Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,629
- 2,733
Huyu Kamanda, hafai amedhulumu sana watu haki zao za kuishi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matakwa mangapi ya hiyo katiba yanavunjwa kila leo??Sio kwa matakwa ya Katiba ya JMT?
Kuna mwanamama mmoja Ofisa wa juu Jeshi la Polisi anastahili hiyo nafasi ya IGPDawa imemuingia huyo. Hakuna marefu yasiyona ncha.
Sijui hata kwanini!!Mama anambeba sana huyu....
Mzee anawalinda Sana askari wake,as if ni watakatifu woteKuna mwanamama mmoja Ofisa wa juu Jeshi la Polisi anastahili hiyo nafasi ya IGP
aisee,nashangaa kwann taasisi kuu haimchukulii hatuaIGP hovyo sana...
Na hii ni mara ya pili anamjibu kwa character Rais
siku ya kuwaaga polisi waliouliwa na Hamza.Mara ya kwanza ni lini.?
Wajaribu kususa hao polisi kama wanaweza ,halafu waone kitawakuta niniMimi nauliza wale wapuuzi wa CCM Kuna yoyote aliyeitisha press kumsema Sirro kama walivomshambulia Ndugai?
Sirro ameonesha uanaume, form 4 failure asiyejua mambo ya Nchi anasimama kwenye jukwaa anabishana na mtaalam.
Huyu kilaza anadhani Polisi wakiaamua kutofanya kazi kama miaka nyuma na kuacha Chadema waruhusiwe kuandama Chama chake kitaendelea kukaa hapo.
Fikiria Police waamue kuacha kuwasaidia CCM Kwenye vituo vya kuhesabia kura.
Yaani tumepata funzo never again Form 4 failure na mtu mwenye Elimu ya kuunga unga kuwa Rais
Mama anajaribu kuwa makini na masalia ya mwendazake, anaenda nayo kwa tahadhari sana.Sijui hata kwanini!!
Raisi kaishia kulalamikia vyombo vyake na kuyapiga majungu utafikiri hana mamlakaJana chui jike nae alisema akiwalalamikia police wanamjibu tu kuwa mbona hana imani na vyombo vyake vya usalama, TAKUKURU nao wakisemwa wananuna.
Nchi ngumu sana hii.
Kwani Siro si kawekwa na Rais au???Sirro kamdindia Samia, na hakuna kitu atamfanya…. nipo jeshini miaka 30 na ushee.!
Sipati picha mwenda zake akuseme umjibu??weee!! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kwani Siro si kawekwa na Rais au???
[emoji28][emoji28][emoji28] Ila kwa sasa nani mweny nguvu??? Au unadhani sirro ni Mabeyo..Na Sirro pia kamweka huyo Rais.
Mama Tumbua huyu mtu