

Sirro apate wasaa akae na mama amuombe amsamehe mahali alipomkwaza aombe apumzike! mama muungwana sana maana mama ni mama
Ndani ya mabaya ya S N Sirro kuna na mazuri yake. Zuri moja kubwa ni kudhibiti majambazi ambao walikuwa na utawala wao ndani ya JMT.
 
Back
Top Bottom