[emoji28][emoji28][emoji28] Ila kwa sasa nani mweny nguvu??? Au unadhani sirro ni Mabeyo..
Jeshi ni JWTZ tu, mengine yote ni vikundi vya akibaSirro kamdindia Samia, na hakuna kitu atamfanya…. nipo jeshini miaka 30 na ushee.!
Mfukuze huyo Sirro halafu mfungulie mashtaka ya mauaji ya watu na kuwatupa kwenye mito na bahari. Sirro hana adabu na anajiamini mno...pia anadharau wanawake kama Wakurya wenzie.View attachment 2160498
Najaribu kuwaza, hapa Afande IGP anamjibu nani? Nikifiria zaidi nahisi kama anamjibu mama.
Msikilize mama hapa 👇
View attachment 2160533
Nikisema Jeshi la Polisi halifanyi kazi vizuri, najibiwa...
Katika nchi ya Pueto rico Rais analalamika akilisema jeshi la Police halifanyi kazi vizuri anajibiwa na IGP / Mkuu wa Jeshi la Police wa Pueto rico. Naomba kunukuu maneno ya Rais wa Pueto rico ' Wewe uamini vyombo vyako ohooo ohoooo' alisikika Rais wa Pueto rico akilalamika kitendo cha utovu wa...www.jamiiforums.com
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wee jamaa bhana hata angekuwa na Miaka 100 ila rais ni rais tuSirro keshasema ana miaka 30 na ushee jeshini, hawezi kuyumbishwa na kidampa tu mjumbe wa bunge la katiba…. sijui unaelewa!![emoji851]
Kama wanaua hovyo watu wasio na hatia kusingizia watu makesi ya uongo nani atakuwa na imani nao??Maza anafokewa....[emoji41]
Na Siro amesema nanukuu: "kama hauwezi kuamini chombo chako...." mwisho wa kunukuu...teh[emoji23]
Kiufupi anatamani kutumbuliwa ila mama ni kama hana maamuzi magumuView attachment 2160498
Najaribu kuwaza, hapa Afande IGP anamjibu nani? Nikifiria zaidi nahisi kama anamjibu mama.
Msikilize mama hapa [emoji116]
View attachment 2160533
Nikisema Jeshi la Polisi halifanyi kazi vizuri, najibiwa...
Katika nchi ya Pueto rico Rais analalamika akilisema jeshi la Police halifanyi kazi vizuri anajibiwa na IGP / Mkuu wa Jeshi la Police wa Pueto rico. Naomba kunukuu maneno ya Rais wa Pueto rico ' Wewe uamini vyombo vyako ohooo ohoooo' alisikika Rais wa Pueto rico akilalamika kitendo cha utovu wa...www.jamiiforums.com
hizi kuni mnazochochea humu si mchezo 🤣🤣Sirro keshasema ana miaka 30 na ushee jeshini, hawezi kuyumbishwa na kidampa tu mjumbe wa bunge la katiba…. sijui unaelewa!![emoji851]
Dakika ya ngapi kayasema hayo maneno kwenye hiyo video?Sirro keshasema ana miaka 30 na ushee jeshini, hawezi kuyumbishwa na kidampa tu mjumbe wa bunge la katiba…. sijui unaelewa!![emoji851]
Someni wasifu wa watu kabla ya kuwaponda, wewe na huyo mtaalam unayemtaja yawezekana mkawa ndio vilaza wakubwa kuliko Sirro.Mimi nauliza wale wapuuzi wa CCM Kuna yoyote aliyeitisha press kumsema Sirro kama walivomshambulia Ndugai?
Sirro ameonesha uanaume, form 4 failure asiyejua mambo ya Nchi anasimama kwenye jukwaa anabishana na mtaalam.
Huyu kilaza anadhani Polisi wakiaamua kutofanya kazi kama miaka nyuma na kuacha Chadema waruhusiwe kuandama Chama chake kitaendelea kukaa hapo.
Fikiria Police waamue kuacha kuwasaidia CCM Kwenye vituo vya kuhesabia kura.
Yaani tumepata funzo never again Form 4 failure na mtu mwenye Elimu ya kuunga unga kuwa Rais
Acheni kumpoteza mtu mwenye akili timamu awe mjinga wa kwanza.Hapo Siro ameamua kukomaa, kama noma iwe noma, Siro ni kama anasema hatoki mtu hapa.
Siro sio Ndugai, Samia safari hii ajipange haswaa.
Matendo yake na alichosoma ni bure kabisa.Someni wasifu wa watu kabla ya kuwaponda, wewe na huyo mtaalam unayemtaja yawezekana mkawa ndio vilaza wakubwa kuliko Sirro.
Pia muwe na shukrani hata kidogo bila Sirro 2010 Nyamagana na Ilemela msingeyeachukua hayo majimbo.
Simon Sirro, amesoma shule ya sekondari ya Iliboru iliyopo jijini Arusha, na Tosamaganga kbla na kuchukua Shahada ya awali ya Sheria.
alisoma pia Seminari akiwa anchukua masomo ya Upadri, na kufika ngazi ya juu kabla ya kuacha na kujiunga na Jeshi la Polisi.
Akili zako zinakaa kiungo gani cha mwili?!!!Hapo Siro ameamua kukomaa, kama noma iwe noma, Siro ni kama anasema hatoki mtu hapa.
Siro sio Ndugai, Samia safari hii ajipange haswaa.
Utamfanya nini?Ziro is out
Ngoja uvuliwe hicho cheo halaf sasa wajanja tunakusubiri mtaani
Sirro sio single entity hapo polisi..Matendo yake na alichosoma ni bure kabisa.
Hawa ndio wasomi uchwara wasiokuwa na impact yoyote kwenye jamii.
Ndani ya mabaya ya S N Sirro kuna na mazuri yake. Zuri moja kubwa ni kudhibiti majambazi ambao walikuwa na utawala wao ndani ya JMT.bila kupiga kelele walikuwa wamejikausha! IGP alikuwa anafaham ila kwakuwa amezoea kuua basi akaona kawaida!
Kiukweli angepumzika tu maana zama za aina yake na matukio yaliyofanywa na Polisi awamu ya 5 ni maisha tofauti na awamu ya 6! kwa hiyo ajiongeze maana mama anataman aweke timu yake kama Mwendazake alivyoweka! SIRRO angestaafu kwa heshima tu
Mama aliachia mpaka ushahidi wa polisi kesi ya mbowe usikike mbele ya watanzania wote, aibu ile haiwezi jificha! mama kila akiwaona polisi anakereka!
Sirro apate wasaa akae na mama amuombe amsamehe mahali alipomkwaza aombe apumzike! mama muungwana sana maana mama ni mama
Hilo takataka chawa la mama unalijibu la nini?Acha uongo, said mwema, mangu walishughulikiwa lini?
Kaamua kama mbwai mbwai tu mzee sirroKamanda kaamua liwalo na liwe