Video: Alia kama mtoto baada ya kugundua mke wake bado ana mahusiano na mzazi mwenzie

Video: Alia kama mtoto baada ya kugundua mke wake bado ana mahusiano na mzazi mwenzie

Umalaya wa single mother mmoja si picha halisi kwa single mothers wote. Kuna wanawake walipoamua kuwa single walimaanisha na hawataki ujinga.
Kwenye single mother buku1 unapata mmoja au hamna kabisa.

Kama mzazi mwenzake tu akajirudi na kuongea nae maneno matamu Tena anaweza akambeba kabisa akaenda kuishi nae.(Elewa neno maneno matamu)
 
Yani analia hivyoo...ndo maana bado kavaa jezi ya vunja bei...ni mbahili huyooo lazima mdada ajiongeze..
 
Single mother hakupendi anataka ushirikiano wako tu kwenye malezi ya mtoto wake. Mtoto atakapokua na kuanza kujitegemea single mother uyo uyo atamwambia mwanae wewe sio baba yake ili aweze kufaidi matunda ya mtoto yeye peke yake.

Single mother hakupendi, ana trauma tu za mahusiano yake ya nyuma na anataka kumuonyesha mzazi mwenzake kwamba ame-move, hii trauma ikiisha na mzazi mwenzake akijirudi, kupasha kiporo ni suala la right time na right place tu.
 
Back
Top Bottom